Jibu lako ni hili: In a corrupt judicial system, money and influence may decide which cases are prioritised or dismissed. Perpetrators may get away unpunished while victims are left with no answer and no justice.Tuhuma zako zina ushaidi,maana ata Sabaya mulikuwa mnaimba humu,akafunguliwa mashitaka mmeshindwa kutoa ushaidi Mahakamani kaachiwa huru!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kuuwa wapinzaniThe question that I've been asking myself huu uteuzi ulikuwa na lengo gani?
Kwani ukiacha Makonda,nani ni msafi ndani ya CCM?Kwakweli hata mimi hili swali huwa najiuliza sana, katika wote... kwanini Makonda? Hawakutafakari jamii hapa nchini na kimataifa inamchukulia vipi?
Wenyewe wanadai ni mkakati maalum kwa vijana, kule Jokate na huku Makonda.
Bado, ulikuwa uamuzi mbovu.
Makonda ni kiongozi mzuri sana na mwenye MSIMAMO. Achana na propaganda za wakoloni.Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Kwani Marekani ni mbinguni?nani alikwambia Wamarekani wanawapendeni ninyi watu weusi?You are just monkeys [emoji205] in the eyes of whites!Wengi sana tulijiuliza sana hili swali.
Hivi ndani ya chama hakuna mtu makini ambaye angeweza kuwa msemaji wa chama?
Unamteua kiongizi ambaye amepigwa marufuku kuingia kwenye baadhi ya nchi hapa duniani?
Watanzania kwa kuweweseka,kile ni chama cha majambazi,wamemteua Jambazi mwenzao kuwa msemaji wao,watu wanalalamika![emoji1787][emoji1787]Kura za 2025 kanda ya ziwa
Kama Tony Blair,Bush na Netanyahu!Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchimbi mwenyewe muhuni kama Wahuni wengine wa CCM!Makonda ni anguko la CCM. Nimekuja kugundua Samia anafanyakazi kwa kusoma mtandaoni kumteua Bashite ni kosa kubwa sana. Makonda kipindi cha kichaa halikuwa hana adabu kabisa. Je ataweza kufanyakazi na Nchimbi.
Watanzania kwa unafiki, yaani chama cha majambazi wamemteua Jambazi mwenzao kuwa msemaji wao watu wanalalamika!Itazame sana ccm hasa inapofika kipindi Cha uchaguzi, inajua fika haiwezi tena kushinda uchaguzi wowote kihalali. Mojawapo kati ya mbinu zake za kushinda ni pamoja na uhalifu. Hivyo ccm hushirikisha wahalifu ambao hupatiwa Kinga ya vyombo vya Dola, huku ikawalipa wahalifu hao kudhuru wapinzani, ama kuwafanyia hujuma wapinzani wao.
Kwa Sasa Samia amefanya Mojawapo ya mbinu Yao ya kusaka ushindi kwa kumteua huyo muhalifu Ili awe upande wa kitengo Cha uhalifu. Kwahiyo usiumize sana kichwa maana kamteua mtu sahihi kwa mipango Yao miovu.
Hata ' Idd Amini dada alikuwa mchapa kazi na hana utani kwenye jambo lake.Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Matukio ya utekaji na watu kupotea yamerudi kwa kasi toka arudishwe kwenye mfumoMakonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Ukweli usio na mashakaMatukio ya utekaji na watu kupotea yamerudi kwa kasi toka arudishwe kwenye mfumo
Hapa mjadala ni Makonda, hao wengine ukitaka tuwajadili kawafungulie thread tutakuja kujadili.Kwani ukiacha Makonda,nani ni msafi ndani ya CCM?
CCM ni chama cha Mafisadi;kwani ni Watanzania wangapi wanakufa kila siku kwa kukosa matibabu kisa huduma mbovu za Afya!huo sio ukiukaji wa haki za Binadamu kunyimwa haki ya kuishi?
Tuache personal attacks,CCM yote haifai!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Yaa to the point, pamoja na kuwatishia nyau akina Mbowe, si mlisikia tetesi zingine za mkuu mpya wa mkoa Dar. Yote hayo kutishia nyauKura za 2025 kanda ya ziwa
kwa sasa ajaanza; anahifadhi mbinu zake mpaka uchaguzi ukaribie. Ila kwa sasa sijui kama atapata msaada wa inpecta general huyu.Ukweli usio na mashaka
Mbona na wewe unatumia jina la 'Bigstone' kwa nini usitumie jina la kibantu kama makolosi,mapunda au masanja ili kujiyofautisha na huyo uliyemquote .Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Ndio kwanza kaanza ,mtanyooka tuuMakonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Watanzania siyo wajinga woteYaa to the point, pamoja na kuwatishia nyau akina Mbowe, si mlisikia tetesi zingine za mkuu mpya wa mkoa Dar. Yote hayo kutishia nyau