Rais Samia amejaa hofu ya Mungu, ndiyo maana unaona akihubiri haki

Hapana, mkuu wangu mwandishi nguli hii yangu Ni kuwasilishwa maoni yangu tu kwa namna navyo utazama uongozi wa mh Rais na namna alivyo pokelewa na wananchi huku mitaani kwangu na namna anavyowatendea haki ya kiutumishi katika nyanja mbalimbali pasipo upendeleo Wala Nini,

wananchi nami mwenyewe Kama mkulima tunasema anagusa maisha yetu wakulima kwa kutupunguzia kero zilizokuwa zinatukaba, kwetu kilimo Ni pumzi yetu, lakini pia tunaona namna huduma muhimu zilivyosogezwa karibu yetu kwa ubora mkubwa Sana,

changamoto katikati ya maendeleo huwa hazikosekani lakini juhudi ya kuzitatua tunaziona waziwazi kutoka serikali hii
 
Kwa maoni yangu apunguze kuonyesha yeye ni mama na badala yake aongoze kama rais,
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Nakuunga mkono, ubarikiwe sana, na nasoma kila bandiko lako na unakula like yangu.
P
 
Kuhibiri haki na kutenda haki ni vitu viwili tofauti, hubiri haki tenda haki, maneno uyayo hubiri uyafanye kwa vitendo na uyaishi.
Kashahubiri na uwajibikaji sasa ufuatie. Mahubiri ya haki ayajaanza leo tumeyasikia sana hebu sasa uwajibikaji kwa vitendo ya yale yanayohubiriwa yatendeke
 
Mhukumu kwa Sasa akiwa Rais wa nchi na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, zungumzia habari za awamu yake
Naunga mkono hoja, Rais Samia ahukumiwe kwa mawazo yake, maneno yake na matendo yake ya sasa akiwa ni rais wa JMT na sio kuendelea kumlaumu na kumshutumu kwa kile ambacho kilitokea awamu iliyopita ambayo she was also a part and parcel, kwasababu mtindo wetu wa uongozi ni wa collective responsibility serikali ikifanya mazuri ni wote, na kukitokea maovu pia lawama ni kwa wote, ila kwa kauli zake za sasa, maneno na matendo, ni uthibitisho tosha kuwa japo she was part and parcel ya awamu iliyopita, she was just silent kutimiza takwa la a collective responsibility but she was not supporting maovu yale na kulithibitisha hili, now on the drivers seat, in full control amebadili mwelekeo kwa kuwaza, kusema na kutenda tofauti!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…