CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Yule Kivuruge JK ndiye aling'ang'aniza ili kumuandalia Ridhiwan Kikwete urais huko mbele ya Safari. Alaaniwe JK na uzao wake wote hadi kizazi cha nne.Mi nauliza huyu Mama why hakuishia awamu yake iliyopita ili ale Mema ya Nchi vizuri bila stress kama kikwete.
Kama ngozi ya korodani vileHyo hajapungua Bali kakonda ww huoni hyo ngozi inavyoning'inia shingon?
nimevuta picha🤦♀️🤣🤣Kama ngozi ya korodani vile
atajua mwenyewe mbwa yule!stress mkuu, huyu mama tuwe tunamuonea huruma anayoyapitia kwa sasa ni mengi....nahisi kuna wakati akiwa peke yake huwa analia kwa uchungu sana..sema mfumo uliopo unamlazimisha aendelee kuwepo pale na kuna watu wanahisi akitoka tu hawatoendelea kunufaika
Alone Lucas Mwashambwa chawa na kapuku mwandamiziChawa wamemnyonya samuya mpaka kapoteana.
CHAWA SIO WATU WAZURI
Hakuna Mtanganyika mwenye akili timamu anaweza kumhurumia muuaji wa ndugu zetu.Kuweni makini, hiyo ni mbinu chafu ya kitengo. Amejikondesha ili atie huruma, Watanganyika waanze kumwonea huruma, lakini mtu huyo hajutii chochote. Msiwe wajinga. Ni picha ya kutafuta huruma.
Lakini pia unasikini hauwezi kukupa faraha.Tajiri wa Dunia mwenzio kaandika alidhani pesa itampa furaha na kamuunga mkono mtu aliyesema pesa haiwezi kukupa furaha,Mkuu kwa vile huna ukiwa nayo utatamani upewe furaha na Amani ya moyo.
Ni kweli kabisa. Huyu kibibi sio wakuonea huruma kabisa. Siku akikata moto kutakuwa na furaha sana TanganyikaKuweni makini, hiyo ni mbinu chafu ya kitengo. Amejikondesha ili atie huruma, Watanganyika waanze kumwonea huruma, lakini mtu huyo hajutii chochote. Msiwe wajinga. Ni picha ya kutafuta huruma.