Rais Samia amesema tuwe na jamii yenye ujasiri wa kuhoji

Naomba tuwe jasiri na hodari katika harakati zetu za kujenga mustakabali bora kwa Tanzania. Heri ya Siku ya Uhuru kwa Watanzania wote!,”amesema.
 
Wapumbavu watakuelewa safari hii mkuu!
 
Huo ni unafiki wa wazi, hicho alichosema ni kufurahisha genge. Akina Mwabusi wamehoji mkataba wa kugawa bandari ndio anatakiwa kuporwa leseni ya uwakili. Slaa mbali ya kukaa ndani kavuliwa Hadi ubalozi. Awahadae nyie chawa wake.
 
Acha bangi mkuu
 
Bandari ipi iliyoporwa? Ndio ninyi mnatumia uhuru kwa kuzusha mambo yasiyo na ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile. Kwani Dr Slaa alikuwa na hati miliki ya ubalozi? Kwanini aendelee kubakia na hadhi ya ubalozi wakati anatoa maneno ya kihaini ?
 
Kenya inawezekana na siyo Tanzania.
 
Bandari ipi iliyoporwa? Ndio ninyi mnatumia uhuru kwa kuzusha mambo yasiyo na ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile. Kwani Dr Slaa alikuwa na hati miliki ya ubalozi? Kwanini aendelee kubakia na hadhi ya ubalozi wakati anatoa maneno ya kihaini ?
Narudia tena, nyie chawa wake ndio anaweza kuwahadaa, ama hiyo hadaa mnajifanya mnaikubali ili mjaze matumbo yenu. Ni hivi, rais ni mnafiki kwa kauli hiyo kama wanafiki wengine.
 
Vyuo sasa mmeruhusiwa kuandaa vizazi vyakuhoji na sio kuwa akina Lukasi mwashamba
 
Wewe umewahi kuhoji nini? Na mbona wanaohoji unawafanya adui zako?
 
Mtego huo hatuingii, wasiotaka kuhojiwa watatugeuka
 
Watu walikataa mkataba wa bandari nyie mkaung'ang'ania, nini maana ya kuhoji??
 
Watu walikataa mkataba wa bandari nyie mkaung'ang'ania, nini maana ya kuhoji??
Serikali yetu chini ya uongozi mahili na shupavu wa Rais samia ilipokea maoni ya watu na wadau wote na ikayafanyiaa kazi mawazo ya wote. Ndio maana wakati wote ilikuwa ikitoa maelezo katika lengo la kututoa hofu watanzania juu ya uwekezaji huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…