Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Mkuu hizo kazi za makonda anazichapia wapi ? Alafu mbona umemtukana jamaa kwa kuandika kingereza? Unasema sijui ukoloni na vitu kama hivyo, hii platform yenyewe imetengenezwa kwa code zilizochapwa kwa lugha ya kingereza sasa kama ni ukoloni si ungeanza kuignore platform kwanza ? Mkuu sio kwa ubaya, kama unaweza kujenga hoja jenga moja kwa moja sio mpaka umtukane mtu. Kingereza ni kama kisukuma tu na kiswahili sema kisukuma na kiswahili coverage yake ndogo ndio mana hata kwenye shule tunazosoma ukifika sekondari lugha ya kufundishia inabadilika mkuu…Nakuhakikishia kama sio kingereza hii platform isingekuwepo, kuna mtu alisoma kingereza akaelewa ndio akasoma php na html ndio akachapa hizo code ikatokea hii platform ndio wewe ukapata uwanja wa kutukana watu kwamba wanawapa promo wazungu, sio poa
 
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.

Kazi gani aliyowahi kuichapa Makonda? Kumpoteza Ben Sanane, kumpoteza Azory Gwanda na kuwatapeli nyumba GSM?
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
walete ushahidi , siyo kuleta propaganda zao kisa alitangaza vita na mashoga..

ndo haohao wanaosupport GAZA masacre na hawataki kuambiwa wala kupangiwa.

Kama wana huo ushahidi against Makonda waulete, lakini maneno tu HAPANA
 
Mwenezi ana uwezo wa kufanya maamuzi bila woga,
Mtu huyu ni muhimu sana!
 
Makonda ni anguko la CCM. Nimekuja kugundua Samia anafanyakazi kwa kusoma mtandaoni kumteua Bashite ni kosa kubwa sana. Makonda kipindi cha kichaa halikuwa hana adabu kabisa. Je ataweza kufanyakazi na Nchimbi.

Magufuli mwenyewe mwishoni alimchoka, baasa ya kugundua aliwatapeli GSM nyumba kwa kutumia jina lake. Na kila aliyekuwa anamwombea appointment alikuwa amekwishakula zaidi ya shilingi milioni 100. Ndiyo maana marehemu aliamua kuachana naye, akamweka nje ya utawalawake.
 
walete ushahidi , siyo kuleta propaganda zao kisa alitangaza vita na mashoga..

ndo haohao wanaosupport GAZA masacre na hawataki kuambiwa wala kupangiwa.

Kama wana huo ushahidi against Makonda waulete, lakini maneno tu HAPANA

..Bashite anapigaje vita ushoga huku ana makalio makubwa kushinda ya wanawake?
 
Kuteuliwa kwa Bashite na kupitishwa na kuchaguliwa kwa Sabaya Seniorkuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa,Arusha ni moja ya MAAMUZI MABAYA kabisa ya CCM chini ya Mama Kizimkazi
 
Back
Top Bottom