Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

Prof. Palamagamba Kabudi asitumie fursa za picha photo opportunities, kueneza propaganda ya usikivu wa serikali ya chama dola kongwe tawala.

Hatujasahau pango la picha hii ilivyotumika vibaya :


Picha maktaba : Brussels



Picha maktaba : Freeman Mbowe mara baada yakutoka gerezani kesi ya ugaidi.
 
Mambo mengine yanahitaji mazungumzo na sio kurushiana tuhuma au kuvutana. Rais ni kiongozi mkuu wa nchi, hivyo hata kukutana nae ni privilege, na ukikutana nae ndio muda mwafaka wa kueleza yote.
USS54910203 said:
Ubabe wote wa mwabukusi kumbe hamna hamna ni kilele tu walisema wao ni wanasheria kumbe madem tu

USSR
I
 
Ubabe wote wa mwabukusi kumbe hamna hamna ni kilele tu walisema wao ni wanasheria kumbe madem tu

USSR
The words of diplomacy are more powerful than weapons. What can be won through peace and wisdom is better than wars of force.
 
Nimetuma picha kutizama na kung'amua mengi.
 
..tatizo political space imebinywa, na hivyo kulazimisha asasi kama TLS kuziba pengo.
Ila BAK tangu mwanzo alikuwa anaonekana kabisa atatuvuruga sasa hivi chama kinashindwa kusimama kwenye msingi wake ipasavyo kina legalega sana.
 
Lissu anaweza kuachiliwa before uchaguzi ! Tena bila masharti yoyote ,,,! DPP atafutilia mbali mashitaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…