Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

Unaweza kumpa mama yenu hilo tope mkuu? Kashindwa kusonga na machawa anarudi kwnye drawline mwenzio
Unatembelea sifa za kurithishwa na simulizi Wazazi Wako,wala mie siko huko..naongea hapa uhalisia wa Maisha..
Tembelea Bukumbi Hospital - Mwanza kule au Chuo Cha Uganga-Sengerema pale..ukajionee hali na vinamilikiwa na Kanisa Katoliki fully.
 
Unaweza kumpa mama yenu hilo tope mkuu? Kashindwa kusonga na machawa anarudi kwnye drawline mwenzio
Hako ka roho ngumu ka Wataasisi hiyo nakapata sana...kujionyesha hutishiki kumbe mavi yanagonga chupi na unahitaji kusaidiwa..ukiona jamaa hatikisiki unazunguka ki aina na kusalimu amri kwa kujificha kwenye -Mpende Adui Yako-!!
 
Unadhani wakifunga hospitali moja kwenye kila jimbo lao tu ambazo nyingi ni referral hivi vituo vya Serikali vya Afya vitachukua wiki ngapi kuhimili huo mrundikano wa wagonjwa ?
 
Unatembelea sifa za kurithishwa na simulizi Wazazi Wako,wala mie siko huko..naongea hapa uhalisia wa Maisha..
Tembelea Bukumbi Hospital - Mwanza kule au Chuo Cha Uganga-Sengerema pale..ukajionee hali na vinamilikiwa na Kanisa Katoliki fully.

Hayo kaa nayo kwenye ulevi wako wa bia za kupewa na mapadri, kikubwa somo la leo no Kwamba machawa ulaji wao na ghilba zishaanza kushtukiwa na mama yao, na kwa Roma kila goti liapigwa tu na kila ntu kwa wakati wake chawa

Unatibuje kuhara kwa kushona mkei badala ya source ya kipundupindu? Ukila mavi yenye infection lazima uhare na kutibu ni kuclear infection to hamna ziada
 
Unadhani wakifunga hospitali moja kwenye kila jimbo lao tu ambazo nyingi ni referral hivi vituo vya Serikali vya Afya vitachukua wiki ngapi kuhimili huo mrundikano wa wagonjwa ?
Sasa Mkuu si Serikali ikiamua inawanyang'anya tu kwamba wameshindwa kuziendesha au haitaki tu waziendeshe wao..watafanya Nini?

Yaani Serikali ya CCM inateka watu sembuse Majengo tu!!?

Kwanza huko nyuma Nyerere aliwahi kuwafanyia hivyo mbona na wanaendelea na mchakato wa kumtangaza Mtakatifu?!!!
 
Hayo kaa nayo kwenye ulevi wako wa bia za kupewa na mapadri, kikubwa somo la leo no Kwamba machawa ulaji wao na ghilba zishaanza kushtukiwa na mama yao, na kwa Roma kila goti liapigwa tu na kila ntu kwa wakati wake chawa
Wewe Padri una hela gani ya kuninunulia Bia na unaitoa wapi kama siyo kuomba omba..nyie ndiyo wapiga mizinga sana tu Uraiani huku kwa kujipendekeza kwa wenye pesa..
Bia ni ulevi tangu lini?!Si ni kinywaji !
 
Duuuhh haya jambo jema sana kama ameona umuhimu na TEC katika siasa za Tanzania japo aliwakemea sana kwa matamko yao manane.
TEC ina nguvu sana maana ni kama utawala ndani ya utawala kwa mifumo yake ya kikanisa.
 
Wewe Padri una hela gani ya kuninunulia Bia na unaitoa wapi kama siyo kuomba omba..nyie ndiyo wapiga mizinga sana tu Uraiani huku kwa kujipendekeza kwa wenye pesa..
Bia ni ulevi tangu lini?!Si ni kinywaji !

Povu lote hili ni mama kupiga goti au ulaji umehatarika? Tafuta kazi ya kufanya uchawa una mwisho. Roma is there to stay chawa, mshtue murilo na mabunduki akarekebishe kule kurasini, mama yenu kakubali matokeo
 
Baada ya kikao Akigeuza kisogo tu wanaendelea kuweka uso wa mbuzi.

Kifupi TEC hawachekeshi Wala hawauzi meno!!
Wangekuwa wanamsimamo wangeitika ikulu?
Kitila alishambuliwa walifanya nini?
Mtu akishakuwa karibu na meza ya siasa ni walewale tu.
Hakuna dola duniani inatishika na watu nje ya mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…