super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Wanasoma la ngapi??
Kwani elimu bure ilifutwa! Mbona huku Buza hatulipi ada.Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.
Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Kiswahili cha kwao babu zake Jesca ule upande wa pili wa mpaka.Kiswahili cha wapi?
Kama anasomesha kwa ela yake binafsi hakuna tatizoKupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.
Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
karam imepata mafuha?Bwaa!!
Karam imegoma SI umehona
Kwani Chadema kuomba hela kwa wananchi kupitia Tone Tone maana yake Chadema haina hela?Kwamba Familia hiyo haina uwezo?
Mmh,kwamba mzee hakuwa na mawe auKupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.
Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Mke anapata 40%Huu ndio tunauita unafiki na uchawa uliopitiliza, yani jiwe hana mafao kwa kufanya kazi miaka yote toka matopeni hadi kuwa rais? Na pension ya rais ni 80% ya sitting president, na wakajiongezea mwaka jana na mke apate 80% ingine?! Aje asomeshewe? Upuuzi tu kama mwingine
Siyo Hela ya Samia mfukoni mwake ni pesa ya serikali.watoto wote wa viongozi kuanzia rais,waziri mkuu,makamu wa rais,na baadhi ya wakurugenzi wa mashirika hugharamiwa na serikali mahitaji Yao ikiwemo na watoto wao kusomeshwa shule Bora yoyote duniani ili mradi tu kama amechaguliwa kwenye shulu atakayo fullstopKupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.
Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Ongezea na ile Kebby hotel ya Mwenge ah samahani nimekumbuka ile marehemu alimjengea mchepuko wake KabulaZile hoteli alizojenga baba yao pale Chato na Mwanza haziwezi kuwasomesha?
Zile nyumba zake alizojengenewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma zilizopangishwa haziwezi wasomesha?
Ile lanch yake ya Ng'ombe iliyopo kule Karagwe haiingizi mapato ya kusomesha watoto wake?
Kiki za kijinga tu hizi!!
Wa rangi?Jesca ni mweupe niliwaambia hili mapema.
Hizi ndio drama sasa. Watoto familia ya raisi wanahitaji kusaidiwa? Magufuli was a member of parliament fo years, a minister for years, a president for more than five years, alikuwa mfanya biashara, tunajua ufisadi mkubwa uliofanywa kwenye matenda ya ujenzi etc. Leo watoto wake wasaidiwe! Nb: naelewa hapa jesca anazungumzia ndugu zake, sio watoto wa familia ambazo ni masikini kweli na wanahitaji msaada.Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.
Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Pumbavu mtu utu gani? Kuna watoto wangapi masikini wapo huko mitaani hata 20000 ya michango ya shule inawashinda? Halafu wewe unasema ni utu mpuuzi wa mwisho weweKupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.
Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Watakuja hapa walinda legacy kusema alikuwa "mzarendo kwerikweri" hata hizo mali anasingiziwa , hakuwa na makuu wala kujilimbikizia mali.Zile hoteli alizojenga baba yao pale Chato na Mwanza haziwezi kuwasomesha?
Zile nyumba zake alizojengenewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma zilizopangishwa haziwezi wasomesha?
Ile lanch yake ya Ng'ombe iliyopo kule Karagwe haiingizi mapato ya kusomesha watoto wake?
Kiki za kijinga tu hizi!!
Kituko.Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli