FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wewe ulihoji nini ukakamatwa?Ukihoji unakamatwa [emoji1]
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulihoji nini ukakamatwa?Ukihoji unakamatwa [emoji1]
Ova
Vipi kuhusu hayo maneno yake!! Safari hii hayajakata kiu ya Watanzania na kuifariji mioyo yao?Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini Mama Samia Suluhu Hasssan katika maazimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara.
Ambapo amesema kuwa tunapaswa kuwa na jamii yenye ujasiri wa kuhoji.
Naungana na kumuunga mkono mh Rais katika hili hasa kwa vijana. Kauli hii ni kama ile ambayo imewahi kutolewa na Hayati Baba wa Taifa ambaye yeye alisema tunapaswa kuwa na vijana jeuri wenye ujasiri wa kuhoji na kuwahoji viongozi wao.
Rais Samia Ndio maana amefanikiwa kuongoza Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu ,kwa kuwa ametoa nafasi ya watu kuhoji masuala mbalimbali yanayoendelea nchini au kufanyika au kufanywa na serikali yake na kuwapatia majibu stahiki.kwa hiyo watu wanakuwa hawana dukuduku wala vinyongo katika mioyo na vifua vyao ,kwa kuwa mambo yanayoleta maswali kwao yanapatiwa majibu kwa wakati sahihi na hivyo kuwafanya watu kuwa na taarifa na uelewa au ufahamu wa kila kitu hapa nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Alisema yuko nchi gani?Hilo swali mh waziri mkuu alishalijibu kwa ufasaha kabisa.
Kuwajenga watu kisaikolojia na kuwarudishia imani ni kazi kubwa.Asishangae wakasusa na mengineyo.Na mlivyo vichwa bamia mtawananga kwa kuwaambia..."ukisusa .... ...."!Dhamira ya mama yetu ni njema kabisa na tuendelee kumuamini Rais wetu.
Chawa ChawaKunguni!Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini Mama Samia Suluhu Hasssan katika maazimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara.
Ambapo amesema kuwa tunapaswa kuwa na jamii yenye ujasiri wa kuhoji.
Naungana na kumuunga mkono mh Rais katika hili hasa kwa vijana. Kauli hii ni kama ile ambayo imewahi kutolewa na Hayati Baba wa Taifa ambaye yeye alisema tunapaswa kuwa na vijana jeuri wenye ujasiri wa kuhoji na kuwahoji viongozi wao.
Rais Samia Ndio maana amefanikiwa kuongoza Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu ,kwa kuwa ametoa nafasi ya watu kuhoji masuala mbalimbali yanayoendelea nchini au kufanyika au kufanywa na serikali yake na kuwapatia majibu stahiki.kwa hiyo watu wanakuwa hawana dukuduku wala vinyongo katika mioyo na vifua vyao ,kwa kuwa mambo yanayoleta maswali kwao yanapatiwa majibu kwa wakati sahihi na hivyo kuwafanya watu kuwa na taarifa na uelewa au ufahamu wa kila kitu hapa nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Zero brain.Wewe ndiye mnafiki na siyo Rais wetu .Tena uwe na adabu na heshima kwa Rais wetu.
Wewe akili yako sijuwi kama inakuwezesha hata kuvuka barabaraZero brain.
Lissu si unamsikia kila siku aliropoka maneno ya uongoTumuulize Lissu ujasiri wake wa kuhoji ulimfikisha wapi?.
Uhuru wa bandia ni unafiki wa kuogofya.Uwe na adabu na heshima kwa mh Rais wetu ,ambaye ametoa uhuru wa kutosha kwa watu kuzungumza watakavyo na kukosoa wawezavyo. Msitumie uhuru kwa kushusha heshima ya mtu au kuwadhalilisha wengine
Watanzania tunampenda Samia hadi tunatetemeka.....Mwaga uongo wake🤔
Sheria zipi hizoUhuru wa bandia ni unafiki wa kuogofya.
Futa sheria zinazozuia uhuru wa maoni
Futa sheria zinazokandamiza raia na rekebisha mifumo ya nchi itende haki hapo ndo atajijengea heshima.
Unanilazimisha kuwa na heshima ambayo wewe huna. Anza wewe kuwa na heshima kwanza
Anazijua.Sheria zipi hizo
Hawa wote wawili hawachekani,
Mimi siyo chawa bali ni msema kweliHawa wote wawili hawachekani,
Ni chawa pro max,
Hawatofautian kabisa
Anatufanya watamganyika wajinga sana huyu mwanamke. Alisema ameziba masikio waendelee tu kusema. Tutahoji kwenye sanduku la kuraNdugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini Mama Samia Suluhu Hasssan katika maazimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara.
Ambapo amesema kuwa tunapaswa kuwa na jamii yenye ujasiri wa kuhoji.
Naungana na kumuunga mkono mh Rais katika hili hasa kwa vijana. Kauli hii ni kama ile ambayo imewahi kutolewa na Hayati Baba wa Taifa ambaye yeye alisema tunapaswa kuwa na vijana jeuri wenye ujasiri wa kuhoji na kuwahoji viongozi wao.
Rais Samia Ndio maana amefanikiwa kuongoza Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu ,kwa kuwa ametoa nafasi ya watu kuhoji masuala mbalimbali yanayoendelea nchini au kufanyika au kufanywa na serikali yake na kuwapatia majibu stahiki.kwa hiyo watu wanakuwa hawana dukuduku wala vinyongo katika mioyo na vifua vyao ,kwa kuwa mambo yanayoleta maswali kwao yanapatiwa majibu kwa wakati sahihi na hivyo kuwafanya watu kuwa na taarifa na uelewa au ufahamu wa kila kitu hapa nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kumtikisa wala kushindani wala kupimana ubavu wala kumpa changamoto au upinzani katika sanduku la kura.Anatufanya watamganyika wajinga sana huyu mwanamke. Alisema ameziba masikio waendelee tu kusema. Tutahoji kwenye sanduku la kura
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini Mama Samia Suluhu Hasssan
mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.