Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha familia ya Hayati Magufuli

Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha familia ya Hayati Magufuli

Unadhani JPM aliachiwa benefits kiasi gani ?

Kama angetaka hizo pesa zifanye kazi na kweli anazo za kutosha angehakikisha elimu inakuwa nafuu na sio hawa watoto wa JPM tu hata wabangaizaji atleast wanakuwa na uhakika wa grants
 
Kwamba Familia hiyo haina uwezo?
Machawa wapo na ulaghai wa kishamba sana , uyu mtoto wa mwendazake nae ameamua kuwa chawa .

Miaka yote mwandazake amekuwa mbunge/ waziri / Rais, Mke pia anakula mafao kama mke wa aliekua Rais , kwamba bado familia hii ipo na shida kusomeshewa watoto,

Aya ni matusi makubwa kwa watz maskini ambao watoto wao wanasoma kwa mikopo vyuo vikuu na wengine kukosa na machawa ya ccm yanayoishia kupewa bodaboda za kijani , ili waendelee kufa kwa ajali ( sio mbaya).

Haya ndo maana ccm ikisikia wananchi wanataka reforms wote akiwemo

Mzee wasira, Makala wanalala na viatu na matumbo kuongezeka kwa upepo wa kutojifunika mashuka
 
Zile hoteli alizojenga baba yao pale Chato na Mwanza haziwezi kuwasomesha?

Zile nyumba zake alizojengenewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma zilizopangishwa haziwezi wasomesha?

Ile lanch yake ya Ng'ombe iliyopo kule Karagwe haiingizi mapato ya kusomesha watoto wake?

Kiki za kijinga tu hizi!!
We unaumia mtu kujitolea kusomesha watu kwa pesa zake , badala uumie Baba yako kushindwa kukusomesha shule ya maana
 
Huyo Jesca basi kujiandaa kwake kwa ubunge viti maalum tu tayari ameshalazimika kuwa chawa wa mama! Kweli nchi ngumu sana hii.

Familia yote imetulia kimya ila yeye tu ndo yupo high muda wote akimwabudu goddess
 
Akishindwa uchaguzi 2025 ataendelea kuwasomesha?
 
Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli

Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.

Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Utu gani hela za walipa kodi
 
Back
Top Bottom