Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti


Lissu hakuwa mpinzani wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan

Lissu ni kibalaka wa WAZUNGU ndiomana kabla ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Ukweli Lissu tayali alikuwa kwenye migogoro na Rais mwengine yani rip JPM

Kwaiyo kusema Lissu ni mpinzani wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan

Ni kichekesho kikubwa zaidi ni sawa na kumvisha nguo Lissu sio size yake!!!

Lissu anapenda kupiga picha na Watu wakubwa ili kutundika Nyumbani kwake
Kudanganya Mazezeta kwamba nayeye ni ktk wakubwa pia!!!!!
 
Hivi Huwa mnarudia kusoma takataka mnazoandika kabla ya kupost?
 
Duh umeishia la ngapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…