Mkuu unanitafuta nini? Mimi dereva WA daladala bei ya mafuta inaniathiri sana nitafurahi nini sasa? Nifurahie njaa?!!GT RRONDO alipo anafurahiiii weee mafuta yamepanda bei hadi jana aliposti uzi kwa mara ya kwanza yeye ni mchangiaji tu. Na ninajua anasema tu na mbadooo
Hovyo tu, alikuta mafuta shilingi elfu 1200 tu ikapaa mpaka 2200 kwa lita, saruji juu, mabati juu, mafuta ya kula juuMagu ni suala la muda tu atapewa heshima anayostahili.
Nimecheka balaa eti dereva wa daladala. Ila wealthy people ndo mlivyo hampendi kujionesha onesha na misifa ya kijinga ingekuwa washika chenji kama kina kidukulio weeeeMkuu unanitafuta nini? Mimi dereva WA daladala bei ya mafuta inaniathiri sana nitafurahi nini sasa? Nifurahie njaa?!!
Magu ni suala la muda tu atapewa heshima anayostahili.
Kwani kipindi cha Magufuli bei ilikuwa shilingi ngapi kwa lita? Bei ilikuwa 2,200 hadi 2,100 ambapo bado ilikuwa juu zaidi ya Zambia na nchi jirani zinazopokelea mafuta kwenye bandari zetu.Which means unakumbuka mazuri ya Magu
Hawa wapuuzi wanafikiri relief ya kupata pesa za kufanya ufisadi wao ni kuwakamua watumishi kwa namna yoyote ile, juzi kati wamewapiga watumishi kwenye salary slip ishu ya mikopo ya bodi......yaani ni mwendo wa kukatwa deni ambalo halipungui, wanachokitafuta watakipata tu.Ila CCM bana. Mwaka wa sita huu mishahara iko palepale ila kodi zinazidi kuongezeka wakati hao hao watumishi ndo wanapasuka kwa kuongezeka gharama za maisha. Unalipa income tax kubwa ukija mtaani mfanyabishara anampasua tena kwa bei za bidhaa. Ni kama unalipa kodi mara kumi kumi wangekuwa wanawafikiria watumishi wangeondoa kodi (income tax) kama mishahara wamegoma kuongeza
Unapingaje kitu ambacho kimeshapitishwa bungeni?Ulichoandika hapa Mkuu Boss ni sababu tosha ya kumkabili Maza na kupinga bajeti yake ambayo ina kodi kubwa sana kwa walipa kodi. Kama nchi zote zinanunua Petroli kutoka soko lile lile la iweje bei ya petroli nchini iwe kubwa sana kuliko nchi nyngine?
Kwa mujibu wa bavicha huko ni kufungua nchi na kurudisha hela mtaani ili wawe wanaziokota!Siku hizi mateja wameanza onekana pia maana yake madawa ya kulevya pia yako nje nje...
Na unaambiwa huyu ni mchumi first class, ni bora mama asitumie akili za kuambiwa peke yake achanganye na zake.....wapiga dili wamerudi upya..Lawama kwa mwigulu kiongeza kodi kwenye mafuta na kupunguza kodi ya kubeti na pombe
Kuna mtu alisema humu, hawa ma-CAG wanatoa ripoti kulingana na ulaji wake na mamlaka iliyomteua.Ingekuwa vizuri awe na mtu kama CAG Assad ambaye anazijua namba kwa kina na athari zake kwa Taifa kwa namna moja au nyingine na pia atauliza maswali muafaka kabla hajamruhusu maza atie wino, vinginevyo itakula kwake.
Wewe ndio wa hovyo kabisa!Hovyo tu, alikuta mafuta shilingi elfu 1200 tu ikapaa mpaka 2200 kwa lita, saruji juu, mabati juu, mafuta ya kula juu
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Na sisi wenye Nyumba lazima tupandishe Kodi,hatuwezi kubali wenye Mafuta pekee yao ndiyo wapandishe bei peke yao!!Wapandishe ada?Na mishahara iko pale pale??
Soon na wwe BAK utaanza kumuelewa Hayati Magufuli japokua is to late kwako!!Ulichoandika hapa Mkuu Boss ni sababu tosha ya kumkabili Maza na kupinga bajeti yake ambayo ina kodi kubwa sana kwa walipa kodi. Kama nchi zote zinanunua Petroli kutoka soko lile lile la iweje bei ya petroli nchini iwe kubwa sana kuliko nchi nyngine?
Rais samia anahujumiwa kijanja sana ingawa yeye hajalijua hilo anawaamini kina mwigulu. Watu ambao nao wana uchu na urais kuliko kitu chochoteBei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400
Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...
Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka.
Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel..
Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..
Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana .
Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.
Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.
Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
Wewe ulitaka vitu vibaki bei zile zile miaka yote wewe utakuwa manjegekaHovyo tu, alikuta mafuta shilingi elfu 1200 tu ikapaa mpaka 2200 kwa lita, saruji juu, mabati juu, mafuta ya kula juu
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app