Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha familia ya Hayati Magufuli

Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha familia ya Hayati Magufuli

Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli

Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.

Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Muuaji wa Mohamed Ally Kibao huna lolote,
Walisema hawana hela za kusoma?
 
Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli

Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.

Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Hongera ya Nini Mkuu!?
 
Majibu ya kisiasa hayo wako entitled kusomeshwa na serikali na wakifungua start up mitaji wanapewa. Sema ndo hawatakagi kukiajiri wao wanavizia ubunge na uwaziri tuu
 
Mtoto wa Mwisho anahojiwa alafu anasema Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha watoto wa Magufuli..Sasa wanaosomeshwa ni watoto au wazee? Make mtoto wa mwisho mwenyewe anahojiwa ni mama mtu mzima.

Achaneni na upotoshaji wenye kuonesha upendeleo wa waziwazi kwa wale waliokosa msaada wa kusomeshwa na Serikali.
 
Back
Top Bottom