Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

Ni mapema mno kumsifia huyu Mama.

Kutafuta sifa kwa kulipiza kisasi ni sifa mbaya kabisa kwa kiongozi. Sabaya alitenda uovu lakini siyo uovu uliomfunga bali kisasi kwa kumtusi Hangaya siku za nyuma.

Mbowe anaandaliwa mazingira ya kufungwa, siyo kwa sababu ni gaidi bali kulipiza kisasi kwa kudharauliwa.

Sasa naelewa kwa nini maeneo mengi (japo si yote), kiongozi akiwa mwanamke, mambo yanayumba. Sababu kubwa ni inferiority thinking. Nimejibiwa hivi au jimefanyiwa hivi, kwa sababu mimi ni mwanamke.

Tusijione wajanja kuwa wa kwanza nchi hizi kuongozwa na mwanamke, mbeleni tunaweza kujuta. Ni aheri umbishie boss mwanaume kuliko boss mwanamke. Hata wanawake wenyewe, walio wengi hawapendi kuongozwa na wanawake wenzao kwa sababu ya tabia ya viojgozi wanawake kila mara kufikiria wanadharauliwa kwa sababu ni wanawake, hata pale wanapokosolewa.
 
Vizuri kushinda nani ?! Shujaa wa Afrika au ?! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatuwezi kuendesha nchi kwa tozo na mikopo, haya ni mawazo ya kijinga kabisa,
Kujenga shule na vituo vya afya ni sawa, swali vinacontribute nini kwa uchumi wa taifa,
Fanyia projection ikiwa huyu bdo president for 10 yrs ata acha nchi na uchumi ipi???
Zama za kuomba omba zimepitwa na Wakati
Je nchi inaendeshwa na nini kama siyo Kodi, tozo na mikopo?

Masuala ya uchumi siyo mepesi kujadiliwa na mtu wa kawaida kama chamilo nicolous. Kitu unachoweza kuendesha bila tozo, kodi na mikopo ni familia yako na kanisa la pentekoste
 
Hamatan wewe ni mwanamke, mvumilie tu mwanamke mwenzio ndiyo ameula hivyo.

Kisasi mtu asikudanganye, hakina mwanamke wala mwanaume bali ndiyo ubinadamu wenyewe. Kwanza kisasi cha Samia huwezi linganisha hata na cha JK au Mwendazake.
 
Ama kichwa chake anaweza endesha bila kodi
 
Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache.

Mimi kama mwananchi wa kawaida yaliyonikosha zaidi ni:

1. Kuleta chanjo ya UVIKO-19 ambayo pamoja na mengi imefungua sekta ya utalii kwa watalii kuona nasi ni salama kutembelewa.

2. Ujenzi wa madarasa 15,000

3. Ujenzi wa vituo vya afya na uimarishaji wa sekta za afya

4. Kufungua fursa za kibiashara kutokana na ziara kwenye nchi mbalimbali duiani

5. Kuimarisha Demokrasia, hii bila kusahau hotuba yake Umoja wa Mataifa.

6. Uhuru wa kuzungumza na vyombo vya habari.

7. Uteuzi wa wanawake kwenye nyadhifa mbalimbali..

MAMA AMEUPIGA MWINGI SANA.. MUNGU AMSAIDIE
Tumlinde na mahasidi wenye chuki na fitina....!!
 
CF766B2F-C59F-428C-9633-8C83E3FABF99.png

7400EF1B-506F-4349-B014-6CC566B4105C.jpeg

FC37E6FA-4DA8-48B7-B27E-D306797FA179.jpeg
 
Attachments

  • IMG_0559.MP4
    2.8 MB
Ni mapema mno kumsifia huyu Mama.

Kutafuta sifa kwa kulipiza kisasi ni sifa mbaya kabisa kwa kiongozi. Sabaya alitenda uovu lakini siyo uovu uliomfunga bali kisasi kwa kumtusi Hangaya siku za nyuma.

Mbowe anaandaliwa mazingira ya kufungwa, siyo kwa sababu ni gaidi bali kulipiza kisasi kwa kudharauliwa.

Sasa naelewa kwa nini maeneo mengi (japo si yote), kiongozi akiwa mwanamke, mambo yanayumba. Sababu kubwa ni inferiority thinking. Nimejibiwa hivi au jimefanyiwa hivi, kwa sababu mimi ni mwanamke.

Tusijione wajanja kuwa wa kwanza nchi hizi kuongozwa na mwanamke, mbeleni tunaweza kujuta. Ni aheri umbishie boss mwanaume kuliko boss mwanamke. Hata wanawake wenyewe, walio wengi hawapendi kuongozwa na wanawake wenzao kwa sababu ya tabia ya viojgozi wanawake kila mara kufikiria wanadharauliwa kwa sababu ni wanawake, hata pale wanapokosolewa.

Rais ni Taasisi.....!!!
 
Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache.

Mimi kama mwananchi wa kawaida yaliyonikosha zaidi ni:

1. Kuleta chanjo ya UVIKO-19 ambayo pamoja na mengi imefungua sekta ya utalii kwa watalii kuona nasi ni salama kutembelewa.

