Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

Umepanga wewe? Kwanini mnakuwa na wivu kiasi hicho?
Kitengo maalum kwa kazi ya sinema ndio kimepanga.

Hata mimi nikitaka nionane na Rais lazima nipitie kwenye hicho kitengo nipigwe vetting ya maana wajue kama naenda kwa nia njema au la, ndipo bi mdashi naye afikishiwe taarifa, akitakataa mchongo unaishia pale, akikubali ndipo nitapangwa, nitavaa vizuri nipendeze ili tulio likabambe.

Umeelewa mchongo Chawa Luca?

Wewe umeamua kujikita kwenye uchawa unaacha kujua logistic za kukutana/kuonana na Rais, poor you...

Hatukatai kusifia, ila tunakataa ujinga kama wako.
 
Wewe endelea kuwaza hivyo hivyo.
 
Endelea na wivu wako.
 
VP brigadier bado hajaripoti brigade ya magharibi au ndo anasubiri uluteni generali akiwa ADC?
 
Nani ametekwa? Acheni maigizo yenu ya kutafuta sifa za kijinga na kuchafua serikali yetu.mmeishiwa hoja mmebaki kutoa vitaarifa vya kutaka kuleta taharuki.
Sawa...wanaotekwa si ni nyani tu...mkianza kutekwa nyinyi binadamu na familia zenu labda tutaelewana
 
Mkuu Lucas upo vizuri sana katika kumfagilia SSH. Sidhani kama mtoto wake Abdul anaweza kumsifu Mama yake namna ambavyo wewe unammwagia sifa humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…