Rais Samia amejaa hofu ya Mungu, ndiyo maana unaona akihubiri haki

Ndugu zangu nadhani sote tumeendelee kusikia kile kinachojiri huko mkoani Kilimanjaro ambako Mh. Rais wetu yupo huko. Ndugu zangu ukimfuatilia Mh. Rais wetu hata kabla ya kuwa Rais wetu ni kiongozi aliyekuwa akipenda kuona haki ikitendeka kwa watu wengine bila kujali hali zao.

Hali hiyo na tabia hiyo ya Mh. Rais wetu bado anayo, bado ulimi wake unahubiri haki. Bado anahitaji kuona kila kiongozi aliyepewa dhamana ya uongozi anatenda haki. Anataka kuona kila mwenye dhamana ya kuamua haki kwa mujibu wa sheria anatoa haki kwa haki. Anataka kuona watu wasikae magerezani wakibubujikwa machozi kila siku kwa sababu tu walionewa na kunyimwa haki.

Mh. Rais wetu anataka kuona na amedhamiria kuona haki inatamalaki kila eneo na kila mhimili wa dola, anataka kuona mikono ya viongozi inakuwa safi, anataka kuona watu wanakwenda jela kwa haki na hata wakiwa jela iwe ni sehemu ya kufundishwa na kurekebishwa tabia huku haki zao na utu wao ukilindwa vyema.

Mikono ya Mh. Rais wetu hakika Ni misafi, kinywa cha Rais wetu kimejaa hekima na busara kubwa sana, kifua cha Mh. Rais wetu kimetamalaki upendo kwa watu wote. Ni kiongozi wa kuigwa, kupigiwa mifano na ambaye huwezi ukawa na Shaka naye juu ya dhamira yake katika kuwatumikia wananchi.

Hii ndio sababu huwezi ukaona sasa hivi kiongozi akimdhalilisha mtumishi wa umma mwenye familia hadharani kwa makosa yasiyo yake. Ndio maana huwezi ukaona mambo ya kuvunjiana heshima na kushushiana heshima maana wateule wa Mh. Rais wameshatambua kuwa Mh. Rais wetu ni mtu wa haki kimaneno na kimatendo.

Hakika Mwenyezi Mungu anatupenda sana watanzania, hajawahi kutuacha wapweke wala wakiwa. Mama Samia ni Joshua wetu anayetupeleka Kanaan, hatuna budi kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais wetu mpendwa. Tuendelee kumuombea afya njema na maisha marefu.

Tuendelee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjalie nguvu za kututumikia. Mimi kama kijana ninaiona Tanzania inayomekameka katika uongozi wa Mama yetu. Kesho yetu ni njema sana watanzania, Tanzania ni salama na ipo katika mikono salama sana. Mikono ya Rais wetu ni safi, kinywa cha Mh. Rais wetu ni safi, ulimi wa Mh. Rais wetu ni safi na Tanzania ni safi, kazi iendelee.
Ninamuona amejaa hofu ya upinzani.
 
Angekua na hofu kweli ya Mungu nadhani, asingekua mwanasiasa au angekua amejiuzulu kitambo sana
 
Kweli. Akina mama wapewe nafasi za juu serikalini.. Wanajua uchungu wa kumleta mtoto duniani. Hivyo Haki.

[QwUOTE="Lucas mwashambwa, post: 43600089, member: 674699"]

[/QUOTE]
 
Huu ni mwezi wa pili toka Lucas mwashambwa ajiunge na JF na hizi ndizo threads 13 ambazo amezianzisha toka wakati huo...

1. Hussein Bashe anastahili pongezi kwa namna anavyochapa kazi katika Wizara ya Kilimo na kutekeleza maelekezo ya Rais Samia

Hussein Bashe hata kabla ya kuingia na kuteuliwa katika wizara hii alikuwa akisimama bungeni kuchangia katika wizara hii. Kila mtanzania alitamani na kuomba apewe uwaziri wa kilimo ili atekeleze kwa matendo yale azungumzayo. Hatimaye akaaminiwa na kupewa wizara. Kiukweli tangu amepewa tumeona...

2. Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...

