JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Toa mfano wa uchapakazi wakeNadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Mkuu nimewaza kama mama yake anakujua inamaana ww ndio baba yake au ww ni uncle wake. ..... Azingatie neno uncle sio kaka yake mama bali ni yule mtu anamkula maza alafu mtoto anaambiwa huyu ni uncle😂😂😂😂Matusi ya nini sasa? Jibu hoja kama huna majibu pita bila matusi. Huwa sipendi majibu ya matusi........ Unaweza ukawa na mapenzi na Makonda, lkn si warrant ya matusi! Muulize mama yako kama nina matatizo ya akili. Ananijua fika kuwa mimi ni mzima sina tatizo hata kidogo.
Pili kiingereza hukijui, ungelikuwa unakijua usingeliandika hivyo!
nakutakia mchana mwema!
Uteuzi huu lengo lake ni kutimiza makusudi mapana ya Kizimkazi si kwa manufaa ya nchi!Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Winning elections by hooks and crooks!Itazame sana ccm hasa inapofika kipindi Cha uchaguzi, inajua fika haiwezi tena kushinda uchaguzi wowote kihalali. Mojawapo kati ya mbinu zake za kushinda ni pamoja na uhalifu. Hivyo ccm hushirikisha wahalifu ambao hupatiwa Kinga ya vyombo vya Dola, huku ikawalipa wahalifu hao kudhuru wapinzani, ama kuwafanyia hujuma wapinzani wao.
Kwa Sasa Samia amefanya Mojawapo ya mbinu Yao ya kusaka ushindi kwa kumteua huyo muhalifu Ili awe upande wa kitengo Cha uhalifu. Kwahiyo usiumize sana kichwa maana kamteua mtu sahihi kwa mipango Yao miovu.
. You are correct in all interpretations be it narrow or wider.....be it I am the uncle or father! But to be on the safe side use a wider interpretation so as to avoid absurd meaning 😀 😀 😀 😀 😀Mkuu nimewaza kama mama yake anakujua inamaana ww ndio baba yake au ww ni uncle wake. ..... Azingatie neno uncle sio kaka yake mama bali ni yule mtu anamkula maza alafu mtoto anaambiwa huyu ni uncle😂😂😂😂
Eh mkuu umeandika kingereza imebidi ni copi nikapesti pale kwenye transileta ndio nimeelewa ila unaonekana mstaarabu sana hongera mkuu dogo anataka kuota mapembe mbele yako haiwezekani😂😂. You are correct in all interpretations be it narrow or wider.....be it I am the uncle or father! But to be on the safe side use a wider interpretation so as to avoid absurd meaning
Chadema ilivyomteua lowassa walifikiria nini?ikiwa amegubikwa na kashfa za ufisadi ni hao hao chadema walileta list of shame akiwa no 1!Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Kuna kitu unapata kwake sio bure, mtu yeyote asiye mnafiki anafahamu vyema Makonda ni mtu wa namna gani ila wewe na njaa yako ngoja tukuache kwa sababu kama huwezi kupigania maisha yako mwenyewe unategemea uchawa basi iko siku utajuta.Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Wewe unaongea kama nani na unaushahidi gani kuwa Makonda anahusika na hayo! Acha ujinga wako wa kupangia mamlaka nani wa kuteuliwa na nani asiteuliwe! Kuhusu hao watu wa kimataifa sisi hawatuhusu na wewe na wapuuzi wenzako na mwenyekiti wenu Mbowe kila leo kukimbilia ubalozini kulamba makao mabalaozi!Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Nani anakubalika na watu wote? Hata huko CHADEMA kuna watu hawamtaki Mbowe!Amefeli maana hata baadhi ya wana ccm hawamtaki Makonda
Majivu?majivu ya kijinga!
Nchi ya vipofu mwenye chongo Raisi....Hata kama ni kulipa fadhila,ni chaguo bovu.
Dogo hivi huwa unalala kweli? Maana kila wakati Makonda, Makonda! Si mumpeleke mahakamani mtupunguzie kelele humu!??Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
This is not my mother tongue language, but having attended school to at least A level in the mid 70s, one is expected to write such simple sentences!Eh mkuu umeandika kingereza imebidi ni copi nikapesti pale kwenye transileta ndio nimeelewa ila unaonekana mstaarabu sana hongera mkuu dogo anataka kuota mapembe mbele yako haiwezekani😂😂
Muulize tena Samia kwanini alimkaribisha Ikulu Tonny Blair wakati anafahamu alishiriki mauaji wa watu wa Irak kwa kisingizio cha Sadam kuwa anamiliki silaha za maangamizi wakati ni uongo!Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Tuhuma zako zina ushaidi,maana ata Sabaya mulikuwa mnaimba humu,akafunguliwa mashitaka mmeshindwa kutoa ushaidi Mahakamani kaachiwa huru!Matusi ya nini sasa? Jibu hoja kama huna majibu pita bila matusi. Huwa sipendi majibu ya matusi........ Unaweza ukawa na mapenzi na Makonda, lkn si warrant ya matusi! Muulize mama yako kama nina matatizo ya akili. Ananijua fika kuwa mimi ni mzima sina tatizo hata kidogo.
Pili kiingereza hukijui, ungelikuwa unakijua usingeliandika hivyo!
nakutakia mchana mwema!