Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

Mkuu Gulwa , humu JF, rukhsa kujifurahisha!, kama unaamini 2015 na 2020, CCM ilishindwa ikapiga bao la mkono!, endelea kuamini hivyo!, hicho chama cha kuishinda CCM kwenye sanduku la kura, kwa Tanzania bara, bado sana!.

Sababu inayoifanya CCM isishindwe ni kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! hivyo CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
Hata warumi waliamini hivyo, lakini duniani hutokea nguvu za asili zilizoweza kuzuilika na kuelezeka kibinadamu, hubadilisha yasiyotarajiwa. Ungekuwa unafuatilia comments zangu, yaliyotokea 17.03.2021 niliyatabiri 2018, na yalipotimia baadhi waliniuliza nilijuaje. Tuwasiliane tena 2026
 
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Inasemekana kishaweka mpira kwapani , hatogombea
 
Hilo jambo tuliishalijua na kulizungumzia tumeisha liepusha Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!.

Naunga mkono hoja, nchi ya vyama vingi vya siasa has to have alternatives, ila kwa Tanzania, it's a fact hatuna mbadala wa CCM!.

It's true CCM ni jinamizi and infact CCM ni li zimwi!, ila it's very unfortunately ndilo zimwi likujualo!, better a devil you know than you don't know!, and when you have a choice to choose in between the two devils, choose the lesser, CCM is the lesser one!.

Naomba nipe mfano mmoja tuu

It's true sheria haibagui vyama bali the realist want reality, the reality ya siasa zetu, tuna chama kimoja tuu, the one and only chenye ability, capacity and capability kuendesha nchi yetu!.
P
CCM sio chama pekee chenye uwezo wa kuongoza nchi, ni genge la wahuni wanaokula nchi kiholela, with impunity
 
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
😂😂😂 1. Kwa tume ipi?
2. Kwa katiba ipi?
3. Kwa chama kipi cha kuweza kuwatoa CCM madarakani, hivi vilivyopo viongozi wake usalama wa taifa?
 
Hilo jambo tuliishalijua na kulizungumzia tumeisha liepusha Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!.

Naunga mkono hoja, nchi ya vyama vingi vya siasa has to have alternatives, ila kwa Tanzania, it's a fact hatuna mbadala wa CCM!.

It's true CCM ni jinamizi and infact CCM ni li zimwi!, ila it's very unfortunately ndilo zimwi likujualo!, better a devil you know than you don't know!, and when you have a choice to choose in between the two devils, choose the lesser, CCM is the lesser one!.

Naomba nipe mfano mmoja tuu

It's true sheria haibagui vyama bali the realist want reality, the reality ya siasa zetu, tuna chama kimoja tuu, the one and only chenye ability, capacity and capability kuendesha nchi yetu!.
P
Nimejiepusha kuipigia propaganda CCM.

Vyama vyote vitakavyoshiriki uchaguzi vinafaa ktk maongozi ya nchi.

Hakuna justifications zozote zinazoifanya CCM ijimilikishe utawala wa siasa za nchi hii.

Katika hoja zako kadhaa unaelezea namna ambavyo tutarajie mambo fulani kwa wagombea wa CCM hususan nafasi ya juu zaidi. Lakini unasahau kuwa failures za kila mtawala ni justifiable kufeli kwa ilani. Hatuwezi kuamini kiwa kuna jema limebakia kwenye mimbari ya CCM ambayo imehama kutoka kwenye misingi yake

Screenshot_20231014_134553_Facebook.jpg
 
Siku CCM wakikubali kung'oka madarakani ujue roho za watanzania maelfu na maelfu lazima zichomolewe bila ganzi,CCM kutoa uhai wa binadam ili wabakie madarakani ni jambo la kawaida sana kwao,itakuwa zaidi ya kile kilichotoke Pemba.

Tatizo anaweza asiwe mama,tatizo liko kwa wale wanaoneemeka kupitia mgongo wa mama,pamoja na wakwe wa mama,ambao wanaamini kabisa kuwa mama akiondoka na maisha yao yameondoka.
 
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
 
CCM haitakubali kupoteza uchaguzi Kwa ubovu wa mgombea.

HATOGOMBEA.
 
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Kwani atagombea ?
 
Back
Top Bottom