Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha familia ya Hayati Magufuli

Kwani elimu bure ilifutwa! Mbona huku Buza hatulipi ada.
 
Kama anasomesha kwa ela yake binafsi hakuna tatizo
 
Huu ndio tunauita unafiki na uchawa uliopitiliza, yani jiwe hana mafao kwa kufanya kazi miaka yote toka matopeni hadi kuwa rais? Na pension ya rais ni 40% ya sitting president, na wakajiongezea mwaka jana na mke apate 80% ingine?! Aje asomeshewe? Upuuzi tu kama mwingine
 
Mmh,kwamba mzee hakuwa na mawe au
 
Mke anapata 40%
 
Kwamba hizo pension na hayo masilahi hayatoshi? Kwamba mwendazake aliacha watoto wadogo?
 
Siyo Hela ya Samia mfukoni mwake ni pesa ya serikali.watoto wote wa viongozi kuanzia rais,waziri mkuu,makamu wa rais,na baadhi ya wakurugenzi wa mashirika hugharamiwa na serikali mahitaji Yao ikiwemo na watoto wao kusomeshwa shule Bora yoyote duniani ili mradi tu kama amechaguliwa kwenye shulu atakayo fullstop
 
Ongezea na ile Kebby hotel ya Mwenge ah samahani nimekumbuka ile marehemu alimjengea mchepuko wake Kabula
 
Hizi ndio drama sasa. Watoto familia ya raisi wanahitaji kusaidiwa? Magufuli was a member of parliament fo years, a minister for years, a president for more than five years, alikuwa mfanya biashara, tunajua ufisadi mkubwa uliofanywa kwenye matenda ya ujenzi etc. Leo watoto wake wasaidiwe! Nb: naelewa hapa jesca anazungumzia ndugu zake, sio watoto wa familia ambazo ni masikini kweli na wanahitaji msaada.
 
Pumbavu mtu utu gani? Kuna watoto wangapi masikini wapo huko mitaani hata 20000 ya michango ya shule inawashinda? Halafu wewe unasema ni utu mpuuzi wa mwisho wewe
 
Watakuja hapa walinda legacy kusema alikuwa "mzarendo kwerikweri" hata hizo mali anasingiziwa , hakuwa na makuu wala kujilimbikizia mali.
 
Wanasomeshwa kwa mujibu wa Sheria sio hisani ya mama samia.kama ni huruma anisomeshe na Mimi.
 
Kituko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…