Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mungu atamlipiaHuyu mama ni hatufai kamweee,sijui ni kwanini watanzania hatuelewi ,kama leo wamekata umeme tangia saa 12 asubui mpaka sasa saa 10 na nusu bila bila utafikiri familia zetu zinaenda kula milo mitatu ikulu.
Kusema kweli kwenye comment hii nimetoka kapi sijui ni tying error au makusudiAkishachagukiwa huko chamani ndiye Rais huko kwingine wanachakachua tu.
KabisaWengine wakiambiwa ukweli vichwa vinavimba,ila huu ndio ukweli
Kwakweli japo inauma bora mtu ulipe hyo lak 3 wakuunganishie kuliko kutembea na maneno ya kisiasa unalipa 27000 unamaliza miezi hakuna umeme.Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Upungufu wa kumbukumbu ni janga kwa Raisi. Anahitaji kupelekwa hospitali, ataangamiza wengi.Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Mkuu asante kwa kuleta CLIP hii. Lakini niruhusu nikutaarifu kuwa utakuwa umesikia na hukusikiliza. Mh. Rais alisema TUMESHUSHA GHARAMA ZA KUUNGANISHA - PIGIA MSITARI-TUMESHUSHA. Hata jana amesema TUMEGUNDUA 27000 haiwezi kuwa ndiyo gharama ya kuunganisha umemeKwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
IMEKULA KWENU
Hawa ni stori tu hata elimu bure aitoe...Mkuu asante kwa kuleta CLIP hii. Lakini niruhusu nikutaarifu kuwa utakuwa umesikia na hukusikiliza. Mh. Rais alisema TUMESHUSHA GHARAMA ZA KUUNGANISHA - PIGIA MSITARI-TUMESHUSHA. Hata jana amesema TUMEGUNDUA 27000 haiwezi kuwa ndiyo gharama ya kuunganisha umeme
Cha kuongoza malaikaMwezi june mwendazake alikuwa na cheo gani hapa nchini?
Acha tu. Hospitali ya Mirembe iimarishwe. Yeye mwenye atamke kwamba umeme ni 27,000 alafu baadae anatueleza wananchi tena kwa jeuri na dharau kwamba umeme haiwezekani 27,000.Upungufu wa kumbukumbu ni janga kwa Raisi. Anahitaji kupelekwa hospitali, ataangamiza wengi.
Du hatari kabisa , nadhani amesahau kila jambo liko wazi.Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Angalia vizuri takwimu zako wewe. Soma barua ya 25. November. 2020. Nani alikuwa Rais?Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa...
Ni kweli mkuu.Mapato ya mauzo ya umeme yanaenda wapi?
Yaani wananchi ndio walipe gharama za uwekezaji katika shirika?
Tena la umma.
Wao wanatakiwa kutafuta watumiaji wengi wa umeme. Wawekeze kwenye uuzaji wa umeme. Wapate mapato kupitia uuzaji wa umeme.
Kmbuka wenye mitandao ya simu wanaushindani wa kibiashara na faida wanapata,inakuwaje kwa Tanesco asiye na ushindani nchini kupata hasara,teknolijia ni muda mzuri tu utasemaUkweli nikwamba kuunganishiwa Umeme kwa 27 elfu ni hasala kwa Tanesco,maana lazima tujue kwamba hivyo vitu vina nunuliwa .
.
Hata hivyo inafaa kuweka Bei nafuu kiasi ,mfano nguzo si sahihi mteja kulipia sawa na mteja kulipia miundombinu ya simu ,Kama simu hatulipi inafaa na Tanesco kuondoa gharama hiyo .
Pili Meter luku isizidi tsh 150,000\=