Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha familia ya Hayati Magufuli

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
63
Reaction score
136
Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli

Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.

Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
 
Zile hoteli alizojenga baba yao pale Chato na Mwanza haziwezi kuwasomesha?

Zile nyumba zake alizojengenewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma zilizopangishwa haziwezi wasomesha?

Ile lanch yake ya Ng'ombe iliyopo kule Karagwe haiingizi mapato ya kusomesha watoto wake?

Kiki za kijinga tu hizi!!
 
Wanasomeshwa na serikali sio fadhila za Samia.

Hata marehemu Sokoine alipofariki watoto wadogo walisomeshwa na serikali shule bora za wakati huo.

Mzee Jumbe alipokuwa kwenye ‘house arrest’ watoto wake walisomeshwa na serikali.

Hakuna jipya
 
Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli

Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.

Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Hadaa za kuelekea uchaguzi.
 
Zile hoteli alizojenga baba yao pale Chato na Mwanza haziwezi kuwasomesha?

Zile nyumba zake alizojengenewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma zilizopangishwa haziwezi wasomesha?

Ile lanch yake ya Ng'ombe iliyopo kule Karagwe haiingizi mapato ya kusomesha watoto wake?

Kiki za kijinga tu hizi!!
Magufuli alikuwa mzalendo sana, alipofariki akaunti yake ilikutwa na sh laki 1 na 80 tu na wala hakujilimbikizia mali
 
Back
Top Bottom