Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hatari snWatanzania kwa kuweweseka,kile ni chama cha majambazi,wamemteua Jambazi mwenzao kuwa msemaji wao,watu wanalalamika![emoji1787][emoji1787]
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
matumizi mabaya ya petrol, hicho chombo sio cha kusafiria na kinatumia mafuta mengi.Ndio kwanza kaanza ,mtanyooka tuu
View: https://www.instagram.com/reel/C2UcEZ9qFdf/?igsh=dHpoN25leWl2bXhv
Mkuu hizo kazi za makonda anazichapia wapi ? Alafu mbona umemtukana jamaa kwa kuandika kingereza? Unasema sijui ukoloni na vitu kama hivyo, hii platform yenyewe imetengenezwa kwa code zilizochapwa kwa lugha ya kingereza sasa kama ni ukoloni si ungeanza kuignore platform kwanza ? Mkuu sio kwa ubaya, kama unaweza kujenga hoja jenga moja kwa moja sio mpaka umtukane mtu. Kingereza ni kama kisukuma tu na kiswahili sema kisukuma na kiswahili coverage yake ndogo ndio mana hata kwenye shule tunazosoma ukifika sekondari lugha ya kufundishia inabadilika mkuu…Nakuhakikishia kama sio kingereza hii platform isingekuwepo, kuna mtu alisoma kingereza akaelewa ndio akasoma php na html ndio akachapa hizo code ikatokea hii platform ndio wewe ukapata uwanja wa kutukana watu kwamba wanawapa promo wazungu, sio poaNadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
walete ushahidi , siyo kuleta propaganda zao kisa alitangaza vita na mashoga..Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo
Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?
Any sensible man wil ponder about that nomination!
Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Makonda ni anguko la CCM. Nimekuja kugundua Samia anafanyakazi kwa kusoma mtandaoni kumteua Bashite ni kosa kubwa sana. Makonda kipindi cha kichaa halikuwa hana adabu kabisa. Je ataweza kufanyakazi na Nchimbi.
walete ushahidi , siyo kuleta propaganda zao kisa alitangaza vita na mashoga..
ndo haohao wanaosupport GAZA masacre na hawataki kuambiwa wala kupangiwa.
Kama wana huo ushahidi against Makonda waulete, lakini maneno tu HAPANA