Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Ninachoona ni kwamba una mapungufu ya ufahamu. Najua hutakubali lakini kama una elimu ya kutosha, una deni la bure la bodi ya mikopo. Chuoni ulitoka kama ulivyoingia. Eti unakumbuka movie ya Darful! Hiyo ni movie? Unajua maana ya Movie? FOOOOL!
 

Kwa vipi, embu tuambie kwa ufupi tu ili tufahamu
 
Shauri yenu mliokimbilia kuiangalia, mmepata mlichokitaka, inatakiwa Rais Apumzike afikili Kama alichofanya ni sawa ,Kama sio sawa vulumisha watu wote Ikulu,mbwai mbwai
 
Unajipinga mwenyewe...Kama ni public basi huwezi kuiwrka public interest nje kwa personal preferences zako...
Personal preferences ni zipi?? Issue hapa ni motive sio plot ya documentary!!

Kama amelenga kupata viewers million 2 na wakapatikana then wakaja bongo kutembelea wewe huoni ni public interest? Au hao watalii wakija watamlipa tip Mama Samia na Peter??
 
Shauri yenu mliokimbilia kuiangalia, mmepata mlichokitaka, inatakiwa Rais Apumzike afikili Kama alichofanya ni sawa ,Kama sio sawa vulumisha watu wote Ikulu,mbwai mbwai
Ila hao jamaa wa Ikulu wote ukiwasikiliza ni hongera tu! Kumbuka wengine ndo maisha yao wameweza kufika US. Ukiwauliza mafanikio ya Royal Tour ni kufika US.
 
Una bidii ya kuandika, lakini unachoandika, dah! Ni chini ya kiwango cha umri wako JF.
 
Ninachoona ni kwamba una mapungufu ya ufahamu. Najua hutakubali lakini kama una elimu ya kutosha, una deni la bure la bodi ya mikopo. Chuoni ulitoka kama ulivyoingia. Eti unakumbuka movie ya Darful! Hiyo ni movie? Unajua maana ya Movie? FOOOOL!
Sikusoma kwa HESLB nimesoma nje ya nchi tokea O level so I'm not your level when it comes to knowledge and exposure.

Kingine movie ya Darfur ni factual maana inasimuliwa na wafanyakazi wa NGO za kizungu so ni true story sio acting Kama unavyodhani. Ni Kama tu ambavyo Samia anasimulia matukio ya Tanzania kwa Peter.

Tatizo lako exposure hauna mnadhani Urais ni kuwa mungu mtu hivi usisogelewe na mtu!!! Tembeeni huko duniani, Rais anachukuliwa simple tu maana mamlaka ya kumtoa na kumweka yapo kwa raia wenyewe.
 
Au ndo zinakusanywa pesa za kampeni 2025? Ila apati ,ukweli upo wazi
 
Tissue ya Tanzania ikofofo kwa mambo haya.
Ila chomekea gari kwny misafara yao...weeeeee. utaskia "paki pale,shuka haraka kwny gari"
 
Nani huyo, Boss? Au unazungumzia spelling? too flimsy!
Hata mimi nijuavyo, usalama wa taifa ni zaidi ya rais. Niliwahi kusoma kisa cha Marilyn Monroe na rais Kennedy.
..🙄🙄...Rais ni mkuu wa nchi, hao usalama hawawezi kuwa zaidi yake ?
 
Mimi Swali Langu ni:

Ile Stoo/Ghala ya Pembe za Ndovu Nje Pameandikwa Ilani ya Marufuku Kupiga Picha... Ikawaje Sasa Hadi video ikaarekodiwa? Nguvu Ya Beberu. Ile Ghala ilindwe Kwa nguvu zaidi.
 
Royal tour imezua mambo
 
Mimi Swali Langu ni:

Ile Stoo/Ghala ya Pembe za Ndovu Nje Pameandikwa Ilani ya Marufuku Kupiga Picha... Ikawaje Sasa Hadi video ikaarekodiwa? Nguvu Ya Beberu. Ile Ghala ilindwe Kwa nguvu zaidi.
Mbona ni mabeberu ndio walizuia tusiuze hizo pembe kwenda China, kama wangezitaka si wangezichukua kitambo.

Pale udhaifu labda ni location kufahamika kwamba ni eneo la bandari ila kusema usipIge picha ni kwa raia ila ukiwa na kibali hata ITV wamewahi fanya coverage kwenye ghala lile na picha zimewahi pigwa sana na Magazeti kipindi kile wanapinga ujangili 2013 hivi.
 
👆
Hii kali aisee...
Matola
Kiranga
Nyani Ngabu
JokaKuu
Yoda
Pascal Mayalla
Megalodon
dudus
Tindo
Phillipo Bukililo
 
Natamani Putin atutawale
 
Nitajibu mawili. (1) Ni kweli Wamasai wanasoubiri kuonwa na Watalii kama wanyama ni PRIMITIVE. Halina mjadala

(2) Mwanadamu mwenyewe Magufuli aliekuwa na VVU +Pacemaker+ Diabetes+ Bipolar +COVID 19, LAZIMA angekufa tu.

Wajanja walijuwa kuwa Magufuli HATOBOI 2023, wakakaa kimya, ila WAPUMBAVU wakamuona kama mungu mtu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…