Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

ikitokea kina ndunguru wakaamua kinyume na matakwa yao watapotezwa?
Licha ya kupotezwa ,ccm wana adhabu nyingi ikiwemo hata kukufanya maskin kwa kukufungia account zako zote na hata kutafutiwa kesi ya uhujumu uchumi
 
thank you kuthibitisha kua kibaraka ni muhaini anastahili kunyongwa gentleman.

kwa mara ya kwanza umekua mkweli jukwaani


well done gentleman,
that's very impressive move politically speaking
 
thank you kuthibitisha kua kibaraka ni muhaini anastahili kunyongwa gentleman.

kwa mara ya kwanza umekua mkweli jukwaani


well done gentleman,
that's very impressive move politically speaking
Lissu mwenyewe kamwambia Samia kuliko kumpigia magoti yupo tayari kufa.
 
Wajaribu waone Nchimbi ni wao watamalizana wao kwa wao. Tundu Lissu ni wetu Watanganyika Wajaribu waone
Hizi kauli zinanikera .. maana kama mlikua na uwezo wa kuwaonesha mngefanya zamani tangia mwanzo kabla hajatesela jela
Mwaka mzima!
Tuendelee tu kusali na kusubiri huruma ya wazungu ila uwezo wa kufanya kitu hadi sasa tumethibitisha hatuna labda kizazi kijacho!
 
Mjane,hashindwi hanaga aibu!

Wakati JPM anakata roho!akiibukia kwenye Ziara isiyojulikana,mkoa wa Tanga,na kuwaambia wananchi wa Tanga,Rais anawasalimia,kumbe JPM kafa

2. Mume akifa,alikuwa Dodoma kikazi,kuxindua mji wa kiserikali
Mwongo wewe!
 
Mwaogopa nini sasa
 
Hata 29/10 mlisema hivi hivi watanzania waoga hawatatoka.
 
Watanzania waliiwawa na serikali Yao. Hapo targehe 29 October 2025
Aliyeamuru wauwawe alienda kujificha ngorongoro kambi ya jwtz
Ni upumba u kulikataa hili
 
Kwamba huyu mzanzibari kaamua? Siamini hili.. na ikatokea hivyo basi hata muungano huu utakuwa na possibility ya kuvunjika.. maana Kuna watu watasema huyu mzenji kanyonga mtanganyika.. patachimbika hapo
Hakuna mahusiano kati ya tundu na muungano..tundu syo mkubwa kuliko muungano

Adhabu yoyote tofauti na kunyongwa kwa tundu litakuwa kosa kubwa na mahakama itakuwa imeharibu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…