Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #141
Kabla sijakujibu, unahisi mimi nilifundishwa na wa kundi gani hapo?Nikuulize, wewe ulisomeshwa na walimu wa kundi lipi kati ya hao uliowacategorise? Kama ni WA kundi la pili basi nawe utakuwa uliambukizwa na kujazwq ujinga wao. Learn to appreciate their efforts acha makasiriko!