Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya serikali ni kutoa huduma, na pale inapobidi huduma hushushwa kwa wananchi na serikali hujazia. Kama mwananchi atatakiwa kulipia actual price ya huduma husika mbona mafuta ya petrol na diesel hawauzi kwa bei halisi waliyonunulia huko nje plus usafiri mpaka bandarini?Ila jamanii kuna mikoa Tanzania na vijiji vilivyopo kusema uwekewe umeme kwa Elfu 27 + Nguzo +Mita hata si kweliii....
Inabidi tuu kama una shida kweli basi saidiana na Tanesco utatuliwe shida yako ya umeme.
Maana kuna mabonde hiwezi vusha umeme kirahisi...
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huyu hata hajui nachofanya mhurumie tu!View attachment 2069423
Kwanini unataka kutufanya wananchi wajinga?!
Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
lkn miondombinu ya mjin ni rahisi kufikika kwa mteja,kuna uwepo wa barabara zinazopitika na pia mabonde ni machache ukilinganisha n vijijini..Umeamua kupotosha makusudi.
👉 Bei ya kuunganisha umeme haijashushwa?
👉 Ufafanuzi alizotoa jana unahusu ukweli kwamba gharama za uunganishaji wa umeme zinatofautiana kati ya eneo na eneo. What does this mean? Haijaondoa ukweli kuwa gharama zimeshushwa lakini pia kuna maeneo hususan ya mijini gharama zitakuwa juu ya kiasi kilichoshushwa.
Hapa umemaliza kila kitu, hakuna tena chawa wa Hangaya atakayekuja kufungua mdomo ili kuja na blah blah za kumtetea Hangaya.
SawaBurundi kwa Nkurunzinza 🚶🚶
Hata mimi naona!Labda kuna wahuni wamechezea hiyo video 😆😆
itakuwa walimrekodi vibaya labda.View attachment 2069423
Kwanini unataka kutufanya wananchi wajinga?!
Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
Akishachagukiwa huko chamani ndiye Rais huko kwingine wanachakachua tu.Mwache ale bata mara ya mwisho maana hakuna atakaye jisumbua kumchagua
Jikite kwenye madaMbona sasa 2020, wapinzani walituwekea huyu tumchague
View attachment 2069451
View attachment 2069452
Ni yeye,ukweli ni kwamba uamuzi wa 27,000 ni uamuzi usio na reality yoyoteView attachment 2069423
Kwanini unataka kutufanya wananchi wajinga?!
Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
Huyo hajui hata kama yeye ni raisi,yani muda wote ni anaropoka then anajitekenya..nkimjibu anakuja na mipasho ya tot taarabView attachment 2069423
Kwanini unataka kutufanya wananchi wajinga?!
Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
Rais Samia : Tumeshusha mpaka shiling elfu 27.
Wananchi: wakapiga ndelemo na makofi!..
Umemaliza mkuu wahuni sio watu wanampa msubaNdio mjue hatuna raisi. Hayupo competent kabisa kabisa, She knows nothing
Ni wahuni tu ndio wanamvutisha bangi na kumpelekesha