Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
- Thread starter
-
- #21
Kwa hiyo ushauri wako ni upi kuhusu namna ya kusonga mbele?Practicality ikiwa wazi mtaani na kwa wananchi wala haitahitaji nguvu na theory nyingi kuwaaminisha watu kwamba we are okay.... Hizi Theory za kwenye makaratasi ni nyingi ila impact yake ni ndogo kwa wengi...
Ila ndio siasa siku hizi world wide (fanya vitu minor / short term vya kuonekana, piga propaganda za hapa na pale punde si punde miaka kumi imepita anakuja mwingine) huyo mwingine analaumu aliyetoka na kufanya yale yale ya muda mfupi..., Ila tunakoelekea kwa hizi fikra za vijana wajiajiri na wajijue wenyewe wakati keki inaliwa na wachache.... Amini, Amini ninakwambia...., Generations zijazo watateseka kwa upuuzi uliofanywa / ulioachwa uendelee na generation hii...
Nimechukua machache kutoka kwenye uzi wako hapo juu, ambayo ni haya hapa chini yaliyosababishwa na serekali zilizoongozwa na Chadema kuanzia awamu ya 1 hadi ya 5.
CCM wamechukua awamu ya 6, na sasa ndiyo wanataka kurekebisha madudu ya Chadema ya miaka 60 iliyopita!
View attachment 1820668
Kwanza Kabisa..., kuendelea kama nchi tusiwe na nchi ya Samia, Mwendazake, Jakaya, au Yoyote atakayekuja kesho au keshokutwa.....Kwa hiyo ushauri wako ni upi kuhusu namna ya kusonga mbele?
Tatizo ni kwamba ujenzi wa maendeleo ya nchi yetu kupitia ccm, yanaishia kwenye hiyo blue print yalipo anzia!Kiongozi,
Nimekusoma. Naifahamui Ilani ya CCM vizuri katika sura zote mbili--uimara na udhaifu. Hivyo niseme yafuatayo:
1. Sehemu kubwa ya udhaifu wa Ilani ilizibwa kwa njia ya kauli za jukwaani wakati wa kampeni.
2. Ilani inajibu maswali matatu ya kwanza hapo juu, haina majibu kwa maswali baki matatu.
3. Bajeti iliyopitishwa Bungeni inahusu mpango wa maendeleo wa mwaka mmoja (2021/2022) pekee. Hii ni picha ndogo.
4. Ujenzi wa nchi unaanzia kwenye picha kubwa, kama ambavyo ujenzi wa nyumba unaanzia kwenye blue print yake.
Kwa sababu hizi, kuna umuhimu na uharaka wa kukamilisha mpango wa maendeleo wa miaka mitano ambao unafafanua ilani, na kuweka msingi wa mipango ya mwaka mmoja mmoja na bajeti zake.
Naona umeweka chumvi (hyperbole) hapa: "maendeleo ya nchi yetu kupitia ccm, yanaishia kwenye hiyo blue print yalipo anzia."Tatizo ni kwamba ujenzi wa maendeleo ya nchi yetu kupitia ccm, yanaishia kwenye hiyo blue print yalipo anzia!
Umeandika mawazo murua.Kwanza Kabisa..., kuendelea kama nchi tusiwe na nchi ya Samia, Mwendazake, Jakaya, au Yoyote atakayekuja kesho au keshokutwa.....
Kama taifa na kwa kuhusisha wadau na wataalamu lazima tujue ni wapi tunataka kwenda na kwa kutumia njia gani Sio kwa miaka kumi tu..., bali kwa miaka 50 mpaka 100 inayokuja..., yoyote atakayekuja madarakani ni kuhakikisha ile master plan ya nchi tuliyopanga inafuatwa (kwa mujibu wa wataalamu na sio wanasiasa) na kuendelezwa... Vipaumbele vidogo vidogo viwe ni kuweka nyufa na kuimarisha long term plans...