3. Wana Mbeya wameonesha upendo na imani kubwa Sana kwa Rais Samia

Kwa mapokezi aliyopata mh Rais yameonesha namna Wana Mbeya walivyo na Imani na uongozi wake, utumishi wa kutukuka wa mh Rais umewakonga nyoyo wananchi wengi Sana, Sasa wanambeya wanamuona mama Kama kiongozi na Rais wao wakujivunia, maana mh Rais amekuwa msikivu na mwenye kujari Sana watu kwa...

4. Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe. Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...

5. Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao, Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...

6. Kauli na matendo ya Rais Samia yameituliza nchi na kuwaunganisha Watanzania katika kuijenga Tanzania Yetu

Ndugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,. Mama alikuta watanzania wengine wakijihisi kuwa hawana nafasi katika ujenzi wa nchi hii, wakijihisi kutengwa, ilifika muda maeneo...

7. Hatimaye Rais Samia atimiza ndoto za Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere

...fikra za mwalimu Nyerere, kwa kuunganisha Tanzania kuwa Taifa moja, lenye umoja mshikamano na upendo. Huyu sio mwingine Bali Ni mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Alie amua kuijenga Tanzania iliyo moja, Tanzania yenye umoja mshikamano na upendo, anaijenga Tanzania ambayo adui akijitokeza...

8. Rais Samia amejaa hofu ya Mungu, ndiyo maana unaona akihubiri haki

...Rais wetu ni mtu wa haki kimaneno na kimatendo. Hakika Mwenyezi Mungu anatupenda sana watanzania, hajawahi kutuacha wapweke wala wakiwa. Mama Samia ni Joshua wetu anayetupeleka Kanaan, hatuna budi kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais wetu mpendwa. Tuendelee kumuombea afya njema na maisha...

9. Rais Samia songa mbele, wengine watakushukuru na kuacha kelele za lawama tukifika Kanaani

Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea. Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...

10. Tumpe Faraja Rais Samia kwa namna anavyofanya kazi bila kupumzika wala kukaa kwa ajili yetu Watanzania

Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine. Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za...

11. Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia

Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...

12. Hongeraaa Sana mama Samia kwa mafuriko ya watalii

Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli kwa mafuriko ya watalii yanavyoendelea kushuhudia hapa nchini Nina kila sababu ya kumpongeza mh Rais...

13. Rais Samia ni kiongozi mwenye maono sana

Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza. Ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona...

Hii inaitwa obsession, ni ugonjwa!
 
Mhukumu kwa Sasa akiwa Rais wa nchi na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, zungumzia habari za awamu yake
Umetoka sayari gani ndugu yangu, mbona usahaulifu umekuganda kama shati lililonyeshewa?
Mbona ndiye alikuwa msaidizi mkuu mwaminifu wa Rais aliyepita kwa muda wa miaka mitano?
Je iwapo bosi wake angekuwa hai hadi leo, si angeendelea kuwa msaidizi wake kama zamani?

Hebu nikumbushe ndugu yangu...
  • Je ni wapi aliwahi kuwakemea polisi walipofanya hivyo vitendo anavyovikemea sasa hivi?
  • Ni wapi aliwahi kuhoji utekaji, utesaji, upotezaji wa Watanzania katika hiyo miaka mitano?
  • Ni wapi aliwahi kulalamika au hata kukemea uovu kama ni mcha Mungu kama unavyodai?
  • Ni wapi katika hiyo miaka mitano ya mateso aliwahi kuhoji vitendo vya vikosi kama cha wasiojulikana?
Sasa ndugu yangu, hebu pia naomba unijibu swali lamgu hili...unatafsirije uwepo wake na ushiriki wake katika hiyo serikali na ukimya wake yote hayo yakitendeka?
Ukinijibu nitakuwa na swali la nyongeza.
 
Angekua na hofu kweli ya Mungu nadhani, asingekua mwanasiasa au angekua amejiuzulu kitambo sana
Uongozi unatoka kwa Mungu, Mwenyezi Mungu alimuinua mh Rais wetu ili aje atuongoze na kututumikia sisi watanzania kwa haki na upendo, Mwenye haki akitawala na kuongoza nchi inapata neema na baraka
 
Namnukuu mhe rais alipokuwa makamu wa rais na mgombea mwenza uchaguzi wa 2020 "hata ukichagua kule kwingine ccm itaunda serikali".
Aliyasema hayo kutokana na uungwaji mkono na Imani kubwa waliyokuwa na waliyo nayo watanzania kwa serikali ya chama Cha mapinduzi, lakini pia aliyasema hayo kutokana na ubora wa ilani ya CCM iliyokuwa imebeba ajenda zinazogusa maisha ya watanzania hasa ukilinganisha na upinzani ulikuwa umekosa ajenda na Sera achilia mbali tu kukosa ilani ya kueleweka,

Maana katika kampenii zile CDMna mgombea wake kila mtu alikuwa anapuyanga kivyake, ilikuwa Lisu Ni Kama Ni mgombea binafsi ndani ya chama chake, ndio maana unaona hata mh Mbowe aliamuaga kujikalia pembeni na kumuacha Lisu ajijuwage mwenyewe
 
Ndugu zangu nadhani sote tumeendelee kusikia kile kinachojiri huko mkoani Kilimanjaro ambako Mh. Rais wetu yupo huko. Ndugu zangu ukimfuatilia Mh. Rais wetu hata kabla ya kuwa Rais wetu ni kiongozi aliyekuwa akipenda kuona haki ikitendeka kwa watu wengine bila kujali hali zao.

Hali hiyo na tabia hiyo ya Mh. Rais wetu bado anayo, bado ulimi wake unahubiri haki. Bado anahitaji kuona kila kiongozi aliyepewa dhamana ya uongozi anatenda haki. Anataka kuona kila mwenye dhamana ya kuamua haki kwa mujibu wa sheria anatoa haki kwa haki. Anataka kuona watu wasikae magerezani wakibubujikwa machozi kila siku kwa sababu tu walionewa na kunyimwa haki.

Mh. Rais wetu anataka kuona na amedhamiria kuona haki inatamalaki kila eneo na kila mhimili wa dola, anataka kuona mikono ya viongozi inakuwa safi, anataka kuona watu wanakwenda jela kwa haki na hata wakiwa jela iwe ni sehemu ya kufundishwa na kurekebishwa tabia huku haki zao na utu wao ukilindwa vyema.

Mikono ya Mh. Rais wetu hakika Ni misafi, kinywa cha Rais wetu kimejaa hekima na busara kubwa sana, kifua cha Mh. Rais wetu kimetamalaki upendo kwa watu wote. Ni kiongozi wa kuigwa, kupigiwa mifano na ambaye huwezi ukawa na Shaka naye juu ya dhamira yake katika kuwatumikia wananchi.

Hii ndio sababu huwezi ukaona sasa hivi kiongozi akimdhalilisha mtumishi wa umma mwenye familia hadharani kwa makosa yasiyo yake. Ndio maana huwezi ukaona mambo ya kuvunjiana heshima na kushushiana heshima maana wateule wa Mh. Rais wameshatambua kuwa Mh. Rais wetu ni mtu wa haki kimaneno na kimatendo.

Hakika Mwenyezi Mungu anatupenda sana watanzania, hajawahi kutuacha wapweke wala wakiwa. Mama Samia ni Joshua wetu anayetupeleka Kanaan, hatuna budi kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais wetu mpendwa. Tuendelee kumuombea afya njema na maisha marefu.

Tuendelee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjalie nguvu za kututumikia. Mimi kama kijana ninaiona Tanzania inayomekameka katika uongozi wa Mama yetu. Kesho yetu ni njema sana watanzania, Tanzania ni salama na ipo katika mikono salama sana. Mikono ya Rais wetu ni safi, kinywa cha Mh. Rais wetu ni safi, ulimi wa Mh. Rais wetu ni safi na Tanzania ni safi, kazi iendelee.
Ila kuwa chawa kazi eeh[emoji848]
 
Mwakater
 
Ninamuona amejaa hofu ya upinzani.
Upinzani upi unao uzungumzia ndugu yangu, maana kwa Sasa haupo kwa kuwa umeishiwa hoja, Sera na ajenda za kuwashawishi wananchi kuunga mkono, kwa sababu ajenda na Sera za kuwagusa wananchi zimebebwa na kufanyiwa kazi na mh Rais wetu,

upinzani ulikuwaga unapitia vimianya vilivyo kuwa vinaachwa wazi, lakini kwa Sasa mh Rais ameviziba kisawa sawa kwa kutoa utumishi ulio tukuka kwa wananchi wanyonge wasio na sauti
 
Aliyasema hayo kutokana na uungwaji mkono na Imani kubwa waliyokuwa na waliyo nayo watanzania kwa serikali ya chama Cha mapinduzi, lakini pia aliyasema hayo kutokana na ubora wa ilani ya CCM iliyokuwa imebeba ajenda zinazogusa maisha ya watanzania hasa ukilinganisha na upinzani ulikuwa umekosa ajenda na Sera achilia mbali tu kukosa ilani ya kueleweka,

Maana katika kampenii zile CDMna mgombea wake kila mtu alikuwa anapuyanga kivyake, ilikuwa Lisu Ni Kama Ni mgombea binafsi ndani ya chama chake, ndio maana unaona hata mh Mbowe aliamuaga kujikalia pembeni na kumuacha Lisu ajijuwage mwenyewe
Sitakujibu namuogopa Masauni
 
Sawa ndugu yangu japo Mimi napokea na kuheshimu mtizamo wa kila mtu hata ninaye tofautiana Naye kimtizamo nakuwa Namheshimu nakumjibu kistaarabu bila matusi Wala kumdhalilisha na hata Kama Mimi nikitukanwa bado Najibu kwa hekima busara na upendo mkubwa, maana najuwa watu hatulingani katika kuzibiti vifua vyetu na hisia zetu
Sitakujibu namuogopa Masauni
 
Ndugu zangu nadhani sote tumeendelee kusikia kile kinachojiri huko mkoani Kilimanjaro ambako Mh. Rais wetu yupo huko. Ndugu zangu ukimfuatilia Mh. Rais wetu hata kabla ya kuwa Rais wetu ni kiongozi aliyekuwa akipenda kuona haki ikitendeka kwa watu wengine bila kujali hali zao.

Hali hiyo na tabia hiyo ya Mh. Rais wetu bado anayo, bado ulimi wake unahubiri haki. Bado anahitaji kuona kila kiongozi aliyepewa dhamana ya uongozi anatenda haki. Anataka kuona kila mwenye dhamana ya kuamua haki kwa mujibu wa sheria anatoa haki kwa haki. Anataka kuona watu wasikae magerezani wakibubujikwa machozi kila siku kwa sababu tu walionewa na kunyimwa haki.

Mh. Rais wetu anataka kuona na amedhamiria kuona haki inatamalaki kila eneo na kila mhimili wa dola, anataka kuona mikono ya viongozi inakuwa safi, anataka kuona watu wanakwenda jela kwa haki na hata wakiwa jela iwe ni sehemu ya kufundishwa na kurekebishwa tabia huku haki zao na utu wao ukilindwa vyema.

Mikono ya Mh. Rais wetu hakika Ni misafi, kinywa cha Rais wetu kimejaa hekima na busara kubwa sana, kifua cha Mh. Rais wetu kimetamalaki upendo kwa watu wote. Ni kiongozi wa kuigwa, kupigiwa mifano na ambaye huwezi ukawa na Shaka naye juu ya dhamira yake katika kuwatumikia wananchi.

Hii ndio sababu huwezi ukaona sasa hivi kiongozi akimdhalilisha mtumishi wa umma mwenye familia hadharani kwa makosa yasiyo yake. Ndio maana huwezi ukaona mambo ya kuvunjiana heshima na kushushiana heshima maana wateule wa Mh. Rais wameshatambua kuwa Mh. Rais wetu ni mtu wa haki kimaneno na kimatendo.

Hakika Mwenyezi Mungu anatupenda sana watanzania, hajawahi kutuacha wapweke wala wakiwa. Mama Samia ni Joshua wetu anayetupeleka Kanaan, hatuna budi kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais wetu mpendwa. Tuendelee kumuombea afya njema na maisha marefu.

Tuendelee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjalie nguvu za kututumikia. Mimi kama kijana ninaiona Tanzania inayomekameka katika uongozi wa Mama yetu. Kesho yetu ni njema sana watanzania, Tanzania ni salama na ipo katika mikono salama sana. Mikono ya Rais wetu ni safi, kinywa cha Mh. Rais wetu ni safi, ulimi wa Mh. Rais wetu ni safi na Tanzania ni safi, kazi iendelee.
Muulize kwann ameendelea kuweka zuio la Mikutano ya hadhara ambayo ni HAKI kikatiba???
 
Hata ukiweka mkutano hivi utaongea Nini kwa wananchi Hadi wakuelewe, Kasi ya mh Rais huiwezi wewe hata kidogo kushindana Naye,
 
Mbona ndiye alikuwa msaidizi mkuu mwaminifu wa Rais aliyepita kwa muda wa miaka mitano?
Mkuu Mag3, japo aliyeulizwa sii mimi ila kwa vile baadhi ya majibu ninayajua, naomba kuchangia

She was not the big boss, naamini unaijua kanuni ya the collective responsibility kwenye utawala husika, hata kama hukubaliani unakaa kimya!.
Naamini uliwahi kuisikia ile tetesi ya yule dada wa taifa kumhusu huyu mama, naomba mimi nisiseme it was true kwasababu its not for me to say, natumia kanuni ya uadilifu wa mke wa Kaizari, just tetesi is enough!
Je iwapo bosi wake angekuwa hai hadi leo, si angeendelea kuwa msaidizi wake kama zamani?
Yes angeendelea
Hebu nikumbushe ndugu yangu...
  • Je ni wapi aliwahi kuwakemea polisi walipofanya hivyo vitendo anavyovikemea sasa hivi?
She was not the boss then, she is the boss now anakemea
  • Ni wapi aliwahi kuhoji utekaji, utesaji, upotezaji wa Watanzania katika hiyo miaka mitano?
Atakuwa alihoji ila vitu vya ndani havitoki nje!. One thing for sure is though alikuwa sehemu ya utawala ule but she was not a part to it, macho aliomtazama Lissu pale Nairobi hospital speaks everything!.
Amini nakuambia kuna vitu vinafanyika behind your back na wewe huvijui kwasababu you were kept in the dark!.
Jee unajua ile kabla ya ile March 17, she was on the dark on what was going on!.
  • Ni wapi aliwahi kulalamika au hata kukemea uovu kama ni mcha Mungu kama unavyodai?
She was not the boss then, alikuwa anakemea ndani kwa ndani na Mungu anasikia, kwani kuna mtu yoyote anayejua ni kwanini Mungu alifanya vile?. Vitu vingine acheni!.
  • Ni wapi katika hiyo miaka mitano ya mateso aliwahi kuhoji vitendo vya vikosi kama cha wasiojulikana?
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote kama wasiojulikana wale ni wasiojulikana kweli au ni 'wasiojulikana' tuu, as long as sasa hawapo, ni jambo la kushumuru Mungu.
Sasa ndugu yangu, hebu pia naomba unijibu swali lamgu hili...unatafsirije uwepo wake na ushiriki wake katika hiyo serikali na ukimya wake yote hayo yakitendeka?
Ukinijibu nitakuwa na swali la nyongeza.
Hili nimeisha kujibu tangu mwanzo ila kwa sababu hapa nachangia tuu na aliyeulizwa atakujibu pia.
Maadam sasa ni yeye, tunamuona tunamshuhudia akisema na akitenda tofauti, naomba tuwe watu wa shukrani kwa haya, badala ya kuendelea kulalamika na kulaumu yaliyopita, tuwe appreciative kwa haya tunamshukuru sana Mungu kwa mtu huyu!.
P
 
Hii inaitwa obsession, ni ugonjwa!
Yes nimenote hii obsession ila ni obsession ya uzalendo. Kama hivi ni miezi miwili tuu, then kufikia 2025 jf itakuwa na fulu fulu nondo za kushiba za mama!.
NB. Isije ikawa jamaa ni msaka fursa hivyo hiki kinachoendelea ni kutafuta tuu recognition?!.
Lets wait and see!.
P
 
Upinzani upi unao uzungumzia ndugu yangu, maana kwa Sasa haupo kwa kuwa umeishiwa hoja, Sera na ajenda za kuwashawishi wananchi kuunga mkono, kwa sababu ajenda na Sera za kuwagusa wananchi zimebebwa na kufanyiwa kazi na mh Rais wetu,

upinzani ulikuwaga unapitia vimianya vilivyo kuwa vinaachwa wazi, lakini kwa Sasa mh Rais ameviziba kisawa sawa kwa kutoa utumishi ulio tukuka kwa wananchi wanyonge wasio na sauti
Unamfungia ndani ya gunia kisha unasema hayupo! Ni ujinga uliokithiri.
 
Back
Top Bottom