Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

Je nchi inaendeshwa na nini kama siyo Kodi, tozo na mikopo?

Masuala ya uchumi siyo mepesi kujadiliwa na mtu wa kawaida kama chamilo nicolous. Kitu unachoweza kuendesha bila tozo, kodi na mikopo ni familia yako na kanisa la pentekoste
Achana na fala huyo wewe, upumbavu wake akamshauri Mbowe,lilivyo jinga halielewi kwamba population yenye afya ndio nguvu Kazi bora,jamii yenye elimu ndio italeta tija kwenye sekta za biashara na uzalishaji na halielewi kwamba leo hii Life expectancy imeongezeka na child mortality imepungua Kwa vile tuu serikali ilijitahidi kuboresha afya za watu

Utakuta hao Ndio wanasema wanataka Katiba mpya afu washike madaraka,bora kuwapiga Pini tuu
 
Ninyi ndio matahira mnaoamini Nchii hii ni masikini bado inahitaji misaada kutoka Marekani
 
Soma vizuri, nimesema walimu Nchi nzima ni 120,000, hawa ni walimu wa shule ya msingi na sekondari.Zingatia shule za msingi ni ×3 ya Shule za sekondari. Shule za sekondari Nchi nzima za Serikali ni 4500.
Chukulia wasitani @ shule watoto 400 kidato 1---4
Jumla ya wanafunzi = 4500×400= 1800000
wanafunzi/walimu= 1800000/36400= 50
Utakuta Mwalimu 1 anahudumia watoto zaidi ya 50, ambapo ni kinyume na taratibu, usitumie upumbavu wako kushadadia ujinga.
Mind you! Wenye akili tupo wachache, After All siamini kuongozwa na vibibi!
 
Takwimu hujitetea zenyewe. Kama hataelewa hata hapa, achana naye. Kuna watu kuwa wajinga, kwao ni ufahari.
 
Hii ni zaidi ya zawadi kwa Watanzania.
 
Mirembe hospital wana open day leo, nenda upimwe akili yako. Are you serious what you have written?
 
Ima unapenda au hupendi,Rais Samia ndiyo kiongozi wa watanzania wote na wewe ukiwemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…