Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Nikuulize, wewe ulisomeshwa na walimu wa kundi lipi kati ya hao uliowacategorise? Kama ni WA kundi la pili basi nawe utakuwa uliambukizwa na kujazwq ujinga wao. Learn to appreciate their efforts acha makasiriko!
Kabla sijakujibu, unahisi mimi nilifundishwa na wa kundi gani hapo?
 
sijaona uhusiano wa walimu na kichwa cha uzi, aliyendika uzi ana makasiriko ndani yake, hayupo sawa, halafu katika utumishi wa umma , walimu sio wafanyakazi wa kima cha chini, mwalimu analipwa salary sawa na watumishi wengine wowote walio chini ya serikali za mitaa, wanaomzidi mwalimu mshahara tena kwa daraja moja ni wahasibu (cpa) wanasheria ( advocates) enginers ( waliothibitishwa ) doctors, na wagavi (waliothibitishwa), ukija fani na kazi nyingine mwalimu analipwa sawa na afisa utumishi nk,
 
sijaona uhusiano wa walimu na kichwa cha uzi, aliyendika uzi ana makasiriko ndani yake, hayupo sawa, halafu katika utumishi wa umma , walimu sio wafanyakazi wa kima cha chini, mwalimu analipwa salary sawa na watumishi wengine wowote walio chini ya serikali za mitaa,wanaomzidi mwalimu mshahara tena kwa daraja moja ni wahasibu (cpa) wanasheria ( advocates) enginers ( waliothibitishwa ) doctors,na wagavi (waliothibitishwa) ,ukija fani na kazi nyingine mwalimu analipwa sawa na afisa utumishi nk,
Hapana umesahau wanadiplomacia
 
Acha kupotosha watumishi wa umma. Hilo lilitamkwa wazi mchana kweupe pee.
Kama ameshindwa kuongeza kwa asilimia hizo, anatakiwa atoke hadharani na kuwaomba radhi watumishi wa umma, na wala si vinginevyo.
 
Walimu mna shida gani? Unajua nashindwa kuelewa hadi Sasa, ukiwa Mwalimu lazima uwe juha?
Kwanza ilikuaje ukawa Mwalimu?
Jaman jaman WALIMU wa Tanzania!
Kila mfano mbaya kifedha unatolewa kwa mwalimu. Hii inavunja moyo kabisa
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Jumamosi tutajua tu
 
Kama kweli una watoto wanaosoma basi wewe ni zao la walimu wa kundi la pili uliowapangia kundi!
Umeshindwa kujibu swali
Swali lingine; unahisi nyie walimu wa sasa mnafanana na wale walimu wa miaka ya 90??
 
sijaona uhusiano wa walimu na kichwa cha uzi, aliyendika uzi ana makasiriko ndani yake, hayupo sawa, halafu katika utumishi wa umma , walimu sio wafanyakazi wa kima cha chini, mwalimu analipwa salary sawa na watumishi wengine wowote walio chini ya serikali za mitaa,wanaomzidi mwalimu mshahara tena kwa daraja moja ni wahasibu (cpa) wanasheria ( advocates) enginers ( waliothibitishwa ) doctors,na wagavi (waliothibitishwa) ,ukija fani na kazi nyingine mwalimu analipwa sawa na afisa utumishi nk,
Ila walimu sijui mna matatizo gani, soma ulichoandika
 
Acha kupotosha watumishi wa umma. Hilo lilitamkwa wazi mchana kweupe pee.
Kama ameshindwa kuongeza kwa asilimia hizo, anatakiwa atoke hadharani na kuwaomba radhi watumishi wa umma, na wala si vinginevyo.
Ndio maana nasema mna matatizo ya akili.
 
Hakuna waliposema salary zimeongezwa kwa 23.3% bali kima cha chini na ambacho ndio basic ya calculation ya salary..

Na tayari wachambuzi wameshasema ongezeko halizidi 50,000.
Walimu wana vichwa vigumu sana, sijui ni wapi serikali ilisema kila mtumishi ataongezewa 23.3
 
Nimelazimika kuleta barua husika hapa jukwaani ili mtoa post atuambie wapi barua ilisema nyongeza ya 23.3% ni kwa kima Cha chini tu. Barua inasema Rais ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini.

Back
Top Bottom