Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

5. Kuimarisha Demokrasia, hii bila kusahau hotuba yake Umoja wa Mataifa.

6. Uhuru wa kuzungumza na vyombo vya habari.

HAPA BADO
Sijaesema kwamba amemaliza, ndio maana kazi inaendelea. Na ni muhimu mtu kuonesha kutambua kitu kilichofanyika, na kwamba jitihada zaidi zinaendelea.
 
Umesahau ajira rasmi zaidi ya 29,000 ,,huko ajira portal saizi Kazi zimemwaga..

Usisahau vituo vya afya zaidi ya 200,,

Mapato kuongezeka

Kila hospital ya mkoa kuwa na CT scan,XY kwa kila hospital ya Wilaya na vituo vya afya ..

Yaani ni hivi kila sekta inakimbia kwa speed
 
Aaaamin aaaamin aaaamin πŸ™

Siempre Chifu Mkuu Hangaya aaaamin aaaaaminπŸ™
 
😍
 
😍😍
 
8. Kufuta kesi za kubambikiza 142 zilizzokuwa TAKUKURU

9. Kuzielekeza Mahakama kutenda haki hatimaye Mashehe wa Uamsho wakaachiwa, MDUDE CHADEMA akaachiwa na Mbowe na wenzie wakashinda rufaa ya kesi ya Akwilina

10. Kuwaondoa kwenye uongozi ma DC na ma RC waliokuwa wanakiuka utendaji kama e Sabaya na Chalamila

11. Kutoa ajira kwa waalimu na watumishi wa Afya japo kwa kiwango kidogo.

12. Kuruhusu uhuru wa maoni na ukosoaji usiovunja sheria

13. Kurudisha hadhi ya Tanzania kimataifa
 

Hivyo vitu ulivyotaja havina dira yeyote kwa taifa ni fabrication tu za kisiasa.
 
Chief Mkuu Hangaya sio wa mchezo mchezo
 
Wewe leta hoja hapa ndio zitaamua kama wewe ni great thinker au la, usilazimishe vyeo. Pia, kama hujui mipango ya hii nchi ina maana hata bajeti ya nchi hauijua na huo u great thinker wako sijui umeupataje.
Hatuwezi kuendesha nchi kwa tozo na mikopo, haya ni mawazo ya kijinga kabisa,
Kujenga shule na vituo vya afya ni sawa, swali vinacontribute nini kwa uchumi wa taifa,
Fanyia projection ikiwa huyu bdo president for 10 yrs ata acha nchi na uchumi ipi???
Zama za kuomba omba zimepitwa na Wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…