Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti.
Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa.
Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa, ataweka historia katika siasa za Tanzania na pengine duniani.
KWA UFANANO
Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina (mwanamke/mwuislam), 2018 alimuweka gerezani mpinzani wake mkuu Khaleda Zia kwa kesi ya uongo ya kisiasa, Zia alifia gerezani, Sheikh Hasina naye kahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
Lissu hakuwa mpinzani wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Lissu ni kibalaka wa WAZUNGU ndiomana kabla ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Ukweli Lissu tayali alikuwa kwenye migogoro na Rais mwengine yani rip JPM
Kwaiyo kusema Lissu ni mpinzani wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Ni kichekesho kikubwa zaidi ni sawa na kumvisha nguo Lissu sio size yake!!!
Lissu anapenda kupiga picha na Watu wakubwa ili kutundika Nyumbani kwake
Kudanganya Mazezeta kwamba nayeye ni ktk wakubwa pia!!!!!