Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

Si kweli,mi najua hospital kubwa za katoliki ni mbili tu,bugando na ndanda/peramiho
Kanisa Katoliki lina hospitali na vituo vya afya zaidi ya 400 hapa nchini. Huwezi kuona impact, nyingi zinahudumia huko ndani ndani vijijini, ukiacha akina Peramiho, Bugando, Ndanda nk!
 
Kanisa Katoliki lina hospitali na vituo vya afya zaidi ya 400 hapa nchini. Huwezi kuona impact, nyingi zinahudumia huko ndani ndani vijijini, ukiacha akina Peramiho, Bugando, Ndanda nk!
Kote huko serikali Wana hospital na zahanati zao
 
Kanisa ni mdau mkuwa wa serikali, haliwezi kushupaza shingo kama likiitwa na serikali. Kanisa linapokea misamaha mingi na ruzuku kubwa ya mabilioni kutoka serikalini. kanisa lina mali nyingi sana ambazo zinahitaji ulinzi wa serikali.

Kanisa haliwezi kupoteza maslahi yake kwasababu ya siasa za chadema, maana lilikuwepo hata wakati wa ujamaa wa Nyerere. Lina mambo ambayo yanategemea utendaji na upendeleo wa serikali inayotawala. Baada ya mapinduzi kushindikana Kanisa linatafiuta namna ya kurudi kwenye default position yake kabla ya jaribio la mapinduzi. Serikali inaweza ku pulldown support yake kwa kanisa kama kanisa litakuwa against na serikali; kitu ambacho Vatican haikitaki. Ni polisi hawahawa ambao wanalihakikishia kanisa na mali zake usalama.
 
Kanisa Katoliki lina hospitali na vituo vya afya zaidi ya 400 hapa nchini. Huwezi kuona impact, nyingi zinahudumia huko ndani ndani vijijini, ukiacha akina Peramiho, Bugando, Ndanda nk!
Wanapewa ruzuku na misamaha mingi lakini tozo (charges) zao ni za kibiashara.
 
Sio mdau,kanisa kuu ndio baba na mama wa serikali!

Kanisa likikuwepo kabla Tanganyika haijawa Tanzania!

Kanisa ndio limetengeneza Tanzania na serikali zake Hadi bakwata!!

Walimtuma kijana wao Burito kambarage Nyerere asimamie transition ya Tanganyika kuwa Tanzania!

Hivyo tu!!
 
Tunajua kanisa ndo liliwaleta wakoloni, na wakoloni walikuwa wakisali na kunywa pamoja na kanisa. Wakoloni walipoondoka waliliacha kanisa na wanataka kurudi kupitia kanisa, wamejificha kwenye madhabahu ya kanisa.


Kanisa lilihusika na
 
Unachokisema kaka tunakijua, na ndicho kilichosababisha Marais wote wakristo wa nchi hii walikuwa ni wakatoliki; Nyerere, Mkapa na Magufuli. Hiyo haikuwa kwa bahati mbaya tu. Na hata sasa ndiyo maana kanisa liko nyuma ya Lissu (Mkatoliki) pia, na baadae litahamia kwa Nchimbi (Mkatoliki) pia. Tunajua kwanini Mbowe aliporwa chama chao (KKKT).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…