Rais Samia amepoteza mwelekeo mapema sana, hawezi kutoboa!

Kenya kuna Katiba mpya vipi hamna ufisadi na watu wana maisha mazuri?
Unauliza South Africa kuna nini?

Chadema wanataka katiba kwa maslahi yao wao siyo wananchi.
 
Hatuna watu strong hata tukiwa tuna taasisi imara ,hatujitambui,watu wengi hawajitambui nafasi walizo nazo ni kubwa kiasi gani,bado akili zetu zinaishi enzi za watemi ,,,mfano ni vigumu kumkuta Jaji wa Magharibi akikoromewa na mwanasiasa,au mkemia mkuu akipima mikojo ya wafungwa wa kisiasa,,hyo ni kwasababu wanajielewa mamlaka waliokua nayo,,,wengi ni wanafiki kama CAG wa sasa. Mimi naamini kuna kizazi mbeleni wataitendea haki hii nchi ,,ila kwA sasa wanasiasa wetu wa sasa ni marafiki waliokua maadui,wamejaa visasi na chuki,hawapendani na ni wanafiki, na ni mara chache Sana wanaweka uTaifa mbele,ni opportunists..wote Pande zote..Wote!
 
Tatizo lenu mnataka kujenga kitu kizuri huku hamtaki kugharamika. Utekelezaji wa projects unavozidi kucheleweshwa ndo nchi inazidi kupata hasara. Hapa ndo tutajua nani mzalendo na nani sio. Damu za wazalendo zilimwagika kwa ajili ya maslahi ya taifa seuze kutoa mali kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Watanzania tujenge nchi yetu kwa hali na mali. Ukipinga hili jua wewe sio mzalendo.
 
Sasa unataka kuwahi una pesa?
Dunia kwasasa imesimama.
Nchi nyingi zimejifungia hakuna uzalishaji mkubwa, msijifanye hamuoni
 
Sasa unataka kuwahi una pesa?
Dunia kwasasa imesimama.
Nchi nyingi zimejifungia hakuna uzalishaji mkubwa, msijifanye hamuoni
Swala hapa sio kuwa na pesa au la. Je wananchi wako tayari kujifunga kibwebwe katika kufanikisha malengo ya serikali ambayo itawasaidia wao (wananchi). Serikali inatafuta fedha kukamilisha miradi itakayosaidia kukuza uchumi ila wananchi wanaanza kuangalia gharama bila kuangalia faida ya hiyo miradi. Hapa mbaya nani?

Ukiwa kwenye chumba Cha mtihani ukifanya mtihani ambao hukutarajia utakuja vile, hapo lazima utajikuta unakuna kichwa na unajibu maswali yote. Huo ujasiri wa kufanya hayo maswali yote ilhali hukujiandaa kivile unapata wapi?
Hapa kinachohitajika ni ule utayari wa wananchi kuijenga nchi yao kwa hali na mali.
 
We mwache tu apandishe mabega.
 
Kenya kuna Katiba mpya vipi hamna ufisadi na watu wana maisha mazuri?
Unauliza South Africa kuna nini?

Chadema wanataka katiba kwa maslahi yao wao siyo wananchi.


Hizo nchi ulizotaja zote ziko mbele kiuchumi , kidemokrasia n.k kuliko tz sasa unataka kusema nini ?

Unajua maana ya continuesly improvements theory?

Kwa hiyo katiba ni kwaajili ya kudhibiti ufisadi peke yake hakuna manufaa mengine?

Hizo nchi ulizotaja zitaendelea kuandika katiba pale wanapoona kuna haja ya wakati kutokana na ukweli kuwa Ulimwengu haujasimama unabadilika kila baada ya sekunde sababu ya mabadiliko ya kitechnolojia.

Tuacheni unafiki tuwe wakweli .
 
Mama kaza-kaza-kaza nati waliosema watakunyoa wameanza kujinyoa wenyewe na vichwa vimeishiwa nywele...wamekuwa kama mizimu iliyojitwisha ugali au kipande cha tko!!ahahahah

Yaani wote mliomsifia hamna hamu naye, na yule jambazi mla ngada wa operation baracuda hajui aanzie wapi..

Rais wa nchi hii anabadilika kulingana na mazingira ya kulewa madaraka..yaani kitendo cha kuamua kila kitu utakavyo bila kupingwa aisee lazima kikupe kiburi..

Mama saivi anaselebuka na wahuni huko Barundi-land
 
Hizo ni fikra zako na mtazamo wako South Africa wana katiba bora kabisa cha ajabu mtu aliyefanya ufisadi anatetewa na wafuasi wake katiba siyo muarubaini, Kenya pia kuja katiba mpya lakini ufisadi kama kawaida.
Afrika Kusini isingekuwa katiba yao nzuri, akina Zuma ndio wangekuwa wanaburuza kila kitu; wewe hilo hulioni?

Hata hiyo ya Kenya tu ilivyo, Kenyatta hana uhuru wa kufanya lolote analotaka kwa sababu katiba inamzuia.; kwa hiyo huwezi kulinganisha na hii yetu ambayo mtu mmoja nha kundi lake la CCM wanaburuza tu kila kitu wanachotaka kifanyike bila ya kuzuiwa na yeyote.

Ni hatua moja tu imebaki sasa kukataa huu upuuzi. Mlipuko unaandaliwa na hao hao wanaodhani nchi ni mali yao.
 
Sasa kumekucha jogoo limekwisha wika dodoma mama Samia Yule pale apewe kura za ndio
 
Bahati mbaya sana mataga huwa hamjifunzi kuwa UBAYA HAUNA KWAO,ukimuona mtu anatenda mambo mabaya dhdi ya mtu yeyote yule usiunge mkono kwani akimalizana na yule si ajabu atarudi kwako. Ninavyojua mimi wakati wa mwendazake hakuna ambaye hakuumia tuliumia wote,kama hukuguswa katika hili uliguswa katika lile,kama hukupigwa wewe basi alipigwa ndugu yako,na kwa maana hiyo Marais Mungu watu, hatuwataki tena tunataka Marais wafuata katiba wanaotawaliwa na katiba sio Marais walio juu ya katiba aruta continua,wasauz wangekuwa na akili za ki bwg kama hizi mpaka leo wangekuwa wamekanyagwa shingo.
 
Namuona mama akiwaita tiss na polisi waje wamsaidie, njia ambayo inaweza kuwa ya hatari kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…