Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Makonda hana nafasi ndani ya jamii maana kila sehemu hatakiwi.Kwakweli hata mimi hili swali huwa najiuliza sana, katika wote... kwanini Makonda? Hawakutafakari jamii hapa nchini na kimataifa inamchukulia vipi?
Wenyewe wanadai ni mkakati maalum kwa vijana, kule Jokate na huku Makonda.
Bado, ulikuwa uamuzi mbovu.
Machozi ya watu walio pata misukosuko kutoka kwa Bashite yataendelea kumuandama na kamwe hayo endelea na hatoishi kwa amani.Hata hivyo lengo halijatimia.....yamekuwa mabaya zaifi
Wewe ndiyo mjinga pimbi upigaye miayoKulipa fadhira na kupata ushabiki wa watu wajinga hasa waliokua wafuasi wa JPM
Wewe ndio kichaa unaacha hoja ya msingi unaponda kiingereza na bila shaka wenye tabia ya kuponda kingreza ni wale wasiokijua hata Hitler alikuwa mchapa kazi lakini kama ni ya kuminya watu kende tusimwambie? Kwanini makoñda ahusishwe na kupora haki za watu za kuishi? Huyu ana uchafu mwingi na kumsafisha kwake ni kumnyonga Hadi kufa au kifungo Cha maisha na kazi ngumu na ndo maana Kila mtu anahoji uteuzi wa jambazi kuingiza ummaNadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Ulikuwa na lengo la kuja kuwapatia watanzania mtu anayejuwa shida za watu,mtu mchapa kazi ,mwenye bidii ya kazi , mnyenyekevu ,mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu. Nami dhamira hiyo imetimia ambapo Mheshimiwa makonda amekidhi matarajio ya mwenyekiti wetu na chama cha MapinduziThe question that I've been asking myself huu uteuzi ulikuwa na lengo gani?
Wewe unayelishwa na kuhudumiwa kwa kila kitu ndio unashangaa mtu kudaiwa.lakini waliokomaa kiakili wanajuwa kudaiwa ni jambo la kawaida kwa mtu.Wachana na uvccm maana kwa sasa wamechanganyikiwa na madeni ya benki
Amefeli sana ila huwezi amin ujinga wa makonda ni potential sana kuteka attention ya wajinga na washamba wengi uko vijijini kwao.Amefeli maana hata baadhi ya wana ccm hawamtaki Makonda
Mheshimiwa Makonda ni kiongozi mchapa kazi na mwenye kujituma hasa.ni kiongozi anayeguswa na shida za watu. Ndio maana unaona kwa sasa mikutano yake inavyofurika na kumiminika maelfu ya watanzania kwenda kumsikiliza na kupeleka kero zao kwa ajili ya kupata suluhisho na msaada wa haraka.Kwakweli hata mimi hili swali huwa najiuliza sana, katika wote... kwanini Makonda? Hawakutafakari jamii hapa nchini na kimataifa inamchukulia vipi?
Wenyewe wanadai ni mkakati maalum kwa vijana, kule Jokate na huku Makonda.
Bado, ulikuwa uamuzi mbovu.
Acha uongo wako wewe.wana CCM wapi hao? Au ukivuta mibangi yako kichwani ndio unaanza kuwaza na kuota hivyo ukiwa usingiziniAmefeli maana hata baadhi ya wana ccm hawamtaki Makonda
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Itakua ni kuwavuruga wapinzaniThe question that I've been asking myself huu uteuzi ulikuwa na lengo gani?
Bado haujasemaMakonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Itazame sana ccm hasa inapofika kipindi Cha uchaguzi, inajua fika haiwezi tena kushinda uchaguzi wowote kihalali. Mojawapo kati ya mbinu zake za kushinda ni pamoja na uhalifu. Hivyo ccm hushirikisha wahalifu ambao hupatiwa Kinga ya vyombo vya Dola, huku ikawalipa wahalifu hao kudhuru wapinzani, ama kuwafanyia hujuma wapinzani wao.Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Mkuu huyo Nchimbi ana adabu?Makonda ni anguko la CCM. Nimekuja kugundua Samia anafanyakazi kwa kusoma mtandaoni kumteua Bashite ni kosa kubwa sana. Makonda kipindi cha kichaa halikuwa hana adabu kabisa. Je ataweza kufanyakazi na Nchimbi.