Kilichopo sasa ni muendelezo wa bandika bandua anzisha, acha kila kukicha... Siasa zinakuwa nyingi..., ukiangalia hata kero hazijabadilika ni zile zile miaka nenda rudi.., ila kila mtu akija ni kupapasa papasa tu... ili aonekane mimi nilifanya hiki au kile...
Na hii tabia ya kuhusisha maendeleo ya nchi na mtu au Chama fulani ( ni kuwatenga baadhi ya watu ambao nao ni nguvu kazi) Maendeleo yawe inclusive na yawahusishe wadau wote no matter Chama chao au itikadi zao....
Ni kweli tumesogea sogea, Lakini kama ulivyo mjibu jamaa hapo juu, kuhusu mabaharia kuongozwa na nyota ambayo ipo kusiko fikika, nikubalie kwamba mipango mingi ya maendeleo ipo kwenye makaratasi na haitafsiriki kwenye uhalisia wa maisha ya kila siku, na maendeleo!Naona umeweka chumvi (hyperbole) hapa: "maendeleo ya nchi yetu kupitia ccm, yanaishia kwenye hiyo blue print yalipo anzia."
Ukiangalia performance metrics za nchi tangu uhuru hadi leo kuna mabadiliko yametokea. Sio kweli kwamba nchi inafanya mark-timing.
Kwa hiyo, kusudi uaminike inabidi uongee kwa takwimu zenye uhalisia.
Tuongelee hii sentensi hapo juu.Pia, Mama Amoni, tupo nyuma ya maendeleo tuliyo paswa kuifikia kwa miongo kadhaa!
Siyo swali langu, lakini msingi wa how to do it, mama Amoni, upo wazi, KATIBA! South Korea mwaka 1978 walikuwa nyuma yetu kiuchumi, kupaa kwao kiuchumi kupo kwenye msingi wa ubora wa katiba yao!Umeandika mawazo murua.
Lakini yako katika ngazi ya swali hili: what have we to do?
Hujasema kitu kuhusu swali: how do we do it?
Unaweza kuongeza nyama kidogo kwenye skeleton hiyo hapo juu kwa kujibu swali la pili?
Elimu yetu kwa mfano; Tupo kwenye kukariri kama tulivyo kopi kwa Wakomunisti! Mwalimu ana majibu yote, wanafunzi wana mkariri kwa lengo la final exams kisha cheti, ili uajiriwe!Tuongelee hii sentensi hapo juu.
Unaweza kuweka mkeka wa ushahidi hapa?
Ukifanya hivyo mjadala utanoga haswa!
Umejibu vyema.Nimeelewa sentensi za kwanza isipokuwa sentensi hii: "CCM wamechukua awamu ya 6, na sasa ndiyo wanataka kurekebisha madudu ya Chadema ya miaka 60 iliyopita!" Hata hivyo nitakujibu kama ifuatavyo:
Ibara ya 9(i) ya Katiba ya Tanzania (1977) inasema kuwa kazi ya serikali ni kutumia kila tone la rasilimali za nchi kuwahudumia wajinga, wagonjwa, na maskini kusudi siku moja Tanzania isiwe na wajinga, wagonjwa, na maskini.
Hii ni ndoto. Ni sawa na nyota ya alfajiri inayowaongoza mabaharia. Hawawezi kuifikia lakini inawafikisha mwaloni wanakotaka kwenda. Ni vivyo hivyo katika kuendesha nchi.
Kwa hiyo, ukitaka kukosoa utendaji wa serikali iliyo marakani kwa kuanzia kwenye ujinga, ugonjwa na umaskini, unapaswa kuonyesha kwamba kuna RETARDATION badala ya ACCELLERATION. Hujaonyesha lolote kati ya haya mawili.
Kwa hiyo, bado hujafanikisha kusanifu hoja yako.
Ubaya wa itikadi ya kuthamini matokeo bila kujali uharamu wa mbinu iliyotumika haubadiliki kwa sababu tu kwamba kuna madhara kidogo au madhara makubwa. Kimaadili na kisheria, kifo cha mtu mmoja ni sawa na kifo cha watu 100.Katiba ya Chadema iliyovunjwa imedhulumu Watanzania wangapi? Imewabambikia kesi Watanzania wangapi na kuwafunga au kuwapora billions kama faini? Katiba ya Chadema iliyovunjwa imeua Watanzania wangapi nchini? Hebu jaribu kutafakari kwa kina badala ya KUKURUPUKA.
