Na huo ndo ukweliMjane,hashindwi hanaga aibu!
Wakati JPM anakata roho!akiibukia kwenye Ziara isiyojulikana,mkoa wa Tanga,na kuwaambia wananchi wa Tanga,Rais anawasalimia,kumbe JPM kafa
2. Mume akifa,alikuwa Dodoma kikazi,kuxindua mji wa kiserikali
Sema hizi kauli zitamuandama sana mpaka siku anastaafu na mwisho wake yaani... Imagine kijitabu hicho hicho ndio kilifuatwa na yeye akawekwa kama sitting president...Huyo Bibi aendelee ha Eda Zake huko huko kwao
Huku Tanganyika Mimi Binafsi na Marafiki zangu hatumtaki.
"Alisema kifo ni kifo"
"Katiba ni kajitabu"
"Harmonise ana li kifua li kikubwa"
"Alimuagiza Luto Vijana wa Genz wacharazwe Mikwaju".
Walikaa mapema kuwa hukumu itakua kifungo cha maisha jela hao Majaji hakuna kitu wanasikiliza kwenye ushahidi ili kuondoa hiyo hukumu zaidi wanasikilizia kuongeza kama watapewa maelekezo.Sipati picha jinsi hao majaji wanavyopkea vimemo Namna ya ku Handel hii kesi
Acha tusubiri mdauWalikaa mapema kuwa hukumu itakua kifungo cha maisha jela hao Majaji hakuna kitu wanasikiliza kwenye ushahidi ili kuondoa hiyo hukumu zaidi wanasikilizia kuongeza kama watapewa maelekezo.
Kitakachomnyonga ni sheria Samia hajatunga sheriaSamia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti.
Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa.
Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa, ataweka historia katika siasa za Tanzania na pengine duniani.
KWA UFANANO
Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina (mwanamke/mwuislam), 2018 alimkamata mpinzani wake mkuu Khaleda Zia, Zia alifia gerezani, Sheikh Hasina naye kahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
Hukumu ya Uhaini ni kifo tu hakuna kifungo cha maisha.Walikaa mapema kuwa hukumu itakua kifungo cha maisha jela hao Majaji hakuna kitu wanasikiliza kwenye ushahidi ili kuondoa hiyo hukumu zaidi wanasikilizia kuongeza kama watapewa maelekezo.
Tupo hapa mkuu unawaamini hao Majaji waliosema ana kesi ya kujibu kwenye ule ushahidi wa kutengeneza tupo hapa wale sio watu ni majini yanayotembea..Hukumu ya Uhaini ni kifo tu hakuna kifungo cha maisha.
Aliyeandaa mashtaka ndio kawaingiza chaka, mashtaka ya kumkomowa Lisuak wangempa kesi ya uchochezi ili angalau wangemkuta na kosa moja wamfunge.
Hili la uhaini wamechemka hakuna Jaji wa kukubali kufanya dhulma hiyo.
Wapo majambazi kabisa wanaachiwa huru kwa kukosekana ushahidi kwenye murder case zao.
Likitokea hilo basi ujuwe kuna shujaa feki anaandaliwa ili yeye ndio aje kumpa msamaha, likitokea hilo basi mjuwe nchi itakuwa imefikia pabaya kuliko tunavyodhani na heshima ya Majaji haitakuwepo tena au Lisu atakataa shujaa feki atakwenda Court of Appeal.Tatizo CCM ya sasa ina watu wenye roho mbaya kama ya shetani tu...
Sitaona ajabu hukumu ikitoka kwamba TL anapaswa kunyongwa hadi kufa...
Hukumu ya kunyongwa kwa TZ huwa inasimama kama kifungo cha maisha, hivyo kumzima kisiasa TL wana uwezo kabisa kuamua ahukumiwe kifo...
TZ ni nchi haina kabisa uongozi bali ina viongozi...