Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha familia ya Hayati Magufuli

Muuaji wa Mohamed Ally Kibao huna lolote,
Walisema hawana hela za kusoma?
 
Hongera ya Nini Mkuu!?
 
Majibu ya kisiasa hayo wako entitled kusomeshwa na serikali na wakifungua start up mitaji wanapewa. Sema ndo hawatakagi kukiajiri wao wanavizia ubunge na uwaziri tuu
 
Mtoto wa Mwisho anahojiwa alafu anasema Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha watoto wa Magufuli..Sasa wanaosomeshwa ni watoto au wazee? Make mtoto wa mwisho mwenyewe anahojiwa ni mama mtu mzima.

Achaneni na upotoshaji wenye kuonesha upendeleo wa waziwazi kwa wale waliokosa msaada wa kusomeshwa na Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…