Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
View attachment 2069423
Kwa nini unataka kutufanya wananchi wajinga?!
Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
Mapato ya mauzo ya umeme yanaenda wapi?Ukweli nikwamba kuunganishiwa Umeme kwa 27 elfu ni hasala kwa Tanesco,maana lazima tujue kwamba hivyo vitu vina nunuliwa .
.
Hata hivyo inafaa kuweka Bei nafuu kiasi ,mfano nguzo si sahihi mteja kulipia sawa na mteja kulipia miundombinu ya simu ,Kama simu hatulipi inafaa na Tanesco kuondoa gharama hiyo .
Pili Meter luku isizidi tsh 150,000\=
Kama siyo jipya, na kama hakuna mabadiliko yoyote kulikuwa na haja gani ya kuliongelea?Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe sukuma gang
Umeme wa area kuinganishiwa bei imebaki ile ile elfu 27 Kwa vijijini
Mijini ndo Kuna bei elekezi. Na hili sio jipya Mie nimeweka umeme kwangu mwaka 2020 nililipa laki 9 njia 3
Wewe endelea kupiga domo, sisi tuna imani naye. πΆTuna imaaani na Samia...!π΅πΆ Haya malizia wimboNdio mjue hatuna raisi. Hayupo competent kabisa kabisa, She knows nothing
Ni wahuni tu ndio wanamvutisha bangi na kumpelekesha
Umeamua kupotosha makusudi.View attachment 2069423
Kwa nini unataka kutufanya wananchi wajinga?!
Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
Umeamua kupotosha makusudi.
[emoji117] Bei ya kuunganisha umeme haijashushwa?
[emoji117] Ufafanuzi alizotoa jana unahusu ukweli kwamba gharama za uunganishaji wa umeme zinatofautiana kati ya eneo na eneo. What does this mean? Haijaondoa ukweli kuwa gharama zimeshushwa lakini pia kuna maeneo hususan ya mijini gharama zitakuwa juu ya kiasi kilichoshushwa.
πππππ€£Labda kuna wahuni wamechezea hiyo video ππ
NI KWELI MAANA HATA NDUGAI HAKUSEMA YEYE NI WAHUNI WANATAKA KUMCHONGANISHA NA WANANCHIHicho ni kipande kimechukuliwa ili kupotosha watu kama kipande cha ile video ya Ndugaiπ
Burundi kwa Nkurunzinza πΆπΆSasa sisi wenye upeo mkubwa tukaishi wapi!?
Maweeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!Aisee,hii ndio bongo land!
Mbona sasa 2020, wapinzani walituwekea huyu tumchagueView attachment 2069423
Kwa nini unataka kutufanya wananchi wajinga?!
Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
Mkuu jitomba umepiga mulemuleView attachment 2069423
Kwa nini unataka kutufanya wananchi wajinga?!
Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
Mambo ndio mamboView attachment 2069423
Kwa nini unataka kutufanya wananchi wajinga?!
Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?