Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

Huyu mama ni hatufai kamweee,sijui ni kwanini watanzania hatuelewi ,kama leo wamekata umeme tangia saa 12 asubui mpaka sasa saa 10 na nusu bila bila utafikiri familia zetu zinaenda kula milo mitatu ikulu.
Mungu atamlipia
 
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Kwakweli japo inauma bora mtu ulipe hyo lak 3 wakuunganishie kuliko kutembea na maneno ya kisiasa unalipa 27000 unamaliza miezi hakuna umeme.
 
Wakati wa kampeni👇
Baada ya kuingia ikulu👇😁😁😁
 
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Upungufu wa kumbukumbu ni janga kwa Raisi. Anahitaji kupelekwa hospitali, ataangamiza wengi.
 
kifupi katika maraisi Wote waliopita nchi hii wenye watendaji hopeless kuanzia mawaziri hadi bodi hadi watendaji Tanesco Mama Samia kavunja record

Biashara unatakiwa Kucreate makert kwanza Halafu unalianza kupandisha Luku nk sababu watu wanakuwa wamezoea umeme hawawezi achana nao

Magufuli aliweka chambo cha watu wengi waweke umeme bei ndogo akutane nao kwenye Luku na tozo za kodi ya majengo

Wengi wakaweka

Mama Samia katibua kila kitu

Waweka umeme wengi wa mijini

Luku ndio Magufuli aliwavizia akutane nao kwenye Luku kukata gharama za kuunga na za tozo za nyumba nk

Hivi Mama Samia hao washauri wako kichwani zimo?

Sheria za uchumi zinataka ukiona demand iko Low ikiwemo umeme unatakiwa KUcreate Demand u recover cost na kuongeza taxpayers wa umeme Na kodi za majengo unachaji Low elfu 27 to get more tomorrow kama wateja wa Luku, tax payers wa umeme na kodi ya majengo

Waambie walikushauri kwenye hili ni Hopeless Una washauri wajinga sana tena uwaambie
 
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Mkuu asante kwa kuleta CLIP hii. Lakini niruhusu nikutaarifu kuwa utakuwa umesikia na hukusikiliza. Mh. Rais alisema TUMESHUSHA GHARAMA ZA KUUNGANISHA - PIGIA MSITARI-TUMESHUSHA. Hata jana amesema TUMEGUNDUA 27000 haiwezi kuwa ndiyo gharama ya kuunganisha umeme
 
Kwakweli japo inauma bora mtu ulipe hyo lak 3 wakuunganishie kuliko kutembea na maneno ya kisiasa unalipa 27000 unamaliza miezi hakuna umeme.
Kipindi inalipwa hiyo laki 3 bado watu walisubiri miezi
 
Mkuu asante kwa kuleta CLIP hii. Lakini niruhusu nikutaarifu kuwa utakuwa umesikia na hukusikiliza. Mh. Rais alisema TUMESHUSHA GHARAMA ZA KUUNGANISHA - PIGIA MSITARI-TUMESHUSHA. Hata jana amesema TUMEGUNDUA 27000 haiwezi kuwa ndiyo gharama ya kuunganisha umeme
Hawa ni stori tu hata elimu bure aitoe...
Mama mweupe kama pamba.
 
Upungufu wa kumbukumbu ni janga kwa Raisi. Anahitaji kupelekwa hospitali, ataangamiza wengi.
Acha tu. Hospitali ya Mirembe iimarishwe. Yeye mwenye atamke kwamba umeme ni 27,000 alafu baadae anatueleza wananchi tena kwa jeuri na dharau kwamba umeme haiwezekani 27,000.

Anamwambia Makamba 'Nimekusaidia kuwaambia hao!' Kuwaambia nani? Hizi ni dharau na kejeli kwa wananchi. Eti nakusaidia kuwaambia. Swine kabisa. Anatupa mipasho sisi wananchi? Stress zake za 2025 anatuletea sisi? Hopelesss kabisa.
 
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Du hatari kabisa , nadhani amesahau kila jambo liko wazi.
 
mama samia aliyekwambia upandishe gharama za kuunga umeme mjini akili hana mjini ndiko kuna waunga umeme wengi ambao ungekutana naio kulipa luku kila mwezi hata ukipandisha sababu mjini umeme muhimu pia hao ungekutana nao kodi Za majengo

Vijijini demand ya umeme ndogo sidhani kama wanataka hadi nyumba yenye balbu mbili mijini iwe na umeme
 
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Angalia vizuri takwimu zako wewe. Soma barua ya 25. November. 2020. Nani alikuwa Rais?
 
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...

Hata kama ilikuwa sera mbaya na walileta wenyewe akiwapo Rais Samia kuna ubaya gani wa kurekebisha tena baada ya kujua gharama halisi na tatizo la pesa Tanesco.
 
Mapato ya mauzo ya umeme yanaenda wapi?
Yaani wananchi ndio walipe gharama za uwekezaji katika shirika?
Tena la umma.
Wao wanatakiwa kutafuta watumiaji wengi wa umeme. Wawekeze kwenye uuzaji wa umeme. Wapate mapato kupitia uuzaji wa umeme.
Ni kweli mkuu.
 
Ukweli nikwamba kuunganishiwa Umeme kwa 27 elfu ni hasala kwa Tanesco,maana lazima tujue kwamba hivyo vitu vina nunuliwa .
.
Hata hivyo inafaa kuweka Bei nafuu kiasi ,mfano nguzo si sahihi mteja kulipia sawa na mteja kulipia miundombinu ya simu ,Kama simu hatulipi inafaa na Tanesco kuondoa gharama hiyo .

Pili Meter luku isizidi tsh 150,000\=
Kmbuka wenye mitandao ya simu wanaushindani wa kibiashara na faida wanapata,inakuwaje kwa Tanesco asiye na ushindani nchini kupata hasara,teknolijia ni muda mzuri tu utasema
 
Back
Top Bottom