Kila marefu yana nchaMkuu Gulwa , humu JF, rukhsa kujifurahisha!, kama unaamini 2015 na 2020, CCM ilishindwa ikapiga bao la mkono!, endelea kuamini hivyo!, hicho chama cha kuishinda CCM kwenye sanduku la kura, kwa Tanzania bara, bado sana!.
Sababu inayoifanya CCM isishindwe ni kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! hivyo CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
Iwe!Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Miongoni mwa sifa za urais wa JMT, jee kuna kigezo cha kupima amplitude test ili kujua IQ ya mgombea?. Umewahi kusoma amplitude test yake ukamuona ni low IQ?.Ni aibu kwa nchi yenye watu zaidi ya milioni 60 kuongozwa na mtu mwenye iq ndogo kiasi kile
Mimi huko kwingine koote, siko. Isipokuwa niko hapa na nataka tujadiliane based on these grounds.Naunga mkono hoja, nchi ya vyama vingi vya siasa has to have alternatives, ila kwa Tanzania, it's a fact hatuna mbadala wa CCM!.
Sikubaliani na wewe eti 2015 na 2020 rais alishindwa ila akatwaa madaraki. 2020 jpm alishinda kwa kishindo ila 2025 ndio samia wakilazimisha agombee ataangukia pua na ccm italazimika kukabidhi madaraka.Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Mungu wa Mbinguni yupo hai na anasikia na kuona yote yanayotendeka.Ataondoshwaje ikiwa yeye ana mamlaka 3 ya juu zaidi kikatiba??:-
1. Amiri jeshi mkuu.
2. Mkuu wa nchi (mihimili yote 3 iko chini yake).
3. Mwenyekiti wa chama tawala.
Huyo atakayemuondosha atapitia wapi na atakuwa amekaa wapi?
Ungesema pia rais wa Kwanza mwanmke kuharibu uchumi na kuajiri watu wajinga Kam wasaidizi wakeHayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Safi Sana mzee wa link nilikuwa tu lzm uje na link kujibu hoja hiMkuu Gulwa , humu JF, rukhsa kujifurahisha!, kama unaamini 2015 na 2020, CCM ilishindwa ikapiga bao la mkono!, endelea kuamini hivyo!, hicho chama cha kuishinda CCM kwenye sanduku la kura, kwa Tanzania bara, bado sana!.
Sababu inayoifanya CCM isishindwe ni kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! hivyo CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
Mkuu Uzima Tele , with due respect, naomba kuuheshimu mchango wako!.Mimi huko kwingine koote, siko. Isipokuwa niko hapa na nataka tujadiliane based on these grounds.
1. Kwanza, hicho ulichokisema hapo sio fact bali ni maoni (opinion) yako tu. Hii ni kwa sababu, unachokiita kuwa ni "fact" actually ni kauli tu ya kujipa moyo na kutoa tiba ya hofu ya muda mfupi ya walio madarakani kufurushwa kuachia hayo madaraka yaliyokwisha kuwashinda..
2. TANU ya kina Julius K. Nyerere ilipokuwa inapigania uhuru wa Tanganyika, actually mazingira yalikuwa magumu kweli. Hakuna mtu aliyeweza kuwaamini kina Nyerere kirahisi kuwa inawezekana siku moja utawala wa wazawa kuu - replace utawala wa kikoloni chini ya Mwingereza..
Watu kama wewe na kauli kama za, "...hakuna watu mbadala kum - replace mkoloni mwingereza" walikuwepo na leo wapo ukiwemo wewe unayesema na kuamini kuwa "...hakuna wa kui - replace CCM" ..
Lakini by then, out of nowhere, Mwingereza alifungasha virago na kuiacha huru Tanganyika..!
##Na actually kwa akili na ufahamu wa upeo wenu mko sahihi kabisa kufikiri hivyo kuwa "haya mambo hayawezekani, hakuna mbadala" maana ndivyo mnavyoona...
Yaani mnaiona CCM kama Goliath mwenye silaha zote na kina CHADEMA na kina Boniface Mwabukusi mnawaona kama Daudi mchunga kondoo wa porini anayeingia kwenye vita na Goliath akiwa na manati (kombeo) tu..
3. Mimi naamini kuwa, anguko la utawala wa CCM litakuja very unnoticed na watu watabaki na mdomo wazi wakijiuliza, hii kitu imekuaje..!!!
Mr Pascal Mayalla hii sasa ndiyo fact kwa sababu iko supported na;
√ Ukweli kuwa viumbe huzaliwa, kukua, kuzeeka na kisha hufa. CCM actual kimeshapita steps hizi zote. Kilishakufa kitambo. Kilichopo ni kivuli tu lakini nacho kinatoweka kwa sababu jua limekaribia kuzama..!
√ Historia ya vyama vya Ukombozi inakishitaki. Mfano hakuna aliyedhaniaga kuwa KANU ya Kenya ingeweza kupotea kirahisi vile..
Je, sasa yaweza kuwa kipindi hiki ni zamu ya CCM? Bila shaka maana ishara zote zinaonesha hivyo...
Atasepa 2035 hi ya Sasa anamalizia y Magu Kisha asepeKwa kasi hii ya maendeleo huyu mama tuomuongezee miaka anayotaka hapo ikulu.
Kwa mfno mtu anaitwa deodatus balile Ni chawa pro max yule bwanaTatizo la wanahabari wa kibongo asilimia kubwa ni uchawa, na ndio maana hata media nyingi watu wanaojitambua hatupetezi mda wetu kusoma, kusikiliza na kutazama takataka zenu
Unataka tuamini kwamba Mungu anavisikia vilio vya watanzania tu? Vilio vya Rwanda, Uganda, Cameroon, China , Russia na kwingineko huko ambako udikteta umeota mizizi na kukomaa vilio havisikii??Mungu wa Mbinguni yupo hai na anasikia na kuona yote yanayotendeka.
Vilio vya Watanzania anavisikia na kuviona.
HahahPascal Mayalla hili unasemaje
HeheheKwa mfno mtu anaitwa deodatus balile Ni chawa pro max yule bwana
Labda kama 2020 ulikuwa umelazwa Mirembe, ule haukuwa uchaguzi bali ukichaa uliosimamiwa marehemu kichaaSikubaliani na wewe eti 2015 na 2020 rais alishindwa ila kutwaa madaraki. 2020 jpm alishinda kwa kishindo ila 2025 ndio samia wakilazimisha agombee ataangukia pua na ccm italazimika kukabidhi madaraka.
Kwa mfano tu si lazima kumpima mtu ili kujua kuwa ni kichaa au chawaMiongoni mwa sifa za urais wa JMT, jee kuna kigezo cha kupima amplitude test ili kujua IQ ya mgombea?. Umewahi kusoma amplitude test yake ukamuona ni low IQ?.
Acheni dharau!.
P