Rais Samia alikosea Mwanzo hawezi kurekebisha kwani tayari ameshaharibu

Honestly, mimi sijakuelewa....

Hoja yako inabebwa na sentensi moja tu, "Alikosea toka mwanzo, hawezi kurekebisha tena"

Bahati mbaya hujaichambua ili ilete ushawishi na kutufanya tuelewe utakacho tuelewe kwa urahisi...

Sasa kwa mifano halisi isiyo na shaka na ya wazi, hebu eleza alikosea nini na kwa namna gani...?

Na je kwa uelewa wako, unadhani alipaswa afanye nini badala yake..?
 
Hata jpm aliwaachia kina babu seya ili kufurahisha wapinzani na aonekane jk aliwafunga kimakosa,, wakati babu seya alifungwa enzi za rais mkapa,,
Jpm alitaka kugain popularity miongoni mwa wapinzani kwa hilo,, pamoja na suala la kununua ndege(lilikuwa takwa la wapinzani enzi za jk),kuchagua wapinzani kwa kuwapa madaraka kama akina polepole, etc,
Lakini hakuna mtu alisema jpm alikuaga mnafiki enzi akiwa waziri chini ya serikali ya jk,,
 
ilitakiwa aanze kwa ujasiri, alitakwa aanze na Serikari mpya itakayoapa mbele yake, aanze kwa kuwa na Spika mpya, Jaji Mkuu na Waziri Mkuu atakayeapa mbele yake, kosa alilolifanya ni kurithi viapo.

Anyway kwa Katiba yetu anaweza kufanya u-turn yeyote akatakayo kuweka mambo sawa, nguvu zole za kidola na kimamlaka zipo kiganjani mwake.
 
Mh.Rais SSH aliteuliwa na hayati JPM kuwa mgombea mwenza.....unapoanza kusema si mzalendo basi unaacha mashaka hata na uzalendo wa aliyemteua.......

FYI: Mh.Kikwete aliambiwa CCM itamfia.....vipi limetokea hilo?!!!

Siempre JMT
Tunawajua hawa, enzi mwinyi ndo anaongoza, hawa hawa walikuwa wanapiga kelele nchi inakwenda kutumbukia shimoni,,cha ajabu hadi leo nchi ipo, [emoji1745][emoji1745]
 

haimaanishi kwamba nipo nje ya ccm but naweza kua ndan ila nisiwe nakubaliana na mwenyekiti aliepo, uzuri wa ccm mwenyekiti anabadilika sioo kama wale jamaa wengine wa kule kwenye kibanda cha mpesa
 
SAMIA NI RAIS BORA HADI SASA LICHA YA AMAPUNGUFU YAKE..YEYE ALETE KATIBA MPYA LAKINI ILIYOBORESHWA
Utakuwa umelewa samia huku kwa wanainchi hata ukiweka GOGO AU CHUPI INAPITA MAANA KILA MWANAINCHI HAMUTAKI KABISA


HUSASI WANAWAKE WENZAKE SIJAONA SEHEMU SAMIA WANAINCHI WANAMUUNGA MKONO LABDA KIDOGO WAFANYAKAZI AMABAO NAO HUWA HAWAPIGI KURA


HAKIKA CCM INAENDA KUANGUKA KIRAHI LABDA SAMIA AACHIE

ASILIMIA 99 SAMIA HAKUBALIKI HATA KWA VIONGOZI ALIOWATEUA HAWAMKUBALI HATA KIDOGO
 
haimaanishi kwamba nipo nje ya ccm but naweza kua ndan ila nisiwe nakubaliana na mwenyekiti aliepo, uzuri wa ccm mwenyekiti anabadilika sioo kama wale jamaa wengine wa kule kwenye kibanda cha mpesa
Basi sawa komredi endelea kutokukubaliana na mwenyekiti wetu hadi 2030 atakapotoka madarakani aaamin!
 
Tunawajua hawa, enzi mwinyi ndo anaongoza, hawa hawa walikuwa wanapiga kelele nchi inakwenda kutumbukia shimoni,,cha ajabu hadi leo nchi ipo, [emoji1745][emoji1745]
👍👍
Ha ha ha wapiga makelele tu......

#Siempre JMT🙏
 
Mimi sinawasiwasi saana na samia,kwasababu haui watu hovyo na tunaweza kuongea sasa.


Ila naona nchi imeshikwa na MWIGURU ,maana kila anachoanzisha mama hapingi.
Iwe tozo,kupanda kwa bei ya mafuta na bidhaa zingine.

Maana nimeona wakati mwiguru anaanzisha tozo mama alisita.lakin mwigulu baada ya kuhutubia kibabe na kwa kujiamini mama kalegea.

Hii ndio shida ya kina mama.ni wepesi kushawika na watoto wanaowapenda.
 
Ndiyo maana hataki tume huru ya uchaguzi
 
Akina Ndugai wanamdanganya sn
 
She doesn't deserve to be there and sensible citizen wishes to vote for her come 2025. She is full of vengeance "Sitakubali" is a dangerous statement to be publicly uttered by a head of state.
 
Comment yangu siyo malicious...na Wala sija-judge uongozi wa Mhe. Samia...nilichofanya ni kuainisha facts zilizopo on the ground...niliyoyaainisha ndiyo hayo yaliyopo na ndiyo watu wanayazungumzia....yakiwemo masuala ya miamala...
Ila watu Kama nyie hamuusaidii uongozi wa sasa kwa kuanza kupinga Yale sisi wenzenu tunayoyaona...uongozi wa sasa unahitaji kusaidiwa kifikra kwa kweli...Kama uongozi wa sasa utafanya maajabu katika kipindi Cha miaka mitatu Hilo ni Jambo jema...watanzania wa kweli wangependa Kuona rais wetu anafanikiwa na siyo vinginevyo...
 
Eti awafariji wafiwa Kwanza kwa muda wa mwaka mmoja"

Eti kugombea Samia 2025 Ni anguko la Ccm,


Samia 2025 atapata kura za kishindo 80%✓

Hilo tahira lenu limekufa kwa ujinga wake wakutochukua tahadhali ya Covid19,

Kenge nyinyi,na tutawashughulikia ipasavyo kuanzia January nyie wahuni wachache
 
Ni kweli, alitakiwa kufanya mabadiliko makubwa kwenye chama chake na serikali ili kufanya CCM na serikali yake kuwa vyombo vya maendeleo. CCM extremist walimlagahia sana matokeo yake fedha za umma zinatumika kuwabambikia kesi akina MBOWE, chache zilizosalia zinatumika kununua ndege etc. Huku huduma za kijamii za serikali eg, Tiba, maji, umeme, transaction etc zikiwa hoi na pia bei zikiwa ghali mno. Alianza vizuri sana huku anakokwenda Mungu ndio anajua.
 
Upo uchaguzi mlisha wahi kusema CCM itashinda?

Huu mwangwi wenu ni wa kila chaguzi, hivyo umezoeleka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…