Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

Hata warumi waliamini hivyo, lakini duniani hutokea nguvu za asili zilizoweza kuzuilika na kuelezeka kibinadamu, hubadilisha yasiyotarajiwa. Ungekuwa unafuatilia comments zangu, yaliyotokea 17.03.2021 niliyatabiri 2018, na yalipotimia baadhi waliniuliza nilijuaje. Tuwasiliane tena 2026
 
Inasemekana kishaweka mpira kwapani , hatogombea
 
CCM sio chama pekee chenye uwezo wa kuongoza nchi, ni genge la wahuni wanaokula nchi kiholela, with impunity
 
😂😂😂 1. Kwa tume ipi?
2. Kwa katiba ipi?
3. Kwa chama kipi cha kuweza kuwatoa CCM madarakani, hivi vilivyopo viongozi wake usalama wa taifa?
 
Nimejiepusha kuipigia propaganda CCM.

Vyama vyote vitakavyoshiriki uchaguzi vinafaa ktk maongozi ya nchi.

Hakuna justifications zozote zinazoifanya CCM ijimilikishe utawala wa siasa za nchi hii.

Katika hoja zako kadhaa unaelezea namna ambavyo tutarajie mambo fulani kwa wagombea wa CCM hususan nafasi ya juu zaidi. Lakini unasahau kuwa failures za kila mtawala ni justifiable kufeli kwa ilani. Hatuwezi kuamini kiwa kuna jema limebakia kwenye mimbari ya CCM ambayo imehama kutoka kwenye misingi yake

 
Siku CCM wakikubali kung'oka madarakani ujue roho za watanzania maelfu na maelfu lazima zichomolewe bila ganzi,CCM kutoa uhai wa binadam ili wabakie madarakani ni jambo la kawaida sana kwao,itakuwa zaidi ya kile kilichotoke Pemba.

Tatizo anaweza asiwe mama,tatizo liko kwa wale wanaoneemeka kupitia mgongo wa mama,pamoja na wakwe wa mama,ambao wanaamini kabisa kuwa mama akiondoka na maisha yao yameondoka.
 
Your browser is not able to display this video.
 
CCM haitakubali kupoteza uchaguzi Kwa ubovu wa mgombea.

HATOGOMBEA.
 
Kwani atagombea ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…