Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Ila mkuu jaribu kuwa mstaarabu kidogo kwenye thread zako unakuwa mkali sana yaani mtu anaweza kuuliza vzr jibu atakalo pata hawezi ludia Tena
Mimi ni Msumari wa Moto, kadri utakavyoukalia ndio utakavyopata maumivu yake
 
Humu JF uki mu ignore member bado utamuona si apotee kabisa?
Walimu mpo wengi humu, alafu kwa upeo wa akili zenu huwa hamjifichi
Screenshot_20220721-163835_1.jpg
 
Mnawadharau huku mkiwasukumia watoto wenu wakashinde nao Kwa masaa 12 Kila siku! Ona aibu basi eeh!
Kuna madaraja mawili ya walimu

- Grade 1, hawa ni wale waliopo shule za English medium (feza, IST, Shabani Robert n.k) na za seminary

- Popote kambi, Hawa Sasa ni wale wenzangu na Mimi waliopo shule za serikali ambao ndio wengi wamewehuka humu JF

Watoto wangu wanafundishwa na waliopo kwenye hilo kundi la kwanza
 
Hakuna shida, tutaendelea kuiba na kula rushwa. Rushwa na uwizi nchi nyingine walipunguza kwa kuangalia haki na stahiki za mtumishi pamoja na kudhibiti mfumuko wa Bei ili kufanya balancing ya anachopokea mwananchi na anachotumia.

Wewe endelea kufurahia unaowaita walimu/wafanyakazi kutokulipwa 23% Kama nyongeza, wakati huohuo watu wanapitisha mizigo kwenye miboti bure bila kulipa kodi kwenye bandari zetu.
 
Nchi gani hizo?
 
Kuna madaraja mawili ya walimu
- Grade 1, hawa ni wale waliopo shule za English medium(feza, IST, Shabani Robert n.k) na za seminary

- Popote kambi, Hawa Sasa ni wale wenzangu na Mimi waliopo shule za serikali ambao ndio wengi wamewehuka humu JF

Watoto wangu wanafundishwa na waliopo kwenye hilo kundi la kwanza
Hao wa kundi lako la kwanza wanaitwa walimu au manesi? Nakuita mpumbavu Kwa kushindwa kwako kumjua mwalimu ni nani!
 
Attachments zipi? Barua ilishatoka na ikasema 23.3 ni kwa kima Cha chini, unataka uwekewe nini tena? Pili mishahara ishapistiwa kwenye system, unataka kujua nini tena? Walimu mna shida gani?
Mbona unaumia sana au wewe ndo mwalimu?

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Hao wa kundi lako la kwanza wanaitwa walimu au manesi? Nakuita mpumbavu Kwa kushindwa kwako kumjua mwalimu ni nani!
Tunawaita "Academicians" kwenye shule ambayo Watoto wangu wanasoma. Sijui wewe utaamua kuwaitaje.

Walimu ni hao wa kundi la pili, Ila nao ukiamua kuwaita Academicians ni sawa tu japo nafsi yako itakusuta.
 
Bila shaka wewe ni Mwalimu, huo mshahara unaopewa unakutosha. Mwalimu hana kazi ya kufanya ya kulipwa mshahara mkubwa. Ukiona mshahara kidogo, acha kazi, hujalazimishwa

Unafikiri kila mmoja humu ni Mwalimu, Mimi Nina biashara zangu, hata kama ningekuwa Mwalimu ni kazi kama kazi zingine, ila kumbuka walimu walikufuta mavi na kamasi, Leo unapata ujasiri wakuwabeza! Mjinga mkubwa wewe!
 
Hizi hasira sio bure kuna kitu hakipo sawa kwenye medula
 
NMB ni Benki inayo waumiza watumishi kwenye mikopo, malalamiko mengi ya watumishi wano kopa huko NMB wameishia kujuta.
nendeni CRDB ndio Benki pekee iliyo dhamiria kuwakomboa watumishi kiuchumi.

kakweli,NMB 2018 niliomba mkopo kwao ulikaa miezi 3 sijapata.

CRDB nao wanataka mshahara upitie kwao[emoji2][emoji2].
 
Back
Top Bottom