Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvu nimsifu kwa machache.

Mimi kama mwananchi wa kawaida yaliyonikosha zaidi ni;
1. Kuleta chanjo ya UVIKO-19 ambayo pamoja na mengi imefungua sekta ya utalii kwa watalii kuona nasi ni salama kutembelewa.

2. Ujenzi wa madarasa 15,000

3. Ujenzi wa vituo vya afya na uimarishaji wa sekta za afya

4. Kufungua fursa za kibiashara kutokana na ziara kwenye nchi mbalimbali duiani

5. Kuimarisha Demokrasia, hii bila kusahau hotuba yake Umoja wa Mataifa.

6. Uhuru wa kuzungumza na vyombo vya habari.

7. Uteuzi wa wanawake kwenye nyadhifa mbalimbali..

MAMA AMEUPIGA MWINGI SANA.. MUNGU AMSAIDIE
 
Amefanya vizuri kuzuia demokrasia?!

Nakubaliana nawe kwa kiasi kikubwa. Maeneo aliyo-fail kabisa:

1) Kuruhusu polisi kuendelea kuwa kundi la kigaidi linalobambikia watu kesi

2) Kushindwa kutambua kuwa jaki ya vyama vya siasa kufanya mikutano ni haki ya kikatiba na wala siyo utashi wa Rais.

3) Kurithi baadhi ya maelekezo ya kijinga ya Rais mtangulizi wake yanayokiuka katiba wakati akitambua wazi kuwa Rais mtangulizi wake au alikuwa dikteta au ni kweli tatizo la afya ya akili, kuna wakati lilikuwa likimrudia.

4) Tozo kubwa kwenye miamala bila ya kuzingatia ukweli kuwa, kama ilivyo serikali, na wananchi nao wapo kwenye hali ngumu za kiuchumi.

5) Kutofanya au kuanza mchakato wowote wa kufuta sheria gandamizi zilizoasisiwa na marehemu Magufuli.

6) Kikiri kuwa polisi wanafanya kazi kama genge la wauaji, na hivyo kuua watuhumiwa wakiwa mikononi mwao lakini bila ya kuchukua hatua dhidi ya uongozi wa jeshi la polisi.

Mazuri mengine uliyoacha kuyaweka:

1) Kutengua uwaziri wa baadhi ya mawaziri waongo na wapenda sifa kama Kalemani na Chamuriho.
 
😻
Umetumwa nini! Hakuna lolote,
Ngoja ni kwambie Kitu naona hujui Kitu
1: kama kiongozi mkubwa lazima uoneshe mipango ya muda mfupi na mipango ya muda mrefu! Swali mipango ya muda mrefu kwa nchi alionayo huyu mama ni ipi?
2: Huyu ni Rais kwa hitaji wa katiba siyo Rais kwa uhitaji wa Watu! Kwa hiyo husije humu na hoja rahisi rahisi, wengi tukio humu ni great thinkers, tukioji sana utasema vinginevyo, yamaza mwanaharamu apite
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😻
 
Tangu ashike madaraka sasa ni miezi Saba lakini tumeona mafanikio makubwa kwa aliyo fanya, rais alianza na kurejesha mahusiano na majirani uhusiano ambao ulikuwa umedora kwa kiwango kikubwa mno, sasa hivi wafanya biashara Wana peleka biashara zao kwenye nchi tunazo pakana nazo bila ya vipingamizi vyovyote.

Makusanyo ya Kodi yameongezeka tena Kodi isiyo ya dhuluma na kazi zake tayari zimeanza kuirudia jamii kwenye nyanja za elimu, madarasa yana jengwa nchi nzima, zahanati zinajengwa na kuboreshwa nchi nzima, ajira zime endelea kutolewa, wafanyakazi wamepandishwa madaraja, Barabara Zina endelea kujengwa nchi nzima, miradi yote iliyo anzishwa na awamu ya tano yote inaendelea.
Uhusiano kimataifa umerejea, tulitengwa mpaka tuka Baki kujipendekeza kwa wachina na kuwasifia Sana.

Kwa kweli mama Samia kwa muda mfupi amefanya mengi na bado tutarajie mengi.
Hongera Ila Kuna ka kikundi kadogo kenye mfumo dume ambako bado aka amini juu ya kuongozwa na mwanamke Hako ndo kanaona Kila analofanya rais sio zuri kwao sambamba na hao pia Kuna wenye ukabila ambao walidhani kuwa huwenda kabila lao lingetawala milele.

HONGERA KWA RAIS WETU.
 
