Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

Mbona maelezo ni mafupi sana halafu inaonekana yalikuwa yanamhusu jpm tu?!!! Mnataka wastaaeabu wawaseme vibaya waliotangulia?!!!
Kwani amesema chochote kuhusu samia?!!! Muulizeni mtasikia maoni yake juu ya Samia. Walinda legacy mnachekesha sana.
 
Ndio hivyi kuna shida sehemu kwa bibi chura.
Hata juzi Makamba alitamka kwamba hata kama bibi chura hawampendi ila ndio hivyo ameshakua top manyota.
Kwa jicho la tatu ni kwamba bi chura hapendwi na haeshimiwi na hao anaowahita wasaidizi wake. wanamnanga sana
 
Hata Gerson ni mmoja wa wanufaika na utawala wa Magu, hakuna namna atamsahau Magu.
Kinachosikitisha ni kuendekeza tabia ya kuabudu watu na siyo Mungu.
Mandera ndani ya miaka mitano aliyotawala Afrika ya kusini, aliitumia fursa hiyo kujenga taasisi imara na katiba nzuri. Leo hayupo tunashuhudia nchi inakwenda kwa kufuata sheria haiangalii wewe ni nani au mtoto wa nani. Ukiboronga na urais wako wanakung'oa na unaweza hata kufungwa kitu ambacho huku ni ndoto.
Uharibifu wowote tunaoshuhudia Sasa humtoi Magu, maana hawa wote waliopo ni chaguo lake,kuanziq bungeni mpaka serikalini.
Ukipanda bangi usitarajie kuvuna Mahindi. Kifupi yeye ni sehemu ya madhira tunayopitia, alipaswa kutengeneza mfumo imara utakaolinda raslimali zetu bila kujali atakuwepo ama hatakuwepo. Tatizo ni kujifanya mungu kumbe siku zako zinahesabika.
 
20240621_115040.jpg
 
Hata Gerson ni mmoja wa wanufaika na utawala wa Magu, hakuna namna atamsahau Magu.
Kinachosikitisha ni kuendekeza tabia ya kuabudu watu na siyo Mungu.
Mandera ndani ya miaka mitano aliyotawala Afrika ya kusini, aliitumia fursa hiyo kujenga taasisi imara na katiba nzuri. Leo hayupo tunashuhudia nchi inakwenda kwa kufuata sheria haiqngalii. Ukiboronga na urais wako wanakung'oa na unaweza hata kufungwa kitu ambacho huku ni ndoto.
Uharibifu wowote tunaoshuhudia Sasa humtoi Magu, maana Hawa wote waliopo ni chaguo lake,kuanziq bungeni mpaka serikalini.
Ukipanda bangi usitarajie kuvuna Mahindi. Kifupi yeye ni sehemu ya madhira tunayopitia, alipaswa kutengeneza mfumo imara utakaolinda raslimali zetu bila kujali atakuwepo ama hatakuwepo. Tatizo ni kujifanya mungu kumbe siku zako zinahesabika.

Hakuna kitu tatizo kubwa kwenye hii nchi ni Katiba Mbovu inayofanya watu wabovu wakae madarakani.
Mfano huyu bibi chura hakutakiwa kuwepo madarakani ni katiba yetu mbovu tu tumejikuta tunalimtu hata hatukulichagua kuwa rahisi limekuwa rahisi wakati halina uwezo wa kuongoza
 
Hata Gerson ni mmoja wa wanufaika na utawala wa Magu, hakuna namna atamsahau Magu.
Kinachosikitisha ni kuendekeza tabia ya kuabudu watu na siyo Mungu.
Mandera ndani ya miaka mitano aliyotawala Afrika ya kusini, aliitumia fursa hiyo kujenga taasisi imara na katiba nzuri. Leo hayupo tunashuhudia nchi inakwenda kwa kufuata sheria haiangalii wewe ni nani au mtoto wa nani. Ukiboronga na urais wako wanakung'oa na unaweza hata kufungwa kitu ambacho huku ni ndoto.
Uharibifu wowote tunaoshuhudia Sasa humtoi Magu, maana hawa wote waliopo ni chaguo lake,kuanziq bungeni mpaka serikalini.
Ukipanda bangi usitarajie kuvuna Mahindi. Kifupi yeye ni sehemu ya madhira tunayopitia, alipaswa kutengeneza mfumo imara utakaolinda raslimali zetu bila kujali atakuwepo ama hatakuwepo. Tatizo ni kujifanya mungu kumbe siku zako zinahesabika.

Haruwezi kumlaumu mtu aliyeko kaburini badala ya kuchukua hatua.

Aliyepo ndye anayelaumiwa kw sababu kwa sasa ndiyevmwenye mamlaka ya kufanya maamuzi
 
Maelezo hayo yanhusiana vipi na kufeli Kwa Samia? Sukuma gang na wachumba zenu machadomo mbona mnahangaika sana ?
Hajaferi vipi ilihali anaruhusu Sukari ipewe kampuni isiyo na mtaji chief?

Tulikuwa na bandari zetu wenyewe na sasa hatuna? Bado hajaferi?
 
Toa ujinga wako hapa,aliyesababisha hata Sukari kuadimika Kwa kubadili sheria alikuwa Magufuli.

Hawa unaowataja Sasa ni matapeli wengine ambao wanatakiwa kushughulikiwa.

Mambo ya Sukari yalianza na kina Mzindakaya Wala sio jambo jipya.

So Wacha upumbavu
 
Kwa akili yako ni wewe tu mwenye matusi, na matusi menyewe ya miaka nenda rudi!

Mb..wa wewe utasingizia sana Magufuli na hayupo sasa, alikwambieni muwape kampuni zisizo na mitaji?
 
Tutamkumbuka kwa mazuri na siyo kwa mabaya.
Bahati mbaya kiswahili kinapungukiwa maneno.

Mlioamua kumkumbuka kwa “mazuri” tu maana halisi kwa kiingereza mna m-miss. You’re missing your dearest JPM.

Sisi wengine tunamkumbuka (remember) kwa yote.

Huwezi kumkumbuka (remember) mtu, tena kiongozi wa kisiasa, kwa “mazuri” tu. Hizo zitakuwa hisia sio uhalisia. Hiyo kauli ya JPM haikuwa na maana yoyote labda kwa wale beholden wake ambao leo wana m-miss. Ambao hawataki kuiona reality yote bali kuburudika na hisia zao kwa JPM.
 
Kwa akili yako ni wewe tu mwenye matusi, na matusi menyewe ya miaka nenda rudi!

Mb..wa wewe utasingizia sana Magufuli na hayupo sasa, alikwambieni muwape kampuni zisizo na mitaji?
Acha upuuzi,uzushi na kuchonganiaha watu
 
Hapa nimekuchonganisha na nani kibwengo wewe?

Toeni majibu ya mlivyowapiga wananchi kwenye sukari

Mnaiba kiasi kwamba hamjui mauti inawangoja muda wowote

Kama unataraji kuwa na watoto na ama unao, huwezi kukubali wizi unaofanywa na maccm

Maana yake unatengeneza vita ya mauwaji ya kimbali kwa watoto na kizazi kinachokuja miaka michache ijayo, kwa wao kuja kupigana kati ya walionacho na wasiokuwa nacho kwa wachache wanaccm kuhujumu nchi na kuachwa tu wakiendelea kumsfia mama ili kumzubaisha asiwatimue na ndicho unachokifanya wewe fisadi mkuu wewe umelaaniwa
 
Mataahira na wapumbavu pekee ambao hawakumuelewa JPM
 
Back
Top Bottom