Hukwenda disko la kawe mkuu?ππNa ndiyo maana hela zimeadimika mtaani. Kumbe zinatumika kusomeshea watoto wa watu na pia kugharamia vilabu vya mpira wa miguu vya simba na Yanga. Na nyingine zinatumika kuendeshea shughuli za chama.
Sarakasi za Nchi hii zinatishaMama Janet hapati maslahi ya wenza yaliyopendekezwa na Salma??
Fainali ya Simba goli moja mil 30Na ndiyo maana hela zimeadimika mtaani. Kumbe zinatumika kusomeshea watoto wa watu na pia kugharamia vilabu vya mpira wa miguu vya simba na Yanga. Na nyingine zinatumika kuendeshea shughuli za chama.
Kwa Mwandiko huu sidhaniπππKwani Jesca kaorewa au nijitumye kamposa nimuhoe mie
Hadaa za kuelekea uchaguzi.Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu Magufuli.
Hii ni zaidi ya utu na ubinadamu, Hongera sana Mama Samia kwa huruma yako kama Mama.
Utamuoa nani wakati hata kuandika hujui?Kwani Jesca kaorewa au nijitumye kamposa nimuhoe mie
Magufuli alikuwa mzalendo sana, alipofariki akaunti yake ilikutwa na sh laki 1 na 80 tu na wala hakujilimbikizia maliZile hoteli alizojenga baba yao pale Chato na Mwanza haziwezi kuwasomesha?
Zile nyumba zake alizojengenewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma zilizopangishwa haziwezi wasomesha?
Ile lanch yake ya Ng'ombe iliyopo kule Karagwe haiingizi mapato ya kusomesha watoto wake?
Kiki za kijinga tu hizi!!
PumbafMagufuli alikuwa mzalendo sana, alipofariki akaunti yake ilikutwa na sh laki 1 na 80 tu na wala hakujilimbikizia mali
ππππ Mshahara wake wote alijengea daraja la BusisiPumbaf