2. Ujenzi wa madarasa 15,000

3. Ujenzi wa vituo vya afya na uimarishaji wa sekta za afya

4. Kufungua fursa za kibiashara kutokana na ziara kwenye nchi mbalimbali duiani

5. Kuimarisha Demokrasia, hii bila kusahau hotuba yake Umoja wa Mataifa.

6. Uhuru wa kuzungumza na vyombo vya habari.

7. Uteuzi wa wanawake kwenye nyadhifa mbalimbali..
 
Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache.

Mimi kama mwananchi wa kawaida yaliyonikosha zaidi ni:

1. Kuleta chanjo ya UVIKO-19 ambayo pamoja na mengi imefungua sekta ya utalii kwa watalii kuona nasi ni salama kutembelewa.

2. Ujenzi wa madarasa 15,000

3. Ujenzi wa vituo vya afya na uimarishaji wa sekta za afya

4. Kufungua fursa za kibiashara kutokana na ziara kwenye nchi mbalimbali duiani

5. Kuimarisha Demokrasia, hii bila kusahau hotuba yake Umoja wa Mataifa.

6. Uhuru wa kuzungumza na vyombo vya habari.

7. Uteuzi wa wanawake kwenye nyadhifa mbalimbali..

MAMA AMEUPIGA MWINGI SANA.. MUNGU AMSAIDIE

BAHATI MBAYA
 
Hamatan wewe ni mwanamke, mvumilie tu mwanamke mwenzio ndiyo ameula hivyo.

Kisasi mtu asikudanganye, hakina mwanamke wala mwanaume bali ndiyo ubinadamu wenyewe. Kwanza kisasi cha Samia huwezi linganisha hata na cha JK au Mwendazake.
Kisasi kiwe ni cha mwanamke au ni mwanaume, lakini ni sifa mbaya kwa kiongozi.
 
Umesahau na zile ndege mbili zilizotua Zanzibar,

Alisikika mmachinga mmoja akiwa anakunywa kahawa
 
Je nchi inaendeshwa na nini kama siyo Kodi, tozo na mikopo?

Masuala ya uchumi siyo mepesi kujadiliwa na mtu wa kawaida kama chamilo nicolous. Kitu unachoweza kuendesha bila tozo, kodi na mikopo ni familia yako na kanisa la pentekoste
Nitaonekana mjinga ninapoeendelea kuhojiana na mjinga
Nisikilize " Do not let past disuse to be present misuse'' Nchi imekuwa ikiongozwq kwa kodi kwa miaka 60, na hali ya maisha ni duni sana.
Matatizo ya Nchii hii sio vyumba vya madarasa, sio vyumba vya hospital
Ukichukua ratio ya watumishi wote wa umma ni takribani laki 2 out of million 40. Mtumishi moja anahudumia watu zaidi ya 200. Kwa mjinga kama wewe utapiga makofi umejengewa vyumba vya madarasa na vyumba vya hospital. Kwa great thinker kama mimi ni non sense.

Tunahitaji kuhimalisha uchumi wa kati, hatuwezi kuhimalisha uchumi wa kati kwa kutegemea tozo na mikopo ya donor countries .
 
Mwacheni aeleze furaha yake kwa Mama kwani sio uongo Mama kafanya makubwa.
 
Nitaonekana mjinga ninapoeendelea kuhojiana na mjinga
Nisikilize " Do not let past disuse to be present misuse'' Nchi imekuwa ikiongozwq kwa kodi kwa miaka 60, na hali ya maisha ni duni sana.
Matatizo ya Nchii hii sio vyumba vya madarasa, sio vyumba vya hospital
Ukichukua ratio ya watumishi wote wa umma ni takribani laki 2 out of million 40. Mtumishi moja anahudumia watu zaidi ya 200. Kwa mjinga kama wewe utapiga makofi umejengewa vyumba vya madarasa na vyumba vya hospital. Kwa great thinker kama mimi ni non sense.

Tunahitaji kuhimalisha uchumi wa kati, hatuwezi kuhimalisha uchumi wa kati kwa kutegemea tozo na mikopo ya donor countries .
Nani anakudanganya kuwa Tanzania haijapiga hatua kwa miaka 60 toka tupate uhuru? Kwa taarifa yako Tanzania ni Moja kati ya Nchi 10 Afrika zenye uchumi mkubwa ikiwa ni pamoja na Egypt, Nigeria, Morocco, Algeria, Angola, Ethiopia, South Africa, Kenya, Ghana na Cote D'Ivoire.

Kama kwenu hamjishughulishi kubadili economic destiny ya eneo mtabakia mnalia lia hivyo hivyo ila Tz inasonga mbele
 
Nilivyoona member tu,,nikajua ni kikosi kipya cha wanamapambio
 
Hatuwezi kuendesha nchi kwa tozo na mikopo, haya ni mawazo ya kijinga kabisa,
Kujenga shule na vituo vya afya ni sawa, swali vinacontribute nini kwa uchumi wa taifa,
Fanyia projection ikiwa huyu bdo president for 10 yrs ata acha nchi na uchumi ipi???
Zama za kuomba omba zimepitwa na Wakati
Akili mavi kama hizi subiria chadema ikiingia madarakani mwambie Mbowe.

Kwanza naona kinyaa hata kukujibu ,umejaza makamasi kichwani badala ya akili,,eti haelewi afya inachangia vipi ukuaji wa uchumi..

Yaani wewe ni kiazi ingia NBS kaangalie sekta ya Afya inachangia uchumi kwa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom