Huu ni mwezi wa pili toka
Lucas mwashambwa ajiunge na JF na hizi ndizo threads 13 ambazo amezianzisha toka wakati huo...
Hussein Bashe hata kabla ya kuingia na kuteuliwa katika wizara hii alikuwa akisimama bungeni kuchangia katika wizara hii. Kila mtanzania alitamani na kuomba apewe uwaziri wa kilimo ili atekeleze kwa matendo yale azungumzayo. Hatimaye akaaminiwa na kupewa wizara. Kiukweli tangu amepewa tumeona...
Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...
Kwa mapokezi aliyopata mh Rais yameonesha namna Wana Mbeya walivyo na Imani na uongozi wake, utumishi wa kutukuka wa mh Rais umewakonga nyoyo wananchi wengi Sana, Sasa wanambeya wanamuona mama Kama kiongozi na Rais wao wakujivunia, maana mh Rais amekuwa msikivu na mwenye kujari Sana watu kwa...
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama
Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe. Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...
Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama
Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao, Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
Ndugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh
Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,. Mama alikuta watanzania wengine wakijihisi kuwa hawana nafasi katika ujenzi wa nchi hii, wakijihisi kutengwa, ilifika muda maeneo...
...fikra za mwalimu Nyerere, kwa kuunganisha Tanzania kuwa Taifa moja, lenye umoja mshikamano na upendo. Huyu sio mwingine Bali Ni mh Rais Mama
Samia Suluhu Hassan, Alie amua kuijenga Tanzania iliyo moja, Tanzania yenye umoja mshikamano na upendo, anaijenga Tanzania ambayo adui akijitokeza...
...Rais wetu ni mtu wa haki kimaneno na kimatendo. Hakika Mwenyezi Mungu anatupenda sana watanzania, hajawahi kutuacha wapweke wala wakiwa. Mama
Samia ni Joshua wetu anayetupeleka Kanaan, hatuna budi kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais wetu mpendwa. Tuendelee kumuombea afya njema na maisha...
Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea. Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...
Ndugu zangu Mh Rais mama
Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine. Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za...
Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama
Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...
Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli kwa mafuriko ya watalii yanavyoendelea kushuhudia hapa nchini Nina kila sababu ya kumpongeza mh Rais...
Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza. Ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona...
Hii inaitwa
obsession, ni ugonjwa!