- Thread starter
- #21
Tanzania kuna sheria? au wewe ni mgeni hapa bongo.Kitakachomnyonga ni sheria Samia hajatunga sheria
Tanzania kuna sheria? au wewe ni mgeni hapa bongo.Kitakachomnyonga ni sheria Samia hajatunga sheria
ikitokea kina ndunguru wakaamua kinyume na matakwa yao watapotezwa?Sipati picha jinsi hao majaji wanavyopkea vimemo Namna ya ku Handel hii kesi
Licha ya kupotezwa ,ccm wana adhabu nyingi ikiwemo hata kukufanya maskin kwa kukufungia account zako zote na hata kutafutiwa kesi ya uhujumu uchumiikitokea kina ndunguru wakaamua kinyume na matakwa yao watapotezwa?
thank you kuthibitisha kua kibaraka ni muhaini anastahili kunyongwa gentleman.Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti.
Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa.
Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa, ataweka historia katika siasa za Tanzania na pengine duniani.
KWA UFANANO
Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina (mwanamke/mwuislam), 2018 alimkamata mpinzani wake mkuu Khaleda Zia, Zia alifia gerezani, Sheikh Hasina naye kahukumiwa kunyongwa hadi kufa.


Lissu mwenyewe kamwambia Samia kuliko kumpigia magoti yupo tayari kufa.thank you kuthibitisha kua kibaraka ni muhaini anastahili kunyongwa gentleman.
kwa mara ya kwanza umekua mkweli jukwaani
well done gentleman,
that's very impressive move politically speaking![]()
hakuna haja ya mayowe kwenye kitanzi gentleman.Lissu mwenyewe kamwambia Samia kuliko kumpigia magoti yupo tayari kufa.
Hizi kauli zinanikera .. maana kama mlikua na uwezo wa kuwaonesha mngefanya zamani tangia mwanzo kabla hajatesela jelaWajaribu waone Nchimbi ni wao watamalizana wao kwa wao. Tundu Lissu ni wetu Watanganyika Wajaribu waone
hakuna haja ya mayowe kwenye kitanzi gentleman.
aache maneno mengi plz
Mwongo wewe!Mjane,hashindwi hanaga aibu!
Wakati JPM anakata roho!akiibukia kwenye Ziara isiyojulikana,mkoa wa Tanga,na kuwaambia wananchi wa Tanga,Rais anawasalimia,kumbe JPM kafa
2. Mume akifa,alikuwa Dodoma kikazi,kuxindua mji wa kiserikali
Mwaogopa nini sasaSamia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti.
Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa.
Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa, ataweka historia katika siasa za Tanzania na pengine duniani.
KWA UFANANO
Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina (mwanamke/mwuislam), 2018 alimuweka gerezani mpinzani wake mkuu Khaleda Zia kwa kesi ya uongo ya kisiasa, Zia alifia gerezani, Sheikh Hasina naye kahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
Mwongo wewe!
Hayo ni mawazo yakoMwaogopa nini sasa
Hata 29/10 mlisema hivi hivi watanzania waoga hawatatoka.Hizi kauli zinanikera .. maana kama mlikua na uwezo wa kuwaonesha mngefanya zamani tangia mwanzo kabla hajatesela jela
Mwaka mzima!
Tuendelee tu kusali na kusubiri huruma ya wazungu ila uwezo wa kufanya kitu hadi sasa tumethibitisha hatuna labda kizazi kijacho!
Hii haiwezi kutokea, na tuliisha zungumza humu. https://www.jamiiforums.com/threads...fa-hizi-hawezi-kusaini-death-warrant.2454152/Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa, ataweka historia katika siasa za Tanzania na pengine duniani.
Sheria zipi ? Tutajie kwa uchache?Kitakachomnyonga ni sheria Samia hajatunga sheria
Hakuna mahusiano kati ya tundu na muungano..tundu syo mkubwa kuliko muunganoKwamba huyu mzanzibari kaamua? Siamini hili.. na ikatokea hivyo basi hata muungano huu utakuwa na possibility ya kuvunjika.. maana Kuna watu watasema huyu mzenji kanyonga mtanganyika.. patachimbika hapo