Tangu ashike madaraka sasa ni miezi Saba lakini tumeona mafanikio makubwa kwa aliyo fanya, rais alianza na kurejesha mahusiano na majirani uhusiano ambao ulikuwa umedora kwa kiwango kikubwa mno, sasa hivi wafanya biashara Wana peleka biashara zao kwenye nchi tunazo pakana nazo bila ya vipingamizi vyovyote.
Makusanyo ya Kodi yameongezeka tena Kodi isiyo ya dhuluma na kazi zake tayari zimeanza kuirudia jamii kwenye nyanja za elimu, madarasa yana jengwa nchi nzima, zahanati zinajengwa na kuboreshwa nchi nzima, ajira zime endelea kutolewa, wafanyakazi wamepandishwa madaraja, Barabara Zina endelea kujengwa nchi nzima, miradi yote iliyo anzishwa na awamu ya tano yote inaendelea.
Uhusiano kimataifa umerejea , tulitengwa mpaka tuka Baki kujipendekeza kwa wachina na kuwasifia Sana.
Kwa kweli mama Samia kwa muda mfupi amefanya mengi na bado tutarajie mengi.
Hongera Ila Kuna ka kikundi kadogo kenye mfumo dume ambako bado aka amini juu ya kuongozwa na mwanamke Hako ndo kanaona Kila analofanya rais sio zuri kwao sambamba na hao pia Kuna wenye ukabila ambao walidhani kuwa huwenda kabila lao lingetawala milele.HONGERA KWA RAIS WETU.
i. Kubadilisha mwelekeo wa nchi kuhusu ugonjwa wa korona- kwamba upo, na Tanzania inahitaji kuungana na dunia kupambana na tishio hili kwa njia za kisayansi.
2. Kukubali kutoa taarifa WHO
3. Kukubali chanjo ya korona
4. Kufanya kazi na IMF, kupata economic stimulus package ili kuthibiti makali ya UVIKO 19
5. Rural infrastructures
6. Fedha za madarasa
7. Kurudisha mahusianao ya Kimataifa
 
Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvu nimsifu kwa machache.

Mimi kama mwananchi wa kawaida yaliyonikosha zaidi ni;
1. Kuleta chanjo ya UVIKO-19 ambayo pamoja na mengi imefungua sekta ya utalii kwa watalii kuona nasi ni salama kutembelewa.

2. Ujenzi wa madarasa 15,000

3. Ujenzi wa vituo vya afya na uimarishaji wa sekta za afya

4. Kufungua fursa za kibiashara kutokana na ziara kwenye nchi mbalimbali duiani

5. Kuimarisha Demokrasia, hii bila kusahau hotuba yake Umoja wa Mataifa.

6. Uhuru wa kuzungumza na vyombo vya habari.

7. Uteuzi wa wanawake kwenye nyadhifa mbalimbali..

MAMA AMEUPIGA MWINGI SANA.. MUNGU AMSAIDIE
Umetumia kipimo kipi ili kuja na hili bandiko la sifa?
 
Kaupiga mwingi kwa upande wako unaye nufaika na kupata shibe
 
Umetumwa nini! Hakuna lolote,
Ngoja ni kwambie Kitu naona hujui Kitu
1: kama kiongozi mkubwa lazima uoneshe mipango ya muda mfupi na mipango ya muda mrefu! Swali mipango ya muda mrefu kwa nchi alionayo huyu mama ni ipi?
2: Huyu ni Rais kwa hitaji wa katiba siyo Rais kwa uhitaji wa Watu! Kwa hiyo husije humu na hoja rahisi rahisi, wengi tukio humu ni great thinkers, tukioji sana utasema vinginevyo, yamaza mwanaharamu apite
Mkuu naona unampigia mbuzi gitaa
 
5. Kuimarisha Demokrasia, hii bila kusahau hotuba yake Umoja wa Mataifa.

6. Uhuru wa kuzungumza na vyombo vya habari.

HAPA BADO !
Kuchagua kutukamua kupitia miamala
 
Haya masifa alikuwa anayapenda Mwendazake, sidhani kama huyu wa sasa yupo interested nayo! Moja ya matabia ya hovyo kabisa aliyoyaacha jamaa ni kutengeneza waimba MAPAMBIO kama wewe, awamu hii hata upambe vipi hupati kitu!! Muulize Sabaya (Alienda kupiga mapambio Clouds kilichomtokea na kinachomtokea haamini), Muulize Musiba pia na Tanzanite lake (Both Kijarida and TV)!
 
Umetumwa nini! Hakuna lolote.

Ngoja ni kwambie kitu naona hujui kitu

1: Kama kiongozi mkubwa lazima uoneshe mipango ya muda mfupi na mipango ya muda mrefu! Swali mipango ya muda mrefu kwa nchi alionayo huyu mama ni ipi?

2: Huyu ni Rais kwa hitaji wa katiba siyo Rais kwa uhitaji wa Watu! Kwa hiyo husije humu na hoja rahisi rahisi, wengi tukio humu ni great thinkers, tukioji sana utasema vinginevyo, yamaza mwanaharamu apite
Wewe leta hoja hapa ndio zitaamua kama wewe ni great thinker au la, usilazimishe vyeo. Pia, kama hujui mipango ya hii nchi ina maana hata bajeti ya nchi hauijua na huo u great thinker wako sijui umeupataje.
 
Back
Top Bottom