Naona umeteleza tena kwa kuandika "Chadema" pasipo mahali pake.This is just one of the so many examples of RETARDATION chini ya serekali ya Chadema kwa miaka 60 iliyopita!
I Think I have already said it..., If I come with my plans here they will be my plans which are not inclusive (all plans especially long term should involve all stakeholders) How do we do it ? (Involve all the stakeholders na kufanya due dilligence ya pros and cons ya kile kinachotakiwa kufanyika in transparent way) In technical things we needs technicians and not politicians...Umeandika mawazo murua.
Lakini yako katika ngazi ya swali hili: what have we to do?
Hujasema kitu kuhusu swali: how do we do it?
Unaweza kuongeza nyama kidogo kwenye skeleton hiyo hapo juu kwa kujibu swali la pili?
Itikadi ya kuthamini matokeo bila kujali uharamu wa mbinu iliyotumika haibadiliki kwa sababu tu kwamba kuna madhara kidogo au madhara makubwa. Kimaadili na kisheria, kifo cha mtu mmoja ni sawa na kifo cha watu 100.
Hivyo, uovu wa kuvunja Katiba ya Chama cha siasa unabeba uzito ule ule sawa na kuvunja Katiba ya nchi.
Uovu wa kuua mtu mmoja kwa kutumia ajali feki ya barabarani ili kuharibu ushahidi unaoweza kukitia hatiani chama cha siasa ni sawa na uovu wa kitendo cha kuua watu 20 na kutupa miili yao ziwani, etc, etc.
Uovu wa kumdhulumu mtu aliyekukopesha laki moja, wakati wewe ni kiongozi wa chama ngazi ya Kanda, na uovu wa kudhulumu mamilioni vina uzito sawa.
Kwa hakika, hakuna mahali nimekurupuka...
Hapana, that's a wrong approach. Approach hiyo ndiyo inatufanya tuwe tujisifu hata tusivyostahili.Naona umeteleza tena kwa kuandika "Chadema" pasipo mahali pake.
Mifano yako ni mizuri lakini inapapasa (ni tangential) duara la tatizo tunalolijadili.
Chukua Mipango ya Maendeleo ya miaka kumi na tano iliyopita, angalau.
Humo kuna performance metrics. Awamu kwa awamu onyesha retardation hiyo.
Namna hiyo tutakwenda swa.
Mawazo haya hayajabadilisha mtazamo wangu hata kwa nukta moja.UPUUZI MTUPU!!!! Wewe kufanya ufojaji wa signatures huoni kama ni uovu!!! Na kwa ufinyu mkubwa wa akili uliokuwa nao unataka kufananisha uvunjaji wa katiba wa Chadema ambao haukuathiri Mtanzania yeyote yule kwa senti yake hata moja au uhai wake unataka kufananisha na uvunjanji wa katiba wa mwendazake ambao umegharimu walipa kodi trillions za pesa zao kuchotwa kinyemela bila idhini ya Wabunge, Wafanyakazi, Wakulima na Wafanyabishara kudhulumiwa billions zao kama siyo trillions, watu kubambikiwa kesi, kufungwa na hata kuuawa huku wakiwa hawana hatia yoyote ile.
Mawazo haya hayajabadilisha mtazamo wangu hata kwa nukta moja.
Kuhusu habari ufojaji wa signatures, umepotoshwa.
Signature ya Mnyika iliyo kwenye nyaraka zilizopelekwa NEC ni original.
Mwulizeni Mnyika wenu aseme ukweli.
Lakini pili, mie sio muumini wa moral proportionalism.
Nimeamini, naamini na nitaendelea kuamini kuwa one may never violate a negative duty as a means to achieve a good outcome.
Hiyo ndiyo sababu siabudu katika makanisa yanayokumbatia itikadi hii ambayo inaitwa Caiphus Ideology.