Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
TPDC wakianza kuuza mafuta mtawafunga mpaka mahakama itakataa kuwafunga tena. Mafuta ni biashara kichaa na ina risks nyingi. TPDC wamejipanga kubeba hizo risks?Mkuu hongera Kwa bandiko zuri!
Magu walikuwa wanamuogopa Kuliko...
Walikuwa hawathubutu kwa “Sababu yeyote kupandisha Bei” justification ya Kupanda bei ilikuwa ngumu mnoo kwa magu!
2.Mkuu kwanini Unafikiri TPDC watashindwa kuuza Mafuta Kwenye vituo vyao kama ulivyosema?nini Kitawazuia wakwame?
Au Hao big Oil companies?
Serikali ina hisa PUMA. Kwanini wasipambane PUMA ibebe interest za umma na kuwa kampuni yenye unafuu? Tusisahau pia kuna kodi kadhaa kwenye kila lita ya mafuta.