Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

Huyo mama anapenda Sifa za kutajwa tajwa kwenye vyombo vya habari... Eti kwamba anaupiga mwingi ...

Akaona amchague mropokaji... Na content creator mpenda sifa na asiependa akauke midomoni mwa watu ama vyombo vya habari.

Kiufupi mama ni pipa!... Na Bashite ni mfuniko!

Mama ni Studio... Makonda ndie msanii mwenyewe.... Tuendelee tu kusikiliza Ngoma zao!
 
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Toa mfano wa uchapakazi wake
 
Labda kuna mawaziri na watendaji mama anawaonea aibu
Sasa ameona amteue mtu asiekuwa na haya na mropokaji
Mbona Chala yumo?
Kuna watu wanaoenewa aibu kupigiwa hata simu naona
Kwa hiyo akaona upele upate mkunaji
Hivi atakutana na Balozi wa usa hata kwenye hafla tu
 
Matusi ya nini sasa? Jibu hoja kama huna majibu pita bila matusi. Huwa sipendi majibu ya matusi........ Unaweza ukawa na mapenzi na Makonda, lkn si warrant ya matusi! Muulize mama yako kama nina matatizo ya akili. Ananijua fika kuwa mimi ni mzima sina tatizo hata kidogo.
Pili kiingereza hukijui, ungelikuwa unakijua usingeliandika hivyo!
nakutakia mchana mwema!
Mkuu nimewaza kama mama yake anakujua inamaana ww ndio baba yake au ww ni uncle wake. ..... Azingatie neno uncle sio kaka yake mama bali ni yule mtu anamkula maza alafu mtoto anaambiwa huyu ni uncle😂😂😂😂
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Uteuzi huu lengo lake ni kutimiza makusudi mapana ya Kizimkazi si kwa manufaa ya nchi!
 
Itazame sana ccm hasa inapofika kipindi Cha uchaguzi, inajua fika haiwezi tena kushinda uchaguzi wowote kihalali. Mojawapo kati ya mbinu zake za kushinda ni pamoja na uhalifu. Hivyo ccm hushirikisha wahalifu ambao hupatiwa Kinga ya vyombo vya Dola, huku ikawalipa wahalifu hao kudhuru wapinzani, ama kuwafanyia hujuma wapinzani wao.

Kwa Sasa Samia amefanya Mojawapo ya mbinu Yao ya kusaka ushindi kwa kumteua huyo muhalifu Ili awe upande wa kitengo Cha uhalifu. Kwahiyo usiumize sana kichwa maana kamteua mtu sahihi kwa mipango Yao miovu.
Winning elections by hooks and crooks!
 
Mkuu nimewaza kama mama yake anakujua inamaana ww ndio baba yake au ww ni uncle wake. ..... Azingatie neno uncle sio kaka yake mama bali ni yule mtu anamkula maza alafu mtoto anaambiwa huyu ni uncle😂😂😂😂
. You are correct in all interpretations be it narrow or wider.....be it I am the uncle or father! But to be on the safe side use a wider interpretation so as to avoid absurd meaning 😀 😀 😀 😀 😀
 
. You are correct in all interpretations be it narrow or wider.....be it I am the uncle or father! But to be on the safe side use a wider interpretation so as to avoid absurd meaning
Eh mkuu umeandika kingereza imebidi ni copi nikapesti pale kwenye transileta ndio nimeelewa ila unaonekana mstaarabu sana hongera mkuu dogo anataka kuota mapembe mbele yako haiwezekani😂😂
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Chadema ilivyomteua lowassa walifikiria nini?ikiwa amegubikwa na kashfa za ufisadi ni hao hao chadema walileta list of shame akiwa no 1!
 
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Kuna kitu unapata kwake sio bure, mtu yeyote asiye mnafiki anafahamu vyema Makonda ni mtu wa namna gani ila wewe na njaa yako ngoja tukuache kwa sababu kama huwezi kupigania maisha yako mwenyewe unategemea uchawa basi iko siku utajuta.
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Wewe unaongea kama nani na unaushahidi gani kuwa Makonda anahusika na hayo! Acha ujinga wako wa kupangia mamlaka nani wa kuteuliwa na nani asiteuliwe! Kuhusu hao watu wa kimataifa sisi hawatuhusu na wewe na wapuuzi wenzako na mwenyekiti wenu Mbowe kila leo kukimbilia ubalozini kulamba makao mabalaozi!
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Dogo hivi huwa unalala kweli? Maana kila wakati Makonda, Makonda! Si mumpeleke mahakamani mtupunguzie kelele humu!??
 
Atakuwa alipewa nafasi sio kwa matokeo ya Image yake Kimataifa, bali ni kwa mambo mawili,

Mosi, Kuwasema wapinzani kwa lolote atalojisikia.

Pili, Kuwasema watu ndani ya Chama chake,hasa wale wanaonewa aibu kusemwa "Untouchable"
 
Eh mkuu umeandika kingereza imebidi ni copi nikapesti pale kwenye transileta ndio nimeelewa ila unaonekana mstaarabu sana hongera mkuu dogo anataka kuota mapembe mbele yako haiwezekani😂😂
This is not my mother tongue language, but having attended school to at least A level in the mid 70s, one is expected to write such simple sentences!
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Muulize tena Samia kwanini alimkaribisha Ikulu Tonny Blair wakati anafahamu alishiriki mauaji wa watu wa Irak kwa kisingizio cha Sadam kuwa anamiliki silaha za maangamizi wakati ni uongo!
Kwani Makonda ana tofauti gani na Blair na Bush katika ukiukaji wa haki za Binadamu?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Matusi ya nini sasa? Jibu hoja kama huna majibu pita bila matusi. Huwa sipendi majibu ya matusi........ Unaweza ukawa na mapenzi na Makonda, lkn si warrant ya matusi! Muulize mama yako kama nina matatizo ya akili. Ananijua fika kuwa mimi ni mzima sina tatizo hata kidogo.
Pili kiingereza hukijui, ungelikuwa unakijua usingeliandika hivyo!
nakutakia mchana mwema!
Tuhuma zako zina ushaidi,maana ata Sabaya mulikuwa mnaimba humu,akafunguliwa mashitaka mmeshindwa kutoa ushaidi Mahakamani kaachiwa huru!

Back
Top Bottom