Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!

Makonda ni kiboko ya viongozi wenye viburi, awe waziri awe nani, nadhani mmeona alichokifanya kwa silaa
 
Kwakweli hata mimi hili swali huwa najiuliza sana, katika wote... kwanini Makonda? Hawakutafakari jamii hapa nchini na kimataifa inamchukulia vipi?

Wenyewe wanadai ni mkakati maalum kwa vijana, kule Jokate na huku Makonda.
Bado, ulikuwa uamuzi mbovu.
Makonda hana nafasi ndani ya jamii maana kila sehemu hatakiwi.

Hata huo uwezo wenyewe wa kujenga hoja hana zaidi ya vituko na kukosa aibu
 
Hata hivyo lengo halijatimia.....yamekuwa mabaya zaifi
Machozi ya watu walio pata misukosuko kutoka kwa Bashite yataendelea kumuandama na kamwe hayo endelea na hatoishi kwa amani.
 
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Wewe ndio kichaa unaacha hoja ya msingi unaponda kiingereza na bila shaka wenye tabia ya kuponda kingreza ni wale wasiokijua hata Hitler alikuwa mchapa kazi lakini kama ni ya kuminya watu kende tusimwambie? Kwanini makoñda ahusishwe na kupora haki za watu za kuishi? Huyu ana uchafu mwingi na kumsafisha kwake ni kumnyonga Hadi kufa au kifungo Cha maisha na kazi ngumu na ndo maana Kila mtu anahoji uteuzi wa jambazi kuingiza umma
 
Acha kuleta porojo zako hapa wewe na uzushi usio na ushahidi wa aina yoyote ile.weka ushahidi unaojitoeheleza na siyo vipeperushi vya kutunga tunga tu hapa.

Mheshimiwa Makonda Mwamba Mwenyewe amewakaba koo kila kona ya nchi na kuwanyima ajenda baada ya kusema mambo ya ukweli kwa wananchi mmeanza kuja kuweweseka weweseka kama wagonjwa. Kaeni kwa kutulia mfundishwe siasa na Mwamba Mwenyewe
 
The question that I've been asking myself huu uteuzi ulikuwa na lengo gani?
Ulikuwa na lengo la kuja kuwapatia watanzania mtu anayejuwa shida za watu,mtu mchapa kazi ,mwenye bidii ya kazi , mnyenyekevu ,mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu. Nami dhamira hiyo imetimia ambapo Mheshimiwa makonda amekidhi matarajio ya mwenyekiti wetu na chama cha Mapinduzi
 
Wachana na uvccm maana kwa sasa wamechanganyikiwa na madeni ya benki
Wewe unayelishwa na kuhudumiwa kwa kila kitu ndio unashangaa mtu kudaiwa.lakini waliokomaa kiakili wanajuwa kudaiwa ni jambo la kawaida kwa mtu.
 
Amefeli maana hata baadhi ya wana ccm hawamtaki Makonda
Amefeli sana ila huwezi amin ujinga wa makonda ni potential sana kuteka attention ya wajinga na washamba wengi uko vijijini kwao.
 
Kwakweli hata mimi hili swali huwa najiuliza sana, katika wote... kwanini Makonda? Hawakutafakari jamii hapa nchini na kimataifa inamchukulia vipi?

Wenyewe wanadai ni mkakati maalum kwa vijana, kule Jokate na huku Makonda.
Bado, ulikuwa uamuzi mbovu.
Mheshimiwa Makonda ni kiongozi mchapa kazi na mwenye kujituma hasa.ni kiongozi anayeguswa na shida za watu. Ndio maana unaona kwa sasa mikutano yake inavyofurika na kumiminika maelfu ya watanzania kwenda kumsikiliza na kupeleka kero zao kwa ajili ya kupata suluhisho na msaada wa haraka.

Kama unaona anakosa lolote basi wewe nenda mahakamani ukafungue kesi na kutoa ushahidi wako
 
Katika vitu vime miscredit mama Samia ni huu uteuzi na suala la umeme
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Bado haujasema
 
Makonda ni anguko la CCM. Nimekuja kugundua Samia anafanyakazi kwa kusoma mtandaoni kumteua Bashite ni kosa kubwa sana. Makonda kipindi cha kichaa halikuwa hana adabu kabisa. Je ataweza kufanyakazi na Nchimbi.
 
Itazame sana ccm hasa inapofika kipindi Cha uchaguzi, inajua fika haiwezi tena kushinda uchaguzi wowote kihalali. Mojawapo kati ya mbinu zake za kushinda ni pamoja na uhalifu. Hivyo ccm hushirikisha wahalifu ambao hupatiwa Kinga ya vyombo vya Dola, huku ikawalipa wahalifu hao kudhuru wapinzani, ama kuwafanyia hujuma wapinzani wao.

Kwa Sasa Samia amefanya Mojawapo ya mbinu Yao ya kusaka ushindi kwa kumteua huyo muhalifu Ili awe upande wa kitengo Cha uhalifu. Kwahiyo usiumize sana kichwa maana kamteua mtu sahihi kwa mipango Yao miovu.
 
Makonda ni anguko la CCM. Nimekuja kugundua Samia anafanyakazi kwa kusoma mtandaoni kumteua Bashite ni kosa kubwa sana. Makonda kipindi cha kichaa halikuwa hana adabu kabisa. Je ataweza kufanyakazi na Nchimbi.
Mkuu huyo Nchimbi ana adabu?
 
Mama alifikiria kundi lililokuwa loyal kwa Rais Magufuli na style yake ya utendaji. Wapo watanzania bado wanaomboleza Mzee Magufuli na hao wakimuona Makonda wanamuona Mzee Magufuli. Unaweza usiwaelewe ila hawapuuziki kwa idadi. Anaweza asiwe chaguo sahihi kwa maoni ya wenye akili za tathmini na kumbukumbu kama wengi humu ila ni chaguo sahihi kwa wengi wanaotumia tu hisia kufikiri na kuamua.
 
Back
Top Bottom